Hili la Symbion kulipwa Tshs. Bilioni 356, January Makamba tunakutahadharisha mapema

Fumadilu Kalimanzila

JF-Expert Member
Dec 10, 2016
1,651
5,126
Mimi binafsi kama Fumadilu Kalimanzila toka ulipoteuliwa kuwa Waziri wa Nishati na ukaanza kuunda Bodi ya TANESCO na haraka sana hata kabla ya kutembelea miradi uliyokuta chini ya Wizara yako kama ule wa Nyerere Hydropower (Stiglers Gorge) ukakimbilia ubalozi wa Marekani kuanza kuomba misaada katika sekta ya Nishati nikaanza kutilia shaka uwezo wako ambao nasema frankly uko overrated!

Makala zangu kuhusu hayo maamuzi yako ya uundaji wa Bodi ya TANESCO na kukimbilia misaada kutoka Marekani ziko humu JF unaweza kuzi- retrieve ukitaka.

Kama nilivyodokeza kwenye Heading ni kwamba tunakutahadharisha ( nasema tunakutahadharisha sisi "like minded people") kuhusu hili la mazingira mnayojenga ya kuilipa Symbion Tshs.bilioni 356 za Watanzania!

Mhe.January toka mwanzo nilikwambia kuwa hii wizara ya Nishati kwa zaidi ya miongo mitatu ndiyo imekuwa " cash cow" kwa wapiga deals kubwa hapa Nchini kuanzia "dubious deals" za IPTL, RICHMOND,DOWANS, TEGETA ESCROW etc.

Na wewe Mhe. January ulipoingia tu Wizara ya Nishati ukaanza na " escape velocity" , tumeona haraka ukawapa wale wahindi contract ya management software ya dola milioni 30 ( karibia bilioni 70 za Tz)! Mchakato wa zabuni hiyo haueleweki!

Tumeona sasa kwa muda wa miezi kadhaa umeme umekuwa ni katika katika! Ukihojiwa na Wabunge na wananchi unasema wanaohoji hawakupenda Mhe.Samia awe Rais wa JMT!

Suluhisho mlilotoa hivi majuzi baada ya kuondoa mambo ya kuwaunganishia wananchi umeme kwa Tshs.27,000/= kama alivyoacha Hayati Magufuli ni sasa kampuni binafsi kuruhusiwa kuwaunganishia wananchi umeme.

Na tunajua kupitia Makampuni yenu hayo mtawaunganishia Wananchi umeme kwa bei tunazoita " cut throat prices "! yaani bei za kukata koo za wananchi!

Hili la Symbion kulipwa Tshs.356 bilioni nalo tuliona mlianza kulijengea mazingira mapema tu baada ya ripoti ya CAG kutoka.

Tunaojua ku- connect dots tukaona mercenary soldier (askari wa kulipwa) wenu Zitto Kabwe akaanza kwa kumkashifu Hayati Rais Magufuli kwa kila namna! Mara Rais fisadi ever kuwahi kutokea Tanzania, Mara wanaompenda wakajizike pembeni yake Chato ( aibu sana kwa mnafiki huyo)!

Sasa leo mnakuja na maneno ya kijinga ( nasema kijinga siyo kipumbavu) eti Symbion walipwe bilioni 356 kwa kuwa Hayati Magufuli alivunja mikataba yao kinyemela!
Halafu kwa ujinga mnaweka na mapicha eti walishindwa kulipa hadi Wafanyakazi!

Mhe.January Makamba kaeni mkijua kama alivyowahi kusema Hayati Rais Magufuli kwamba Watanzania si wajinga! Nami nakazia kuwa Watanzania wote si wajinga!!

Tunakuomba Mhe.Waziri January Makamba tuambie sisi Watanzania kabla humjawalipa Symbion bilioni zetu 356 ni Mahakama gani hiyo ime- adjudicate na kusema Mkataba wao ulivunjwa kinyemela na kuwa- award hiyo decree mnayokwenda kuwalipia hiyo bilioni 356!!

Tunaomba Namba ya hiyo Case nasi tuweze kujiridhisha na kama kuna grounds za Appeal tuweze kushauri!

Na kama mtawalipa bila kuwa wazi basi hizo mtakazolipa ni fedha zenu si za Watanzania na mkae mkijua IPO siku mtazirejesha !!!
 
