Ujumbe mweupe kwa Nape na Makonda, "don't hate the player, hate the game"

Ujumbe mweupe kwa Nape na Makonda, "don't hate the player, hate the game"

Fitinamwiko

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
4,803
Reaction score
1,419
Nimefuatilia kwa muda mrefu kauli za viongozi hawa wa ccm, itaona wameelekeza mashambulizi yao kwa mto mmoja. Mengi yamesemwa na ahadi nyingi tuliambiwa kuhusu hayo magamba matatu. Tumeshuhudia gamba moja kung'oka na gamba la pili kupewa heshima kubwa na ccm kutuandikia katiba pendekezwa

Nape na Makonda,

Je mnajua hao mliowaita magamba, walikuwa safi kabla ya kupata vyeo kwenye serikali ya chama chenu?
Je mnajua uchafu mnaowatuhumu waliufanya kwa kutumia weakness za serikali ya ccm na viongozi wake wakuu?
Je mnajua ndani ya chama mnachokiongoza, mmeshindwa kuwachukulia hatua kutokana na ubovu wa sera zenu?
Je mnajua kuipigia debe katiba pendekezi na kuwavunjia heshima Jaji Warioba na tume yake ni kujisaliti?

Nepi na Madonda, msimchukie Mh EL, chukieni mfumo na utendaji wa serikali ya CCM kwa kuzalisha na kufuga mafisadi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom