Dkt. Slaa huu ndio wakati wako kutupatia skendo za ufisadi kama huko nyuma ulivyofanya

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,126
4,168
Miaka ile ukiwa bungeni ulilisaidia taifa lako kuibua madudu mengi sana.

Na ulikiri wazi kuna jamaa zako Usalama wa taifa walikuwa wanakuvujishia nyeti hizo.

Sasa hivi umekiri harufu za ufisadi kurudi kwa kasi ya 5g.

Huu ndio wakati wa kuwalipua mafisadi. Wasiliana na jamaa zako ili wakupe siri na nyeti za mafisadi.
 
Nje ya chadema hakuna tiss watamuamini babu anayewaza kwa tumbo
Haaminiki,anaweza kuwasnitch.
 
Walimuamini yeye, hawakuiamini chadema. Ndio maana baada ya yeye kuondoka hukusikia tena habari za ufisadi zenye vielelezo zaidi ya kupinga vitu bila hoja.

Huyu mzee ni wa kuaminiwa wa nyakati zote. Ni mwiba kwa mafisadi na viongozi dhaifu. Anasimamia anachokiamini kwa nyakati zote hata kama atapoteza au kukutana na dhoruba kali. Alizunguka na wenzie kwa takribani miaka nane tanzania nzima wakituaminisha lowasa fisadi wakiwa na documents. Mwisho wa siku wenzie wakatuambia mwenye ushahidi wa ufisadi wa lowasa aende mahakamani. Ye akaona wale sio wenzie.
 
Miaka ile ukiwa bungeni ulilisaidia taifa lako kuibua madudu mengi sana.

Na ulikiri wazi kuna jamaa zako Usalama wa taifa walikuwa wanakuvujishia nyeti hizo.

Sasa hivi umekiri harufu za ufisadi kurudi kwa kasi ya 5g.

Huu ndio wakati wa kuwalipua mafisadi. Wasiliana na jamaa zako ili wakupe siri na nyeti za mafisadi.
Wengine Kwa matendo na maneno wameshamweka kwenye kundi la wasasaliti,hivyo hata iwapo anataarifa muhimu anaweza kupuuzwa🤭
 
Walimuamini yeye, hawakuiamini chadema. Ndio maana baada ya yeye kuondoka hukusikia tena habari za ufisadi zenye vielelezo zaidi ya kupinga vitu bila hoja.

Huyu mzee ni wa kuaminiwa wa nyakati zote. Ni mwiba kwa mafisadi na viongozi dhaifu. Anasimamia anachokiamini kwa nyakati zote hata kama atapoteza au kukutana na dhoruba kali. Alizunguka na wenzie kwa takribani miaka nane tanzania nzima wakituaminisha lowasa fisadi wakiwa na documents. Mwisho wa siku wenzie wakatuambia mwenye ushahidi wa ufisadi wa lowasa aende mahakamani. Ye akaona wale sio wenzie.
Labda hukumbuki kuwa ile list of shame ni ya Tundu Lisu alimpa slaa kuisoma pale Mwembeyanga.
 
Miaka ile ukiwa bungeni ulilisaidia taifa lako kuibua madudu mengi sana.

Na ulikiri wazi kuna jamaa zako Usalama wa taifa walikuwa wanakuvujishia nyeti hizo.

Sasa hivi umekiri harufu za ufisadi kurudi kwa kasi ya 5g.

Huu ndio wakati wa kuwalipua mafisadi. Wasiliana na jamaa zako ili wakupe siri na nyeti za mafisadi.
ALISHAFIKA BEI CKU HIZI ANASIFU NA KUABUDU
 
Back
Top Bottom