Wakili Jeremiah Mtobesya ajitosa Urais TLS

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,446
Reaction score
3,319
Waungwana Salam,

Wakili Msomi Jeremiah Mtobesya aliyekuwa miongoni mwa jopo la mawakili wa utetezi kesi ya ugaidi ya Mbowe na wenzake ni miongoni mwa waliopendekezwa kuwania nafasi ya Urais wa Chama Cha wanasheria wa Tanganyika (TLS).

Mpaka sasa wagombea waliopendekezwa ni watatu wengine ni wakili msomi Profesa Edward Hossea ambaye pia ni Rais wa Sasa wa TLS na wakili msomi Harold Sungusia.

Zoezi la upendekezaji wa Wagombea Bado linaendelea na wanatakiwa kupendekeza jina la mgombea katika hatua hii ni Mawakili na Wagombea wanaruhusiwa pia kujipendekeza.

images (4).jpg
 
Attachments

View attachment 2168391
Kwani uchaguzi ni lini ??!
 
Huyo ni chadema
 
KURA ZOTE KWAKE
 
Kwani Katiba ya TLS inaruhusu Hosea kugombea tena?
ndio Ila kila mwaka uchaguzi Hawa ccm bila kummanga Lisu mpaka Leo yule angekua rais wao wamilele pengine labda urais wa JMT ungemfanya ajipunguzie kofia Hana u greed wa kofia umenipata kuhusu kofia?
 
Back
Top Bottom