Viongozi makini wanaojali maslahi ya wananchi wao wanapambana kuwa na nishati za uhakika na bei rahisi, viongozi wetu wapo busy kucheza filamu.

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,087
6,568
Nilitegemea mkazo na msisitizo uwe bwawa la Mwl Nyerere likamilike kwa wakati ili umeme ushuke bei na bidhaa zishuke bei. Hii ingekuwa ni nafuu ya maisha kwa watanzania wa hali ya chini.

Lakini kiongozi wetu yupo busy kucheza filamu kwa ajili ya watalii ambao wanapata information kutembelea Tanzania hata kupitia simu za viganjani sio mpaka waangalie Royal tour.

Hatumsikii akitilia mkazo juu bwawa la Nyerere kukamilika kwa wakati. Hatusikii akimuondosha January maana ameprove failure.

Tunachosikikia ni mikakati isiyo na tija kabisa. Maana Nishati ni tatizo na dunia nzima sasa hivi ni changamoto na kila kiongozi anapambana kulitatua.

Tutaumia sana watanzania mpaka tufanye maamuzi.
 
Likamilike kwa hela zipi? Lazma uwe na vyanzo vya mapato.
Au unategemea hela zinaokotwa?
 
Back
Top Bottom