Lema atakiwa kunawa mikono yake kwanza

simonrajab

Member
Jan 15, 2022
47
16
LEMA ATAKIWA KUNAWA MIKONO YAKE KWANZA

GOBLESS LEMA, Mbunge wa zamani wa Arusha, amekosoa Uongozi wa Prof. Hoseah kama Rais wa TLS.

Amelaumu juu ya ukimya, na kujaribu kusimulia habari za kusadikika kwamba eti, TLS inatakiwa kupigia kelele uonevu, rushwa, ukandamizaji, na mambo mengine.

Huyu jamaa ni MNAFIKI wa kiwango cha juu sana.

Kuna msemo wa kizungu unasema Charity begins at home. Yaani Hisani/Utu wema huanzia nyumbani mwako.

Pia kuna msemo wa kizungu kwa jamii ya Wanasheria, usemao He who comes to an Equity must come with clean hands. Yaani "Mtu anayekwenda kudai Haki ni lazima awe na mikono misafi."

Kwamba, huwezi kuwa na Haki ya usafi wa kudai Haki kwa Mahakama dhidi ya Mtu ambaye hukumtendea haki ulipotakiwa kutenda haki. Unapoteza 'Moral authority.'

Hii haiongozi taratibu za kudai haki mahakamani tu, hata kwa jamiii. Umma ndiyo Mahakama Kubwa zaidi.

Biblia inasisitiza Luka 6:41
"Basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii?"

Mtazame Lema alivyochafuka;

1. Lema ni M/Kiti wa Programu ya CHADEMA maarufu kwa jina la JOIN THE CHAIN iliyolenga kukusanya mapato ya chama kupitia hamasa ya Michango kwa Wanachama, Wafuasi, Wadau, Wahisani na Wapenzi wa chama hicho.

Hadi sasa zoezi hilo limedorora kutokana na "Upigaji" na Ukosefu wa UWAZI juu ya maendeleo ya makusanyo hayo ili Watu wote wajue zimekusanywa jumla kiasi gani, na inapungua kiasi gani katika malengo yaliyowekwa ya kukusanya jumla ya Sh.1bilioni kwa mwezi.

Ndani ya Kamati yao maalumu ya JOIN THE CHAIN tayari mtafaruku umetokea, Lema anatuhumiwa kutwanga pesa hizo kwa mambo yake binafsi, ndiyo maana hadi leo anashindwa kutoa data za kiasi halisi zilizopatikana.

Unasemaje unapiga kelele dhidi ya Uonezi, Rushwa, na madhambi mengine kwa jamii, huku unaiba pesa za Wanajamii wanaokipenda chama na kujitolea kuchangia?

2. Lema alihusika kuhamasisha Makusanyo ya pesa kwaajili ya Kuwalipa na kuwahudumia Mawakili waliounda jopo la Utetezi kwaajili ya Freeman Mbowe na wenzake. Kesi ya Ugaidi.

Kupitia Program maalumu iliyopewa 'hashtag' ya "GO FUND ME" ambayo kwa asilimia kubwa ilisimamiwa na "Tanzania Diaspora" (Watanzania waishio nje ya nchi).

Hadi kufikia tarehe 01.02.2022 kwa mujibu wa Mtandao maalumu ulioanzishwa kwa malengo hayo, Jumla ya USD13,813 ambazo ni Takribani TSh. 30Milioni zilikusanywa hadi tarehe hiyo.

Pesa hiyo haikuwafikia Mawakili wote waliohusika kwenye kesi hiyo tangu mwanzo hadi mwisho.

Wakili kiongozi waliyeongoza jopo hilo aligawana na wachache aliowapenda yeye.

Malalamiko ya baadhi ya Mawakili walionyimwa pesa hizo yalifikishwa kwa Viongozi mbalimbali, GODLESS LEMA ni mmojawapo.

Lema kama alivyofanya Askofu Mwamakula, hajawahi kuchukua hatua yoyote kuwatetea Mawakili hao walionyimwa malipo halali ambayo walistahili kutokana na Michango ya Wasamaria waliojitolea kuwafanya Mawakili wote waendelee na majukumu yao kwenye kesi ya Mbowe angalau kwa amani na uhakika wa angalau "Nauli/Mafuta, Chakula, na pesa ya Kujikimu" kwa miezi yote ya kesi husika.

Hao ni Mawakili ambao kwa kiasi kikubwa walikuwa ni Wanachama wa CHADEMA ambao Lema ni Kiongozi wao, lakini ameshindwa kuwasemea.

