Royal Tour! kulikoni wagharimiaji hawatajwi hadharani? Tunaishia kuambiwa ni Watu Binafsi

voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
5,553
11,885
Tangu Rais Samia ameingia nchini leo asubuhi.
Ametoa hotuba mara mbili kupitia TBC.

Moja ni pale Kwenye hafla fupi ya mapokezi uwanjani Kilimanjaro, leo asubuhi.

Na nyingine ni pale AICC kwenye uzinduzi wa Royal Tour nchini jioni hii.

Mara zote Mheshimiwa Raisi amelipa kipaumbele suala la gharama za utengenezaji wa filamu hiyo.

Kwa kusisitiza kwamba gharama zote kuiwezesha filamu ile sio za Serikali bali ni watanzania ambao ni watu binafsi na makampuni binafsi.

Lakini hakuna mahali amepata kuwataja kwa majina wahisani hao.

SHERIA ya utumishi wa UMMA inasemaje kuhusu mtumishi wa umma kupewa na kupokea zawadi?

Tumeambiwa kwamba filamu ile imegharimu zaidi ya Shilingi bilioni saba za kitanzania.

Hiyo ni tofauti na gharama za ziada kama vile msafara wa Rais nchini Marekani pamoja na ujumbe wake.
Kwa siku zote walizokaa kule.

Ikiwemo na gharama za safari za ndani ya nchi ili kufanya uzinduzi huko Arusha, Zanzibar na Dar es salaam.

Kwa utamaduni wa kawaida, na kwa jambo kubwa kama hilo.

Tulitarajia Mheshimiwa Rais kutumia fursa ya uzinduzi huo nchini kwa kuwaweka wazi wawezeshaji hao.
Kisha kuwashukuru kwa jambo hilo kubwa la kihistoria.

Badala yake, wanakuwa siri kutajwa hadharani?

Hizo ni pesa nyingi na hata hao wafadhili ingekuwa fahari kwao kutajwa hadharani ili tukawajua uzalendo wao uliotukuka kwa taifa lao na kuwashukuru kwa moyo mkunjufu.

Kitendo cha Rais kurudiarudia, kuweka msisitizo kuwa si gharama za Serikali lakini kuacha kuweka hadharani wahusika inaongeza maswali zaidi kwa umma kuliko anavyolichukulia.

Kwani Mheshimiwa Rais akiwataja kuna ubaya au madhara gani?

Mbona mara zote wananchi tumekuwa tukiwekwa wazi tena saa ingine live pale tunapopata wahisani wakitoa misaada.

Tena kwenye vyombo vyote vya habari?

Mfano michango yote ya kulisaidia taifa kupambana na Covid19.

Tumekuwa tukitangaziwa tena saa ingine kwa majigambo zaidi.

Lakini pia kuna ubaya gani kuwajua Watanzania wenye moyo wa kuchangia filamu yetu kwa gharama kubwa kufikia Bil 7?

Je! Kuwaweka wazi si ndiyo kungewahamasisha Watanzania wengine zaidi kuchangia maendeleo ya nchi yao.

Pale Ikitokea tukawa na mahitaji kwenye masuala mengine ya kitaifa
Ikiwemo majanga ya kibinadamu kama vile ilivyotokea kwenye janga la Uviko

Kuna nini nyuma ya gharama hizi na chanzo chake kufichwa kuwekwa wazi kwa umma?

Samahani kwa wale mtakaokwazika.

commonmwananchi
10101
 
Tangu Rais Samia ameingia nchini leo asubuhi.
Ametoa hotuba mara mbili kupitia TBC.

Moja ni pale Kwenye hafla fupi ya mapokezi uwanjani kilimanjaro,leo asubuhi.

Na nyingine ni pale AICC kwenye uzinduzi wa Royal Tour nchini jioni hii.

Mara zote Mheshimiwa Raisi amelipa kipaumbele suala la gharama za utengenezaji wa filamu hiyo.

Kwa kusisitiza kwamba gharama zote kuiwezesha filamu ile sio za serikali bali ni watanzania ambao ni watu binafsi na makampuni binafsi.

Lakini hakuna mahali amepata kuwataja kwa majina wahisani hao.

Tumeambiwa kwamba filamu ile imegharimu zaidi ya Shilingi bilioni saba za kitanzania.

Hiyo ni tofauti na gharama za ziada kama vile msafara wa rais nchini Marekani pamoja na ujumbe wake.
Kwa siku zote walizokaa kule.

Ikiwemo na gharama za safari za ndani ya nchi ili kufanya uzinduzi huko Arusha,Zanzibar na Dar es salaam.

Kwa utamaduni wa kawaida, na kwa jambo kubwa kama hilo.