January anahusika nini na seriksli kushindwa kesi na Symbion? Kesi zote za serikali zinasimamiwa na ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali, kwahiyo kama ni lawama na vitisho vyako ungevielekeza huko. Nyinyi ndio mnaotufanya tuamini vita yenu na January ni zaidi ya tujuavyo, kuna kitu nyuma ya pazia!
Mbaya zaidi mmeshindwa kuficha chuki yenu mmebaki kumshambulia January kwa kila jambo hata lisilomhusu. January kama waziri hana maamuzi wala hahusiki na kesi inazoshitakiwa serikali , na tena hana maamuzi ya kuamua km serikali ilipe madeni au la! Hebu mwacheni jamaa afanye kazi
 
Makamba, Makamo mwenyekiti, ukanda wote wa Msoga... HAWA KIHISTORIA NI MAJIZI , NI MAJIZI NA HAYANA HURUMA YOYOTE YA NCHI HII.

kinachoniuma, Tuna Taasisi ya Usalama Mbovu mbovu kupindukia, wao wanadeal na Wapinzani tu.

Haya, Katiba ya Nchi nayo pamoja na Ubovu wake wote, IMEKOSWA KIONGOZI WA KUISIMAMIA .

ITACHUKUA MIAKA MINGI SANA KUMPATA MAGUFULI MPYA.

saizi Kila mtu anajipigia, shamba la bibi!!!.... Anasimama mtu anakuambia "Nimeamua kufanya hii ROYO TUWA , kuitangaza nchi !!

Ujinga na Aibu kubwa ilofadhiliwa na wafanyabiashara ambao Sasa ndio wanaenda kulipwa mabilioni.
 
Tunaomba hiyo Case inayohusu huo Mkataba.
 
Eti January ni zaidi ya tujuavyo, tumpafu kweli wewe..! Yule mlamba asali ambayo ata hajui mchonga mzinga.
 
Makamba, Makamo mwenyekiti, ukanda wote wa Msoga... HAWA KIHISTORIA NI MAJIZI , NI MAJIZI NA HAYANA HURUMA YOYOTE YA NCHI HII.

kinachoniuma, Tuna Taasisi ya Usalama Mbovu mbovu kupindukia, wao wanadeal na Wapinzani tu.

Haya, Katiba ya Nchi nayo pamoja na Ubovu wake wote, IMEKOSWA KIONGOZI WA KUISIMAMIA .

ITACHUKUA MIAKA MINGI SANA KUMPATA MAGUFULI MPYA.

saizi Kila mtu anajipigia, shamba la bibi!!!.... Anasimama mtu anakuambia "Nimeamua kufanya hii ROYO TUWA , kuitangaza nchi !!

Ujinga na Aibu kubwa ilofadhiliwa na wafanyabiashara ambao Sasa ndio wanaenda kulipwa mabilioni.
Msoga ni mtu wa hovyo, mlafi na mbinafsi asiye na chembe ya UZALENDO. Hivi watanzania tumerogwa MAGUFULI ALISEMA DHAIHIRI NIKIOONDOKA SIJUI NANI ATAFANYA HAYA...
 
Tunaomba hiyo Case inayohusu huo Mkataba
Omba ofisi ya Mwanasheria wa serikali sio kumlaumu Waziri ambaye ni msimamizi tu wa sera wizarani. Labda nikuulize tu January anahusika nini na kesi za kuvunjwa mikataba zilizofunguliwa na kampuni mbalimbali? Wakati wa JPM serikali imelipa sh ngapi kwa kesi za kuvunja mikataba? Uliwahi kudai namba ya hizo kesi au kulalamika? Kwanini iwe sasa?
 
Halafu sasa Magufuli akuvunja mkataba wa Symbion tatizo la mijizi kwenye nchi hii ni umahiri wao wa kutengeneza story yenye uongo mkubwa na robo ukweli.

Baada ya hapo wale viazi wa Twitter kwa chuki zao za kishamba kwa Magufuli wanashadidia mpaka habari inakosa fact sahihi inapofika kwenye media.

Magufuli akuvunja mkataba wa Symbion ali-terminate renewal extension ya mkataba wakimaliza muda waliopewa basi tena.

Symbion wanadai kwa uelewa wao walikuwa na MoU na serikali kupewa extension mkataba ukiisha. With that knowledge waliwekeza kwenye mitambo kwa mategemeo muda wa mkataba utaongezwa. Ivyo basi wapewe fidia on their investments kwa kunyimwa kibali cha kuendelea na mkataba not sure kama hizo gharama zao za damages ni justifiable.

