Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Shaka : IGP Simon Siro tupia jicho lako kwa baadhi ya askari wako wilayani Kahama na kwingineko | Wanabambika watu kesi kubwa na nzito na baadae kuwatoza faini tena bila risiti kamwe CCM...
16 Reactions
167 Replies
12K Views
Kauli ya kwanza ya Mdee baada ya rufaa yao kutupiliwa rasmi na kupoteza sifa ya kuendelea kuwakilisha Chadema Kama mbunge kupitia viti maalumu Ina mashiko gani? Nani anastahili kuitwa mhuni...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Kuna tofauti kati ya Royal Tour Documentary iliyoko Duniani mitandaoni na hii iliyozinduliwa leo Dsm. Kwenye ile iliyoko Duniani kuna sehemu kubwa ambapo muongoza filamu @Petergreenberg...
52 Reactions
157 Replies
12K Views
Kuna GENGE la Watu Wamejitokeza kwenye MITANDAO kumtetea HALIMA na Kundi lake na Kuilaumu CHADEMA kwa kuwafukuza. Nashindwa kuelewa kwanini Wanamtetea HALIMA na Kundi lake Baada ya CHADEMA...
5 Reactions
4 Replies
776 Views
MAONI YA ISHOMILE JUU YA KUPANDA KWA MAFUTA;- Mtangazaji:Habari Mh,tupe maoni yako juu ya kupanda kwa mafuta. ISHOMILE:let me abruptly regurgitate my point of view vis a vis fuel increase,I...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Pamoja na vita kali ya Urusi na Ukraine lakini dunia nzima ipo kimya kushuhudia ni kwa namna gani wanawake wawili wenye nguvu zaidi hapa TZ watawalinda wenzao 19 waliodhalilishwa wiki hii mbele ya...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Ili chama chochote kipate nguvu ya kisiasa ni lazima kipate sapoti ya umma. Umma ndio wananchi wenyewe. Pamoja na kuwa mmewatimua akina Mdee na wenzake lakini ukweli utabaki palepale kuwa...
9 Reactions
94 Replies
5K Views
Najiuliza maswali mengi nashindwa kupata jibu,hivi Halima Mdee nini kilichomsibu,siamini kama ni tamaa za ubunge au kuna kingine cha ziada, huyu alikuwa Mwenyekiti wa Bawacha mtu mkubwa ndani ya...
12 Reactions
51 Replies
3K Views
Barua kuhusu Baraza Kuu kutupilia mbali rufaa za waliokuwa wanachama 19 @ChademaTz imeshafika kwa Spika. Hii ni barua ya pili baada ya ile ya kufukuzwa kwao uanachama na Kamati Kuu mwaka 2020...
11 Reactions
57 Replies
5K Views
===== TAARIFA MUHIMU!!! !**===== Karibuni katika matangazo ya moja kwa moja (Live!!!) yatakayowajia kuanzia saa 11:35 Jioni hii leo tarehe 26 Oktoba, 2017 kutoka Ikulu Dar es Salaam. Matangazo...
29 Reactions
498 Replies
85K Views
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1982222/ Lengo ni kuflash away kabisa the east iliyokuwa established Tz katika ile regime iliyotangulia na kuirudishia west umiliki wake tena. Ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kuwa ndoto yake siku moja ni kuiongoza Tanzania akiwa katika nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. "Mimi urais nautaka, sababu naamini...
11 Reactions
133 Replies
10K Views
mimi namfuatilia sana mh majaliwa ni mtu mwenye kujielewa sana na yupo makini sana kwenye kazi yake kuliko mawaziri wakuu waliopita tabia anafanana na sokoine. Sijaona au kusikia mh waziri mkuu...
10 Reactions
42 Replies
3K Views
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Ninaandika kwa masikitiko makubwa kufuatia spika mstaafu Job Ndugai kutangaza kutoendelea na siasa mwaka 2025. Sisi kama CCM tutaendelea kumheshimu...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kongwa, Job Ndugai amezungumzia maamuzi yake ya kutogomea Ubunge katika uchaguzi ujao akisema kuna watu...
8 Reactions
63 Replies
6K Views
Kila nchi hupitia Changamoto tofauti kwa Nyakati Tofauti, Katika Nchi yetu kuliwahi kuwa na Gumzo Masuala Ya Tozo, Tukaja Suala La Umeme na Maji na Sasa Suala la Upandaji wa Mafuta Kidunia...
7 Reactions
81 Replies
7K Views
MBUNGE wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amejumuika pamoja na viongozi wa Dini, Serikali, Chama Cha Mapinduzi na Wananchi mbalimbali katika Dua maalum aliyoiandaa ya...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
“Nilikwenda Nairobi, nikamuita Halima Mdee, akasafiri na Ester Bulaya. Nimekuwa nao siku 7 nikimshawishi Halima anieleze nini kilitokea, aligoma. Nikamuomba aache huo ubunge, nimemtafutia kazi...
31 Reactions
85 Replies
9K Views
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. JOKATE MWEGELO Aagiza Kuwekwa Chini ya Ulinzi Mkali Viongozi wa Chuo cha LUBANDO TRAINING COLLEGE Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo ameagiza kuwekwa chini ya...
2 Reactions
72 Replies
9K Views
Leo Kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA kitafanyika ambapo pamoja na mambo engine kitajadili rufaa za Wabunge maarufu kama COVID 19. Ila tu watu wajiandae maana COVID nao wamejiandaa kumwaga mboga...
8 Reactions
69 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…