Je, hiyo ndiyo Haki unayopigania kwa jamii na umma wa Tanzania?

Kama huna uwezo wa kuwasemea watu Wachache ndani ya nyumba yako (CHADEMA) mawakili wasiozidi 15, huo ujasiri na usafi wa Kujifanya unawasemea Watanzania wote milioni 60 unaupata wapi?

Biblia inaongeza; Luka 6:42
"...utawezaje kumwambia ndugu yako, Ndugu yangu, niache nikitoe kibanzi kilicho ndani ya jicho lako, nawe huiangalii boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe? Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe, ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi kilichomo katika jicho la ndugu yako."
(Msisitizo umeongezwa 'bold').

Lema anatoa "Lecture" bandia kwa Mawakili, eti wanapaswa kubadilisha Uongozi...huku wakitafakari juu ya nchi.

Ni vyema Lema akumbushwe, Kunawa kwanza Mikono yake kabla hajaja kwa umma wa Mawakili na Watanzania, kujaribu kuisemea HAKI.

Jamii ya Mawakili ni jamii ya Wasomi ambayo mtu mwenye elimu ya chini ana "Degree moja na Nusu" (LL + PGDLP), hawahitaji "lecturer Kanjanja" kama Lema, ili kumpata Rais wao.

Tengeneza kwanza mambo ya nyumbani mwako, watendeeni haki watu wa kwenu, watendee haki watu waliokichangia chama michango yao; ili upate kibali cha usafi kwa umma. UNAFIKI hautakusaidia!

Au umeamua kutumia msemo wa Nyani haoni kundule, unajifanya huoni maovu yako?

Ugali uliobebwa kwenye sahani chafu yenye kinyesi hauliki, hata kama mboga imeungwa sana.

BADILIKA!
 
Tangu aondoke Arusha wizi wa magari umekwisha kabisa.
Lema alipiga makusanyo ya mitandaoni, Mbowe akapiga Hela zilizokuwa zinakusanywa mabarabarani, nazo hazijatolewa taarifa mpaka Leo, na zoezi lenyewe limekufa.

Nasikia anabembeleza mawakala wamuunge na C.I.A
 
Naona unamlaumu Lema kutokana na unaouita "upigaji" sijui hata kama unajua maana ya hizo alama "..."

Hizo alama zinamaanisha ulichoandika ni kelele tu, hauna uthibitisho nazo, sasa nani atakuamini kwa ulichoandika kuhusu Lema?

Mimi binafsi naamini kweli Dr. Hosea hafai kuendelea kuwa Rais wa TLS, ni mkimya sana, mbaya zaidi hata yeye alishasema sio mpiga kelele. Sasa kama anakalia kimya uovu unaotokea Tanzania kwanini apewe kura?
 
Sasa hivi analipwa na MOSSAD na CIA huko wakim-train jinsi ya kuhujumu nchi, Kila siku anahudhuria mafunzo katika madarasa maalum
 
Naona unamlaumu Lema kutokana na unaouita "upigaji" sijui hata kama unajua maana ya hizo alama "..."

Hizo alama zinamaanisha ulichoandika ni kelele tu, hauna uthibitisho nazo, sasa nani atakuamini kwa ulichoandika kuhusu Lema?

Mimi binafsi naamini kweli Dr. Hosea hafai kuendelea kuwa Rais wa TLS, ni mkimya sana, mbaya zaidi hata yeye alishasema sio mpiga kelele. Sasa kama anakalia kimya uovu unaotokea Tanzania kwanini apewe kura?
MAKUBWA ALIYOYAFANYA EDWARD HOSEA, AKIWA RAIS WA TLS KWENYE KIPINDI CHA MWAKA MMOJA

1 - AMELETA BIMA YA GHARAMA NAFUU KWA MAWAKILI WASOMI, AMBAYO KILA MMOJA ANAWEZA KUIMUDU.

- KABLA YA HOSEA GHARAMA YA BIMA ILIKUA NI MILIONI 1.5 BAADA YA HOSEA KUINGIA KWENYE UONGOZI GHARAMA YA BIMA IMEKUA LAKI 5.

2 - AMESAIDIA MAWAKILI WENYE ULEMAVU KUPEWA KIPAUMBELE MAHAKAMANI.

3 - AMESAIDIA KUANZISHWA KWA JUKWAA LA MAWAKILI VIJANA.

