Mwaka 2018 Zitto aliishauri serikali kuzinunua korosho za wakulima ili iweze kuwasaidia wakulima dhidi ya mkwamo uliotokea.
Zitto alisisitiza kuwa Serikali isiwaze juu ya faida ambayo itapata ila...
Sijui viongozi wetu wanawaza nini lakini kwa kifupi ama wamepotoka au wanapotoshwa. Filamu ya aina ya Royal Tour si ya kwanza kuandaliwa duniani, ndugu zetu wa Rwanda walikwisha iandaa na...
Dkt. Slaa amegusia juu ya Lissu kupigwa risasi na kudai kuwa huenda CHADEMA walihusika maana walikuwa na makundi ya kigaidi yaliyofanya uhalifu wa kigaidi ili kuichafua serikali.
Dkt. Mollel nae...
Wenyeviti wa serikali za mitaa, wamekuwa wakiweka mazingira ya Rushwa katika utendaji wao kwa madai kuwa wanafanya kazi ya bure na hakuna malipo yoyote wanayopata kutoka serikalini.
Hali hii ni...
Ukweli ni kwamba kwa dunia ya sasa ili kufanikiwa , inatakiwa kutumia akili na ushawishi mwingi huku ukitumia nguvu kidogo sana au usitumie nguvu kabisa. Ukifanya kinyume chake yaani kutumia nguvu...
Recently Wilbroad Slaa amekua akitoa matamko ya kuihusisha CHADEMA na mambo ya kipuuzi sana. Leo nimeona Tena amenukuliwa akidai kuwa CHADEMA ilimtumia Mlinzi wake kufanya ukatili kwa kiongozi wa...
Taa zimeshawaka kwenda 2025, kama ni kweli basi kuna kambi imeona ni vigumu kutoboa ndani ya chama hivyo wameona wabadili upepo. Walioshika hatamu chamani ni wazoefu wa Siasa na Umoja Party...
Kwanza Rais wa JMT nakupongeza kwa jitihada zako za kupigania maisha ya Watanzania.
Nimefurahishwa sana na wazo lako la filamu inayotangaza vivutio vya utalii nchini.
Ziara yako Marekani ni...
Wakuu habarini za asubuhi, Kwanza nimshukuru mheshimiwa Rais nimeamka vyema buheri wa afya[emoji16].
Pasipo kuwachosha nahitaji uliza Jambo hapa, moja Kati ya sababu ya kupungua kwa watalii...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Ronald Fenty ambaye ni Baba wa Msanii Maarufu Robyn Rihanna Fenty alipofika katika Ukumbi wa Paramount...
Rais Samia kuzungumzia Ufisadi kwa sasa ni sawa na kwenda against timu yake mpya ambayo imejaaa Wapigaji ambao ni Certfied.
Timu yake ukiangalia ni timu ya wapigaji ukianza na Waziri wake wa...
Uwajibilaji, uzalendo na uadilifu ni vigezo muhimu kwenye Taifa huru linalotaka kuendelea. Ni nguzo muhimu Kwa chama Cha siasa kinachojali maslahi ya umma na njia pekee yakumfanya mwanadamu...
Inaelekea komredi Polepole Washamjulia!! Akiwa na njaa hupiga Sana makelele ya "uzalendo" kisa ni kuwatikisa wakubwa wamkumbuke.
Wanaokumbuka makelele ya Polepole kwenye vuguvugu la kudai katiba...
Ni vigumu kuamini kuwa Mheshimiwa Ndugai hajui utaratibu wa kikatiba wa kujiuzulu nafasi ya uspika. Kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri wa muungano wa Tanzania spika au naibu spika anaweza kujiuzulu...
Chongolo: aagiza uchukuaji fomu za uchaguzi ndani ya CCM urudiwe
===
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg Daniel Chongolo amewaagiza makatibu wa Wilaya zilizobainika kuwa na kasoro...
Mjadala ulijitokeza miaka iliyopita kuhusu pesa za Escrow zilikuwa za umma au siyo za umma. Waliokuwa wanasema si za umma kimsingi walikuwa wanatetea upigaji wake na serikali isiingilie...
Kuna taarifa kwamba vijana watiifu kwa Dkt. Slaa pale CHADEMA mtaa wa Ufipa, Tundu Lisu na John Mnyika wanawindwa kwa udi na uvumba kuimarisha safu ya Umoja Party.
Wamo pia wabunge kadhaa wa...
Hakika mahaba ya Rais Samia kwa watu wa Kaskazini usipime, ametoa TZS 520BL za maji Arusha ikiwa ni zaidi ya 80% ya bajeti nzima ya maji ya Taifa ya mwaka.
" Hakuna kama Samia "
Hakika kasi ya...
Nadhani TLS Ina wanachama wasio na akili na mawazo yakujitegemea;wanachama wengi wana mawazo kama yalivyo maono ya Watumishi wa Umma kwamba serikali ikupe posho,salary,nyumba,matibabu nk lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.