Tulitarajia Mheshimiwa Rais kutumia fursa ya uzinduzi huo nchini kwa kuwaweka wazi wawezeshaji hao.
Kisha kuwashukuru kwa jambo hilo kubwa la kihistoria.

Badala yake,wanakuwa siri kutajwa hadharani?

Hizo ni pesa nyingi na hata hao wafadhili ingekuwa fahari kwao kutajwa hadharani ili tukawajua uzalendo wao uliotukuka kwa taifa lao na kuwashukuru kwa moyo mkunjufu.

Kitendo cha rais kurudiarudia,kuweka msisitizo kuwa si gharama za serikali,lakini kuacha kuweka hadharani wahusika.inaongeza maswali zaidi kwa umma kuliko anavyolichukulia.

Kwani Mheshimiwa Rais akiwataja kuna ubaya au madhara gani?

Mbona mara zote wananchi tumekuwa tukiwekwa wazi tena saa ingine live.
pale tunapopata wahisani wakitoa misaada.

.
Huenda alisikia kuna vimaneno akaona atulize munkari. Serikali ina sirikali tulia.
 
Pia ni vizuri uulize zile sarakasi za makinikia lile fungu tuloambiwa tulipewa?
 
Ni vizuri ukajikita kuuliza ni kampuni gani ilijenga uwanja wa ndege Chato maana kule ndo pesa za walipa kodi zilitumika!

Unauliza hela za watu binafsi walizotoa kwa mapenzi yao kwa Taifa Lao ili iweje?
Unao uthibitisho gani kwamba ni hela za watu binafsi?

Kwani fedha za ujenzi wa uwanja wa Chato ni siri?

Wewe ni kilaza usojitambua!
 
Sasa gharama zote si zinatosha kuwa hela zilizoingia nchini kupitia utalii.

Mambo ni mengi
 
Tangu Rais Samia ameingia nchini leo asubuhi.
Ametoa hotuba mara mbili kupitia TBC.

Moja ni pale Kwenye hafla fupi ya mapokezi uwanjani kilimanjaro,leo asubuhi.

Na nyingine ni pale AICC kwenye uzinduzi wa Royal Tour nchini jioni hii.

Mara zote Mheshimiwa Raisi amelipa kipaumbele suala la gharama za utengenezaji wa filamu hiyo.

Kwa kusisitiza kwamba gharama zote kuiwezesha filamu ile sio za serikali bali ni watanzania ambao ni watu binafsi na makampuni binafsi.

Lakini hakuna mahali amepata kuwataja kwa majina wahisani hao.

Tumeambiwa kwamba filamu ile imegharimu zaidi ya Shilingi bilioni saba za kitanzania.

Hiyo ni tofauti na gharama za ziada kama vile msafara wa rais nchini Marekani pamoja na ujumbe wake.
Kwa siku zote walizokaa kule.

Ikiwemo na gharama za safari za ndani ya nchi ili kufanya uzinduzi huko Arusha,Zanzibar na Dar es salaam.

Kwa utamaduni wa kawaida, na kwa jambo kubwa kama hilo.

Tulitarajia Mheshimiwa Rais kutumia fursa ya uzinduzi huo nchini kwa kuwaweka wazi wawezeshaji hao.
Kisha kuwashukuru kwa jambo hilo kubwa la kihistoria.

Badala yake,wanakuwa siri kutajwa hadharani?

Hizo ni pesa nyingi na hata hao wafadhili ingekuwa fahari kwao kutajwa hadharani ili tukawajua uzalendo wao uliotukuka kwa taifa lao na kuwashukuru kwa moyo mkunjufu.

Kitendo cha rais kurudiarudia,kuweka msisitizo kuwa si gharama za serikali,lakini kuacha kuweka hadharani wahusika.inaongeza maswali zaidi kwa umma kuliko anavyolichukulia.

Kwani Mheshimiwa Rais akiwataja kuna ubaya au madhara gani?

Mbona mara zote wananchi tumekuwa tukiwekwa wazi tena saa ingine live.
pale tunapopata wahisani wakitoa misaada.

Tena kwenye vyombo vyote vya habari?

Mfano michango yote ya kulisaidia taifa kupambana na Covid19.

Tumekuwa tukitangaziwa tena saa ingine kwa majigambo zaidi.

Lakini pia kuna ubaya gani kuwajua Watanzania wenye moyo wa kuchangia filamu yetu kwa gharama kubwa kufikia Bil 7?

Je! Kuwaweka wazi si ndiyo kungewahamasisha Watanzania wengine zaidi kuchangia maendeleo ya nchi yao.

Pale Ikitokea tukawa na mahitaji kwenye masuala mengine ya kitaifa
Ikiwemo majanga ya kibinadamu kama vile ilivyotokea kwenye janga la Uviko

Kuna nini nyuma ya gharama hizi na chanzo chake kufichwa kuwekwa wazi kwa umma?