4 - AMEPUNGUZA TOZO ZA WANASHERIA KUTOKA SHILINGI ELFU 60 HADI ELFU 20

5 - AMETOA MAFUNZO YA BURE KWA MAWAKILI WASOMI KUPITIA USHIRIKIANO WA CHAMA CHA MAWAKILI CHA AFRIKA MASHARIKI

6 - AMEKUA MTETEZI MKUBWA WA MAWAKILI HAKUNA WAKILI ALIYEFUNGIWA KWA KOSA LOLOTE KWENYE KIPINDI CHAKE CHA UONGOZI

7 - AMEIMARISHA MAHUSIANO YA TLS NA SERIKALI, BUNGE NA MAHAKAMA.

#HoseaTenaAnatosha
 
Tangu aondoke Arusha wizi wa magari umekwisha kabisa.
Lema alipiga makusanyo ya mitandaoni, Mbowe akapiga Hela zilizokuwa zinakusanywa mabarabarani, nazo hazijatolewa taarifa mpaka Leo, na zoezi lenyewe limekufa.

Nasikia anabembeleza mawakala wamuunge na C.I.A

Haichekeshi.
 
LEMA ATAKIWA KUNAWA MIKONO YAKE KWANZA

GOBLESS LEMA, Mbunge wa zamani wa Arusha, amekosoa Uongozi wa Prof. Hoseah kama Rais wa TLS.

Amelaumu juu ya ukimya, na kujaribu kusimulia habari za kusadikika kwamba eti, TLS inatakiwa kupigia kelele uonevu, rushwa, ukandamizaji, na mambo mengine.

Huyu jamaa ni MNAFIKI wa kiwango cha juu sana.

Kuna msemo wa kizungu unasema Charity begins at home. Yaani Hisani/Utu wema huanzia nyumbani mwako.

Pia kuna msemo wa kizungu kwa jamii ya Wanasheria, usemao He who comes to an Equity must come with clean hands. Yaani "Mtu anayekwenda kudai Haki ni lazima awe na mikono misafi."

Kwamba, huwezi kuwa na Haki ya usafi wa kudai Haki kwa Mahakama dhidi ya Mtu ambaye hukumtendea haki ulipotakiwa kutenda haki. Unapoteza 'Moral authority.'

Hii haiongozi taratibu za kudai haki mahakamani tu, hata kwa jamiii. Umma ndiyo Mahakama Kubwa zaidi.

Biblia inasisitiza Luka 6:41
"Basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii?"

Mtazame Lema alivyochafuka;

1. Lema ni M/Kiti wa Programu ya CHADEMA maarufu kwa jina la JOIN THE CHAIN iliyolenga kukusanya mapato ya chama kupitia hamasa ya Michango kwa Wanachama, Wafuasi, Wadau, Wahisani na Wapenzi wa chama hicho.

Hadi sasa zoezi hilo limedorora kutokana na "Upigaji" na Ukosefu wa UWAZI juu ya maendeleo ya makusanyo hayo ili Watu wote wajue zimekusanywa jumla kiasi gani, na inapungua kiasi gani katika malengo yaliyowekwa ya kukusanya jumla ya Sh.1bilioni kwa mwezi.

Ndani ya Kamati yao maalumu ya JOIN THE CHAIN tayari mtafaruku umetokea, Lema anatuhumiwa kutwanga pesa hizo kwa mambo yake binafsi, ndiyo maana hadi leo anashindwa kutoa data za kiasi halisi zilizopatikana.

Unasemaje unapiga kelele dhidi ya Uonezi, Rushwa, na madhambi mengine kwa jamii, huku unaiba pesa za Wanajamii wanaokipenda chama na kujitolea kuchangia?

2. Lema alihusika kuhamasisha Makusanyo ya pesa kwaajili ya Kuwalipa na kuwahudumia Mawakili waliounda jopo la Utetezi kwaajili ya Freeman Mbowe na wenzake. Kesi ya Ugaidi.

Kupitia Program maalumu iliyopewa 'hashtag' ya "GO FUND ME" ambayo kwa asilimia kubwa ilisimamiwa na "Tanzania Diaspora" (Watanzania waishio nje ya nchi).

Hadi kufikia tarehe 01.02.2022 kwa mujibu wa Mtandao maalumu ulioanzishwa kwa malengo hayo, Jumla ya USD13,813 ambazo ni Takribani TSh. 30Milioni zilikusanywa hadi tarehe hiyo.

Pesa hiyo haikuwafikia Mawakili wote waliohusika kwenye kesi hiyo tangu mwanzo hadi mwisho.

