Rais Samia akiongea na waandishi wa Habari leo amekataa kuwa watanzania hawatumii chini ya dola moja kama inavyolipotiwa ambapo ametumia kabila la wahadzabe kama kabila la chini ambao wanaishi kwa...
C.E.O wa Shishi Food ambaye pia ni Msanii wa Bongofleva Shilole, amesema nje ya ndoto yake ya kuja kuwa Mbunge analo ombi kwa Rais Magufuli akimuona anafaa basi walau amteue kuwa Mkuu wa Wilaya...
Sasa dharau kwa mh.Rais wa JMT ,Bibi Samia Suluhu Hassan zimevuka mipaka.
Mh.Rais akiwa ziarani mkoa wa Arusha amelalamikia watu ktk mitandao wakimtuhumu kwa kumuambukiza virus vya Corona makama...
Hakika wewe ni mtu mwema kwa dhati. Umerudisha tabasamu kwa wale waliopoteza hisa ya haki, Umerudisha tabasamu kwa kile ambacho Mungu hupenda au kuchukia kile ambacho Mungu huchukia.
Umeweza...
Wana Jf
Nimefanya sana harakati za kilimo chenye tija ili kuinua pato la taifa pamoja nami mwenyewe kupata fedha za kujikimu.
Nilichokutana nacho ni kile buraha buraha za vijana wa benk wasio...
KIFO CHA RAIS MAGUFULI:WANYONGE NA WALALAHOI WANAJUA WALICHOPOTEZA.
Leo 12:20hrs 21/03/2021
Uwanja wa Uhuru umejaa pomoni Wananchi wakija kwa shughuli moja tu kuaga Mwili wa Rais wa tano wa...
Kama tunawaza sawa sawa na Kama miradi tunayojenga tunatambua thamani yake naamini leo tusingesikia kauli ya Rais kujenga soko Jangwani. Haya ni matumizi mabaya ya fedha. Uwepo wa machinga Karikoo...
KUABUDU MTU NA MATOKEO YAKE!
FEBRUARI 25, 1956, Katibu Mkuu wa Chama cha Komunisti, Nikita Krushchev, alitoa hotuba maarufu iliyoitwa “The Personality Cult and Its Consequences” – “Kuabudu Mtu na...
Namshauri mh. Rais Samia Suluhu Hassan amteue Dkt. Slaa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Tanzania, uzoefu wake utaboresha utendaji wa Tume, na pia Tume itakuwa na uwakilishi wa nguli wa Siasa za...
Sasa hivi kuna uhitaji mkubwa mno wa makaa ya mawe na chuma na Madini ya Nickel yaliyoko kabanga ngara yanahitajika sana Ulaya
Tani moja ya Nickel ilikuwa dola elfu 35 sasa hivi ni dola laki...
Nimeona thread ya invisible
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/266433-mkulo-maige-ngeleja-kikaangoni-takukuru.html
Inayozungumzia waliokuwa mawaziri 3 kuwa wanachunguzwa na TAKUKURU na...
RAIS SAMIA AMEONGEZA ZAIDI YA MSHAHARA KWA WAFANYAKAZI.
Na: Suphian Juma
Katika Taifa letu la Tanzania kama ilivyo mataifa mengine, hakika kundi la 'Wafanyakazi' ni moja ya makundi muhimu sana...
TANESCO NA TENDA KWA KAMPUNI BINAFSI;TTCL NA KAMPUNI BINAFSI ZA SIMU KUANZISHWA TCRA.
Leo 12:15pm 03/05/2022
Tanesco wameazimia kuongeza ufanisi na kasi katika kuunganisha umeme kwa...
WATUMIAJI wa simu za mkononi nchini sasa watalazimika kuumia zaidi kufuatia hatua ya Bunge kupendekeza kuanzishwa kodi mpya ya kadi za simu za mkononi (Sim-Card), inayolenga kukusanya kiasi cha sh...
Wanabodi
Kasi ya kukua kwa uchumi wa Tanzania ya Magufuli, ambayo umekuwa ukikua kwa asilimia zaidi ya asilimia 7% kwa mwaka, ukuaji huu is not reflected kwa Watanzania wa hali ya chini ambao...
Hakiwahutubia wanaCCM wa kisiwa cha Pemba, Dkt Shein amesema ahadi alizozitoa katika kampeni za uchaguzi uliopita atazitekeleza kwani ahadi zake hazikuwa za kuombea kura tu bali kuzitekeleza kwa...
Igweeeeee
Itakumbukwa mwishoni mwa 2021 ndugu Lissu aliyeko huko Belgium na Lema aliyeko huko Canada waliutangazia umma wa watanzania na wafuasi wa CHADEMA kuwa watarudi nchini mwezi March au...
Mwandishi wa habari nguli na mwanasheria Pascal Mayalla amesema mtandao wa JamiiForums ndiyo bora katika utoaji elimu pamoja na kwamba kuna baadhi ya members waliomba Corona ije nchini.
Mayalla...