Samahani kwa wale mtakaokwazika.

commonmwananchi
10101
.
Wale matarumbeta wa huyo bibi waje waseme kuwa ni muwazi sana hafichi mambo kwa sasa yamekaa kimyaaa
 
Bwabwa wewe kwani ule uwanja ni wa familia au serikali
Huyo hajui hata sheria ya utumishi wa umma hairuhusu mtumishi kupokea zawadi na hatimae kuficha identity ya mtoaji.

Rais ni mtumishi namba moja wa Umma nchini.
 
Ni vizuri ukajikita kuuliza ni kampuni gani ilijenga uwanja wa ndege Chato maana kule ndo pesa za walipa kodi zilitumika!

Unauliza hela za watu binafsi walizotoa kwa mapenzi yao kwa Taifa Lao ili iweje?
Aisee,Watanzania,hypocrites kweli kweli!Hivi seriously huoni kwamba Watanzania wana haki ya kulijua hili.Je kama Rais kaingia kwenye uhusiano usiofaa na watu wasiofaa kwa maslahi binafsi na sio kwa maslahi mapana ya taifa letu.....!!No,tunahitaji kujua,yes Tanzanians need to know.
 
Tangu Rais Samia ameingia nchini leo asubuhi.
Ametoa hotuba mara mbili kupitia TBC.

Moja ni pale Kwenye hafla fupi ya mapokezi uwanjani kilimanjaro,leo asubuhi.

Na nyingine ni pale AICC kwenye uzinduzi wa Royal Tour nchini jioni hii.

Mara zote Mheshimiwa Raisi amelipa kipaumbele suala la gharama za utengenezaji wa filamu hiyo.

Kwa kusisitiza kwamba gharama zote kuiwezesha filamu ile sio za serikali bali ni watanzania ambao ni watu binafsi na makampuni binafsi.

Lakini hakuna mahali amepata kuwataja kwa majina wahisani hao.

SHERIA ya utumishi wa UMMA,inasemaje kuhusu mtumishi wa umma kupewa na kupokea zawadi?

Tumeambiwa kwamba filamu ile imegharimu zaidi ya Shilingi bilioni saba za kitanzania.

Hiyo ni tofauti na gharama za ziada kama vile msafara wa rais nchini Marekani pamoja na ujumbe wake.
Kwa siku zote walizokaa kule.

Ikiwemo na gharama za safari za ndani ya nchi ili kufanya uzinduzi huko Arusha,Zanzibar na Dar es salaam.

Kwa utamaduni wa kawaida, na kwa jambo kubwa kama hilo.

Tulitarajia Mheshimiwa Rais kutumia fursa ya uzinduzi huo nchini kwa kuwaweka wazi wawezeshaji hao.
Kisha kuwashukuru kwa jambo hilo kubwa la kihistoria.

Badala yake,wanakuwa siri kutajwa hadharani?

Hizo ni pesa nyingi na hata hao wafadhili ingekuwa fahari kwao kutajwa hadharani ili tukawajua uzalendo wao uliotukuka kwa taifa lao na kuwashukuru kwa moyo mkunjufu.

Kitendo cha rais kurudiarudia,kuweka msisitizo kuwa si gharama za serikali,lakini kuacha kuweka hadharani wahusika.inaongeza maswali zaidi kwa umma kuliko anavyolichukulia.

Kwani Mheshimiwa Rais akiwataja kuna ubaya au madhara gani?

Mbona mara zote wananchi tumekuwa tukiwekwa wazi tena saa ingine live.
pale tunapopata wahisani wakitoa misaada.

Tena kwenye vyombo vyote vya habari?

Mfano michango yote ya kulisaidia taifa kupambana na Covid19.

Tumekuwa tukitangaziwa tena saa ingine kwa majigambo zaidi.

Lakini pia kuna ubaya gani kuwajua Watanzania wenye moyo wa kuchangia filamu yetu kwa gharama kubwa kufikia Bil 7?

Je! Kuwaweka wazi si ndiyo kungewahamasisha Watanzania wengine zaidi kuchangia maendeleo ya nchi yao.

Pale Ikitokea tukawa na mahitaji kwenye masuala mengine ya kitaifa
Ikiwemo majanga ya kibinadamu kama vile ilivyotokea kwenye janga la Uviko

Kuna nini nyuma ya gharama hizi na chanzo chake kufichwa kuwekwa wazi kwa umma?

Samahani kwa wale mtakaokwazika.

commonmwananchi
10101
.
Mbona hatukuona tangazo la kuomba mchango? Pesa zilichangwa kupitia akaunti gani ya serikali? Je CAG atakuwa na access ya kukagua matumizi ya akaunti hiyo!
 
Back
Top Bottom