Wakili kiongozi waliyeongoza jopo hilo aligawana na wachache aliowapenda yeye.

Malalamiko ya baadhi ya Mawakili walionyimwa pesa hizo yalifikishwa kwa Viongozi mbalimbali, GODLESS LEMA ni mmojawapo.

Lema kama alivyofanya Askofu Mwamakula, hajawahi kuchukua hatua yoyote kuwatetea Mawakili hao walionyimwa malipo halali ambayo walistahili kutokana na Michango ya Wasamaria waliojitolea kuwafanya Mawakili wote waendelee na majukumu yao kwenye kesi ya Mbowe angalau kwa amani na uhakika wa angalau "Nauli/Mafuta, Chakula, na pesa ya Kujikimu" kwa miezi yote ya kesi husika.

Hao ni Mawakili ambao kwa kiasi kikubwa walikuwa ni Wanachama wa CHADEMA ambao Lema ni Kiongozi wao, lakini ameshindwa kuwasemea.

Je, hiyo ndiyo Haki unayopigania kwa jamii na umma wa Tanzania?

Kama huna uwezo wa kuwasemea watu Wachache ndani ya nyumba yako (CHADEMA) mawakili wasiozidi 15, huo ujasiri na usafi wa Kujifanya unawasemea Watanzania wote milioni 60 unaupata wapi?

Biblia inaongeza; Luka 6:42
"...utawezaje kumwambia ndugu yako, Ndugu yangu, niache nikitoe kibanzi kilicho ndani ya jicho lako, nawe huiangalii boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe? Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe, ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi kilichomo katika jicho la ndugu yako."
(Msisitizo umeongezwa 'bold').

Lema anatoa "Lecture" bandia kwa Mawakili, eti wanapaswa kubadilisha Uongozi...huku wakitafakari juu ya nchi.

Ni vyema Lema akumbushwe, Kunawa kwanza Mikono yake kabla hajaja kwa umma wa Mawakili na Watanzania, kujaribu kuisemea HAKI.

Jamii ya Mawakili ni jamii ya Wasomi ambayo mtu mwenye elimu ya chini ana "Degree moja na Nusu" (LL + PGDLP), hawahitaji "lecturer Kanjanja" kama Lema, ili kumpata Rais wao.

Tengeneza kwanza mambo ya nyumbani mwako, watendeeni haki watu wa kwenu, watendee haki watu waliokichangia chama michango yao; ili upate kibali cha usafi kwa umma. UNAFIKI hautakusaidia!

Au umeamua kutumia msemo wa Nyani haoni kundule, unajifanya huoni maovu yako?

Ugali uliobebwa kwenye sahani chafu yenye kinyesi hauliki, hata kama mboga imeungwa sana.

BADILIKA!
Usisahau pia kuwa two wrongs do not make a right.

Inawezekana Lema akawa na mapungufu, na maneno aliyosema kuhusu Hosea yakawa ya kweli.

Huja address ya Hosea.
 
Kama wewe ndio Edward Hosea au ndio mpiga debe wake, ungetutendea haki kutueleza Hosea amefanya nini kwa uongozi wake wa mwaka mmoja ingawa kwa maoni yangu mwaka mmoja hautoshi kwa mtu kufanya la maana.

Binafsi Hosea alishanitia kichefuchefu alivyokuwa Mkurugenzi wa Takukuru, sina imani kabisa na mtu huyu.

By the way TLS ni chama cha wadomi ni wao ndio wanajuwa nani anawafaa na kwa nini, sisi wengine kina mbonde yangu mambo.
 
Usisahau pia kuwa two wrongs do not make a right.

Inawezekana Lema akawa na mapungufu, na maneno aliyosema kuhusu Hosea yakawa ya kweli.

Huja address ya Hosea.
Hawezi kukueleza, hao ni wapiga debe wa Hosea wamejaa "rantings" tu hawana hoja.
 
Kati ya watu walioharibu mji wa Arusha kwa maandamano ya kijinga ni Lema.

Kisa huko kwao machame haifanyiki mikutano ya kimataifa

Akaamua aje atuharibie.

Abakie huko huko Canada.
 
Ww lazima utakuwa ni mzee ndio maana propaganda ya wizi wa magari bado iko kichwani mwako. Nani siku hizi anaiba magari kwa technology iliyopo? Na ulivyozeeka wala hustuki kuwa hiyo propaganda haikutoi.
Kwa hiyo siku hizi magari hayaibiwi?
 
Back
Top Bottom