Sasa ukisoma hawa waandishi wetu wa vyombo vya habari wanachoandika na wasoma magazeti kwenye hizi radio uchwara wanavyokuza mambo ni hatari sana kwenye kupotosha, yote msingi wake Twitter.
 
Mimi binafsi kama Fumadilu Kalimanzila toka ulipoteuliwa kuwa Waziri wa Nishati na ukaanza kuunda Bodi ya TANESCO na haraka sana hata kabla ya kutembelea miradi uliyokuta chini ya Wizara yako kama ule wa Nyerere Hydropower (Stiglers Gorge) ukakimbilia ubalozi wa Marekani kuanza kuomba misaada katika sekta ya Nishati nikaanza kutilia shaka uwezo wako ambao nasema frankly uko overrated!

Makala zangu kuhusu hayo maamuzi yako ya uundaji wa Bodi ya TANESCO na kukimbilia misaada kutoka Marekani ziko humu JF unaweza kuzi- retrieve ukitaka.

Kama nilivyodokeza kwenye Heading ni kwamba tunakutahadharisha ( nasema tunakutahadharisha sisi "like minded people") kuhusu hili la mazingira mnayojenga ya kuilipa Symbion Tshs.bilioni 356 za Watanzania!

Mhe.January toka mwanzo nilikwambia kuwa hii wizara ya Nishati kwa zaidi ya miongo mitatu ndiyo imekuwa " cash cow" kwa wapiga deals kubwa hapa Nchini kuanzia "dubious deals" za IPTL, RICHMOND,DOWANS, TEGETA ESCROW etc.

Na wewe Mhe. January ulipoingia tu Wizara ya Nishati ukaanza na " escape velocity" , tumeona haraka ukawapa wale wahindi contract ya management software ya dola milioni 30 ( karibia bilioni 70 za Tz)! Mchakato wa zabuni hiyo haueleweki!

Tumeona sasa kwa muda wa miezi kadhaa umeme umekuwa ni katika katika! Ukihojiwa na Wabunge na wananchi unasema wanaohoji hawakupenda Mhe.Samia awe Rais wa JMT!

Suluhisho mlilotoa hivi majuzi baada ya kuondoa mambo ya kuwaunganishia wananchi umeme kwa Tshs.27,000/= kama alivyoacha Hayati Magufuli ni sasa kampuni binafsi kuruhusiwa kuwaunganishia wananchi umeme.

Na tunajua kupitia Makampuni yenu hayo mtawaunganishia Wananchi umeme kwa bei tunazoita " cut throat prices "! yaani bei za kukata koo za wananchi!

Hili la Symbion kulipwa Tshs.356 bilioni nalo tuliona mlianza kulijengea mazingira mapema tu baada ya ripoti ya CAG kutoka.

Tunaojua ku- connect dots tukaona mercenary soldier (askari wa kulipwa) wenu Zitto Kabwe akaanza kwa kumkashifu Hayati Rais Magufuli kwa kila namna! Mara Rais fisadi ever kuwahi kutokea Tanzania, Mara wanaompenda wakajizike pembeni yake Chato ( aibu sana kwa mnafiki huyo)!

Sasa leo mnakuja na maneno ya kijinga ( nasema kijinga siyo kipumbavu) eti Symbion walipwe bilioni 356 kwa kuwa Hayati Magufuli alivunja mikataba yao kinyemela!
Halafu kwa ujinga mnaweka na mapicha eti walishindwa kulipa hadi Wafanyakazi!

Mhe.January Makamba kaeni mkijua kama alivyowahi kusema Hayati Rais Magufuli kwamba Watanzania si wajinga! Nami nakazia kuwa Watanzania wote si wajinga!!

Tunakuomba Mhe.Waziri January Makamba tuambie sisi Watanzania kabla humjawalipa Symbion bilioni zetu 356 ni Mahakama gani hiyo ime- adjudicate na kusema Mkataba wao ulivunjwa kinyemela na kuwa- award hiyo decree mnayokwenda kuwalipia hiyo bilioni 356!!

Tunaomba Namba ya hiyo Case nasi tuweze kujiridhisha na kama kuna grounds za Appeal tuweze kushauri!

Na kama mtawalipa bila kuwa wazi basi hizo mtakazolipa ni fedha zenu si za Watanzania na mkae mkijua IPO siku mtazilipa !!!
Dawa ya deni ni kulipa
 
Kiukweli hayo yanayoendelea ipo siku waliokuwa na dhamana watajibu. Hata hivyo wanaamini kwa sasa baada ya kumuweka makamu mwenyekiti bara ambaye ni mtu wao kuwa hakuna raisi atakayeingia madarakani ambaye anamlengo wa kushoto na wao.narudia ipo siku watajibu utapel huu unaofanyika
 
Halafu sasa Magufuli hakuvunja mkapata wa Symbion tatizo la mijizi kwenye nchi hii ni umahiri wao wa kutengeneza story ya uongo mkubwa na robo ukweli.

