Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni ujinga wa kiwango Cha Rami kuamini yakuwa tanzania haijulikani kwa wazungu, Nataka niwambie Watanzania mnadanganywa wazungu wanasoma sana kuliko nyinyi wabongo lala, wazungu wanaijua...
0 Reactions
4 Replies
722 Views
Ni hizi nyumba wanazopewa marais wastaafu… Hivi nani huwa anaishi humo? Ni kweli kabisa huwa wanahamia humo au huendelea kuishi walikokuwa wakiishi awali kabla ya kupewa? Mfano Rais mstaafu...
9 Reactions
66 Replies
6K Views
Wana JF leo katika viwanja vinne tofauti vya kampeni Mbunge wa Musoma Mjini ambae ndie Meneja Kampeni wa Arumeru Mashariki (Vincent Nyerere) amemjibu Mkapa kuwa. Aache unafiki wa siasa kwani ana...
94 Reactions
894 Replies
106K Views
“Tanzania yetu ilikwenda tukafika uchumi wa kati tukarudishwa, kwa uwezo wa Mungu wala si uwezo wa mtu, sasa hivi kazi yetu ni kupambana kurudi tulikokuwa tusije tukarudishwa tukaambiwa hamfai...
7 Reactions
451 Replies
25K Views
Kila mmoja mwenye akili timamu amepatwa na mshangao jinsi kiongozi huyu wa muhimili muhimu wa bunge kubadilika ghafla. Tanzania tuna bahati mbaya kupata kiongozi mnafiki kwenye uongozi wa juu kama...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Moja ya takwa la mtu kuwa kiongozi mzuri ni kufahamu takwimu na kuziheshimu. Kama hili eneo upo mtupu huwezi kuongoza vizuri. Kwa mfano, Tanzania ni nchi ambayo raia wake wengi hawana umeme...
10 Reactions
39 Replies
3K Views
Nakumbuka miaka ile ya utotoni namna chuo cha uongozi cha kivukoni kilivyokuwa maarufu. Ukipanda pantoni pale feri ndani ya dakika chache umeshafika Kivukoni. Walikuwepo makada halisi wa Chama...
4 Reactions
16 Replies
950 Views
Wanabodi, Hili ni bandiko kuhusu Trend reading, Trend Reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo jambo lililofanyika...
49 Reactions
272 Replies
24K Views
Kama kichwa cha habari kisemavyo. Binafsi nimevutiwa sana na uchapaji kazi wako baada ya kuhamia katika wizara ya ofisi ya makamu rais muungano na mazingira ndani ya siku takriban 60-70 tangu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimefuatilia kwa muda mrefu kauli za viongozi hawa wa ccm, itaona wameelekeza mashambulizi yao kwa mto mmoja. Mengi yamesemwa na ahadi nyingi tuliambiwa kuhusu hayo magamba matatu. Tumeshuhudia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
"'...Vijana woote waliomaliza Form Four watafanyiwa sensa wajulikane wako wangapi...hawa ndio 'watakao saidia kuendeleza' kilimo kwanza...... na Mheshimiwa rais nimeishamwambia."' Mheshimiwa...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Nimebahatika kuangalia filamu ya Royal Tour. Mimi binafsi haijanivutia, na hata watoto wangu wamesema hawajaona jambo jipya. Filamu imeonyesha mlima Kilimanjaro, Zanzibar, Ngorongoro, Serengeti...
81 Reactions
350 Replies
26K Views
Eid Mubarak.. Kwa Maoni yangu hii haijakaa sawa.. Kwa nini kuweka maudhui ya kisiasa kwenye Filamu ya kutangaza utalii? Je! Watu wa Serikali wameruhusu mambo hayo yatoke?
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Mkoa wa Dar es salaam umezindua kampeni ya chanjo ya Uviko wimbi la tano ambapo wananchi wanaombwa kujitokeza na kupata chanjo ya ugonjwa huu hatari duniani. RC Makalla amewataka wananchi...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Rais Samia amesema zoezi la uchanjaji limekwenda vizuri lakini kwa sasa kumekuwa na kasi ndogo hivyo serikali imejipanga kuja na kampeni kubwa zaidi ya kuhamasisha uchanjaji ili kujikinga na...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Waungwana Salam, Wakili Msomi Jeremiah Mtobesya aliyekuwa miongoni mwa jopo la mawakili wa utetezi kesi ya ugaidi ya Mbowe na wenzake ni miongoni mwa waliopendekezwa kuwania nafasi ya Urais wa...
5 Reactions
32 Replies
4K Views
Mimi binafsi kama Fumadilu Kalimanzila toka ulipoteuliwa kuwa Waziri wa Nishati na ukaanza kuunda Bodi ya TANESCO na haraka sana hata kabla ya kutembelea miradi uliyokuta chini ya Wizara yako kama...
26 Reactions
62 Replies
5K Views
Kupitia kurasa wake wa Twitter, Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo amepinga maneno ya Dkt. Wilbroad Slaa akidai kuwa Sheria ya Ukaguzi wa Fedha (2009), inaeleza baada ya CAG kukabidhi ripoti kwa...
9 Reactions
40 Replies
4K Views
LEMA ATAKIWA KUNAWA MIKONO YAKE KWANZA GOBLESS LEMA, Mbunge wa zamani wa Arusha, amekosoa Uongozi wa Prof. Hoseah kama Rais wa TLS. Amelaumu juu ya ukimya, na kujaribu kusimulia habari za...
0 Reactions
41 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…