Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Site tumeona habari za kuwa makamu wa Raid wa Marekani Mama Kamala Harris amekutwa na ugonjwa mkali wa Corona , yaani Uviko 19 hivyo kwasasa Kamala Harris yupo Carenteen na anejitenga. Rais wa...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Aliyekuwa mbunge wa Iringa mjini kupitia CHADEMA Mchungaji Peter Msigwa amempongeza Rais Samia Suluhu Hassani kwa kazi uzuri na ubunifu wa Filamu maarufu ya kitalii ya THE ROYAL TOUR. Kiongozi...
4 Reactions
50 Replies
5K Views
Maeneo ya Kirumba, Ilemela, Igogo na sehemu za Igoma uhalifu ulikuwa mwingi kiasi cha wananchi kuchukua sheria mkononi na kuanza kuua vibaka kwenye ofisi za serikali. Hii ni sababu Jumanne Muliro...
0 Reactions
6 Replies
777 Views
Duru zinatabanaisha huenda Rais akawa na ziara ya siku 6 mnamo mwezi ujao huko Canada. Pamoja na mambo mengine inaelezwa atakutana na wadau mbalimbali wa utalii ili kuimarisha sekta hiyo...
12 Reactions
111 Replies
9K Views
Rais Samia Suluhu Hassan anazindua Ugawaji wa Vitendea kazi kwa Maafisa Ugani nchini ikiwemo Pikipiki 2,000, Vifaa vya Kupima afya ya Udongo (Soil agro scanner) 143, simu janja 384 na visanduku...
7 Reactions
149 Replies
11K Views
Maandamano na kila mikakati ya kudai katiba mpya ifanyike. Maana hawa watu wamepanga kutuibia kwa kila namna. Hii nchi ni yetu sote wala sio ya kundi la wachache wanaojifanya wajuaji na kuwa wao...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Sikumbuki ni lini Profesa Sospeter Muhongo amezungumza Mambo ya Kitaalam na Kitaaluma halafu nikawa namsikiliza na MINOCYCLINE nisijione kama vile nipo Darasani napata Maarifa na Kuelimika zaidi...
3 Reactions
8 Replies
977 Views
Kwa kweli ukiangalia picha za hao Diaspora, unaweza kuyasoma maisha yao. Hakika wamepigika kimaisha, lakini wanaishi katika nchi yenye katiba bora kabisa, na uchumi mkubwa, nadhani tunahitaji...
28 Reactions
154 Replies
12K Views
Dah kumbe ule msemo kuwe adui muombee njaa nj kweli. Chadema wana hali mbaya sana kifedha. Wamesahau hata majukumu yao kama wapinzani makini wanapaswa kupinga mambo yasiyo na tija yanayoendele...
0 Reactions
3 Replies
719 Views
Peter Msigwa amekuwa kimya sana Toka mwenyekiti atoke Gerezani,amekuwa somehow vuguvugu na wakati Mwingine anaonekana amemeelewa zaidi mama na anatamani afanye naye kazi. Hii Chadema wameiona na...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kipindi cha kampeni kila kilichozungumzwa kilikanushwa hata kama kina maana, kutokana na mihemko ya siasa, lakini naomba tujikite zaidi katika maswali haya matano; 1. Kuna ukweli wowote juu ya...
3 Reactions
54 Replies
10K Views
Katika teuzi mbali mbali zinazoendelea tokea zimeanza nimegundua jambo muhimu hapa, kumbe unapaswa kuwa na sifa kuu tano muhimu; 1. Uwe na elimu angalau kuanzia Masters, ila ni vizuri zaidi ukawa...
8 Reactions
131 Replies
20K Views
Ni pale ambapo huwa namtafuta mchora ramani wa CCM na kugundua kuwa watakuwa wana nguvu ya ziada , Kwa kuwa ni mapema mno na ndo Mheshimiwa ana mwaka mmoja madarakani, ni kawaida ya CCM kujitokeza...
2 Reactions
68 Replies
15K Views
Mheshimiwa Spika, Serikali imekuwa ikiingia mikataba mingi kwa ajili ya shughuli za kiuchumi na kijamii na kwa bahati mbaya sana mikataba hii hutuzwa kwa siri kubwa, wabunge na wananchi wamekuwa...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za sikukuu Si Mara moja , au mbili ni zaid ya Mara 10 nawasikiliza wanachama wa ccm katika ngazi mbali mbali, na wanachama wanchadema katika ngazi mbali mbali, Licha ya tofauti ya...
5 Reactions
50 Replies
4K Views
Hivi mkuu bado msimamo wako uko vile vile? Au umeshabadili kama mbowe wa gia ya angani? Katika siasa hakuitaji mhemko kabisa maana ukweli uko wazi kwamba kuweka akiba ya maneno ni vema, Vipi kwa...
13 Reactions
39 Replies
4K Views
Hii sentence haitofautiani Sana na Ile Mwalimu Nyerere aliyesema kwamba upinzani wa kweli uko ndani ya CCM UPINZANI NDANI YA CCM Mwaka 2005 upinzani haukuwa mkubwa ndani ya CCM maana Kikwete...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
WAZIRI NDALICHAKO AKABIDHIWA NA MAJENGO NA SHULE NA UNICEF AWAAGIZA TBA KULIPA MADENI NA KUMALIZA MRADI WA IHUNGO SEKONDARI Na: Sylvester Raphael Katika Siku yake ya pili Mkoani Kagera Waziri...
5 Reactions
17 Replies
5K Views
Ni jambo lilizoeleka kwa mkaguzi mkuu na mdhibiti wa pesa za Serikali (CAG) kuibuka na ripoti kila mwaka, inayoonyesha namna mabilioni ya pesa ya walipa zinavyotafunwa na "wajanja" wachache...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zangu wa JF wenzangu. Ama baada ya salam ningependa kuandika kile kilichosemwa na ndugu yetu ambae jina lake nimeliambatanisha na kichwa cha habari hapo juu. Ndugu Zitto amekuwa...
6 Reactions
44 Replies
3K Views
Back
Top Bottom