Baada ya hapo wale viazi wa Twitter kwa chuki zao za kishamba kwa Magufuli wanashadidia mpaka habari inakosa fact sahihi inapofika kwenye media.

Magufuli akuvunja mkataba wa Symbion ali-terminate renewal extension ya mkataba wakimaliza muda waliopewa basi tena.

Symbion wanadai kwa uelewa wao walikuwa na MoU ya serikali kupewa extension mkataba ukiisha ivyo wamewekeza kwenye mitambo wapewe fidia kwa kunyimwa kibali cha kuendelea not sure kama hizo gharama zao za damages ni justifiable.

Sasa ukiwasikiliza hawa watangazaji wetu wa vyombo vya habari waandishi na wasoma magazeti kwenye hizi radio uchwara ni hatari sana kwenye kupotosha yote msingi wake Twitter.
Wewe mwenye akili umesaidiaje Symbioni wasilipwe?
 
Kiukweli hayo yanayoendelea ipo siku waliokuwa na dhamana watajibu. Hata hivyo wanaamini kwa sasa baada ya kumuweka makamu mwenyekiti bara ambaye ni mtu wao kuwa hakuna raisi atakayeingia madarakani ambaye anamlengo wa kushoto na wao.narudia ipo siku watajibu utapel huu unaofanyika
Utasubiri sana
 
Hii issue ya Symbion kama sijakosea naamini ilikuwepo tangu awamu ya nne, kwa kifupi niseme January amekuta tayari kuna tatizo kwa hiyo anahusika kulishughulikia (kuwalipa hao jamaa). Hapa labda ahukumiwe kwa connection iliyopo kati yake na Msoga.

Ila kuna sehemu nakubaliana nawe uliposema hawa watu hufurahia wakipewa madaraka ili wapige dili, mfano wa hili ni ule mkataba wa maintanance wa $30mil walioingia Tanesco hivi karibuni.

Na kwasababu tayari palishakuwepo na uhusiano usiofaa kati ya January Makamba na wapiga dili wengine akiwemo dada yake wa damu siku za nyuma, basi huyu jamaa hawezi kujinusuru na lawama anazotupiwa sasa, kwasababu tayari image yake ilishachafuka toka kitambo.
 
Makamba, Makamo mwenyekiti, ukanda wote wa Msoga... HAWA KIHISTORIA NI MAJIZI , NI MAJIZI NA HAYANA HURUMA YOYOTE YA NCHI HII.

kinachoniuma, Tuna Taasisi ya Usalama Mbovu mbovu kupindukia, wao wanadeal na Wapinzani tu.

Haya, Katiba ya Nchi nayo pamoja na Ubovu wake wote, IMEKOSWA KIONGOZI WA KUISIMAMIA .

ITACHUKUA MIAKA MINGI SANA KUMPATA MAGUFULI MPYA.

saizi Kila mtu anajipigia, shamba la bibi!!!.... Anasimama mtu anakuambia "Nimeamua kufanya hii ROYO TUWA , kuitangaza nchi !!

Ujinga na Aibu kubwa ilofadhiliwa na wafanyabiashara ambao Sasa ndio wanaenda kulipwa mabilioni.
Wivu utakuua. Mlipewa nafasi mkageuzi machinjio
 
January anahusika nini na seriksli kushindwa kesi na Symbion? Kesi zote za serikali zinasimamiwa na ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali, kwahiyo kama ni lawama na vitisho vyako ungevielekeza huko. Nyinyi ndio mnaotufanya tuamini vita yenu na January ni zaidi ya tujuavyo, kuna kitu nyuma ya pazia!
Mbaya zaidi mmeshindwa kuficha chuki yenu mmebaki kumshambulia January kwa kila jambo hata lisilomhusu. January kama waziri hana maamuzi wala hahusiki na kesi inazoshitakiwa serikali , na tena hana maamuzi ya kuamua km serikali ilipe madeni au la! Hebu mwacheni jamaa afanye kazi
Mawakili wa serikali ni vinara wa kufungua kesi za mchongo tu ambazo pia huwa wanaangukia pua.
 
Back
Top Bottom