Job Ndugai kustaafu siasa ni pigo kubwa kwa CHADEMA - 2025

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,131
22,045
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.

Ninaandika kwa masikitiko makubwa kufuatia spika mstaafu Job Ndugai kutangaza kutoendelea na siasa mwaka 2025. Sisi kama CCM tutaendelea kumheshimu mzee wetu kama ilivyo desturi ya chama chetu.

Lakini nimefikiria kwa makini na kuwasikitikia mno chama cha Mbowe. Kwa vyovyote vile lazima CHADEMA ilishampigia mahesabu Ndugai kujiunga nao ili awe mgombea urais wao lakini kwa bahati mbaya tayari mhusika kaonyesha nia ya kutoendelea na siasa.

Wapinzani wasikate tamaa wasubiri 2025 huenda wakapata mgombea urais wao kutoka CCM kama walivyompata Lowasa. CCM ni chama kilichobeba matumaini ya watanzania wote wakiwemo CHADEMA hasa zile nyakati ngumu za kumpata mgombea urais.
 
Ninaandika kwa masikitiko makubwa kufuatia spika mstaafu Job Ndugai kutangaza kutoendelea na siasa mwaka 2025. Sisi kama CCM tutaendelea kumheshimu mzee wetu kama ilivyo desturi ya chama chetu. Lakini nimefikiria kwa makini na kuwasikitikia mno chama cha Mbowe.

Kwa vyovyote vile lazima CHADEMA ilishampigia mahesabu Ndugai kujiunga nao ili awe mgombea urais wao lakini kwa bahati mbaya tayari mhusika kaonyesha nia ya kutoendelea na siasa. Wapinzani wasikate tamaa wasubiri 2025 huenda wakapata mgombea urais wao kutoka CCM kama walivyompata Lowasa. CCM ni chama kilichobeba matumaini ya watanzania wote wakiwemo CHADEMA hasa zile nyakati ngumu za kumpata mgombea urais.
Wewe haupo sawasawa kichwani
 
Kwa nasaba ya jina diranqhe wewe yawezekana ni Homeboy,ila hoja zako hazielezei hekima na busara za homeboys ninavyowafahamu.
Ndugai alikuwa anavizia kukaribishwa CDM?Hakustahili kuwa hata mwenyekiti wa kitongoji,sasa haya ya kutakiwa kugombea Urais 2025 umeyatoa wapi?2020 mgombea Wa CDM Naye alikuwa mwanaccm?
Chama cha Mbowe ndiyo CHADEMA?Mnapenda kunasibisha taasisi na majina ya watu eg.Tanzania ama CCM ya Magufuli,MTU binafsi siyo taasisi labda huko CCM.
 
Achana na huyo daktani
 
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.

Ninaandika kwa masikitiko makubwa kufuatia spika mstaafu Job Ndugai kutangaza kutoendelea na siasa mwaka 2025. Sisi kama CCM tutaendelea kumheshimu mzee wetu kama ilivyo desturi ya chama chetu.

Lakini nimefikiria kwa makini na kuwasikitikia mno chama cha Mbowe. Kwa vyovyote vile lazima CHADEMA ilishampigia mahesabu Ndugai kujiunga nao ili awe mgombea urais wao lakini kwa bahati mbaya tayari mhusika kaonyesha nia ya kutoendelea na siasa.

Wapinzani wasikate tamaa wasubiri 2025 huenda wakapata mgombea urais wao kutoka CCM kama walivyompata Lowasa. CCM ni chama kilichobeba matumaini ya watanzania wote wakiwemo CHADEMA hasa zile nyakati ngumu za kumpata mgombea urais.
Kwani dingi ako hawezi kugombea?
 
Labda watamfanya mgombea wao wa uraisi, kwa muda mrefu Chadema hawana mgombea, wanawazima azima tu kutoka CCM ....
 
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.

Ninaandika kwa masikitiko makubwa kufuatia spika mstaafu Job Ndugai kutangaza kutoendelea na siasa mwaka 2025. Sisi kama CCM tutaendelea kumheshimu mzee wetu kama ilivyo desturi ya chama chetu.

Lakini nimefikiria kwa makini na kuwasikitikia mno chama cha Mbowe. Kwa vyovyote vile lazima CHADEMA ilishampigia mahesabu Ndugai kujiunga nao ili awe mgombea urais wao lakini kwa bahati mbaya tayari mhusika kaonyesha nia ya kutoendelea na siasa.

Wapinzani wasikate tamaa wasubiri 2025 huenda wakapata mgombea urais wao kutoka CCM kama walivyompata Lowasa. CCM ni chama kilichobeba matumaini ya watanzania wote wakiwemo CHADEMA hasa zile nyakati ngumu za kumpata mgombea urais.
kimebeba matumaini ya kina nani??usitusemee wengine!!
 
Unajuwa ila unapima upepo.
 
Kwamba tunayo ndoto ya kutoka kwenye UMASIKINI kwa aina ya watu kama hawa? Imagine huyu mleta UZI ana miaka 10 kwenye hili jukwaa but namna yake ya kufikiri ndio hi yaani; Hivi ndugu Ngai amewahi kufanya jambo gani ambalo tunaweza kusema ni jambo la kukumbukwa hata umsikitikie?
 
hahahaaa napita njia tutaonana mbele.
 
Lakini nimefikiria kwa makini na kuwasikitikia mno chama cha Mbowe. Kwa vyovyote vile lazima CHADEMA ilishampigia mahesabu Ndugai kujiunga nao ili awe mgombea urais wao lakini kwa bahati mbaya tayari mhusika kaonyesha nia ya kutoendelea na siasa.
ati mwenye file milembe ajiunge CDM? Khaaa !!!

Kwamba tunayo ndoto ya kutoka kwenye UMASIKINI kwa aina ya watu kama hawa? Imagine huyu mleta UZI ana miaka 10 kwenye hili jukwaa but namna yake ya kufikiri ndio hi yaani; Hivi ndugu Ngai amewahi kufanya jambo gani ambalo tunaweza kusema ni jambo la kukumbukwa hata umsikitikie?
Ndugai amewezesha maendeleo makubwa yakapatikana jimbo la kongwa. Zahanati na vituo vya afya vimejengwa kwa wingi. Madarasa ya viwango- yamejengwa kwa matofali imara, tiles, na madawati ya kutosha.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Chadema wanaweza kumfikiria, wamwombe awe mgombea wao wa urais.
Hizo ndio akili za mleta mada na ccm wenzake. Watu wa namna hii ndio wanashangilia 'mama' 'katoa' billion 100 kuleta unafuu (wa sh. 29!) kwenye bei ya mafuta. Tupeane pole wadanganyika, I mean waTanzania.
 
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.

Ninaandika kwa masikitiko makubwa kufuatia spika mstaafu Job Ndugai kutangaza kutoendelea na siasa mwaka 2025. Sisi kama CCM tutaendelea kumheshimu mzee wetu kama ilivyo desturi ya chama chetu.

Lakini nimefikiria kwa makini na kuwasikitikia mno chama cha Mbowe. Kwa vyovyote vile lazima CHADEMA ilishampigia mahesabu Ndugai kujiunga nao ili awe mgombea urais wao lakini kwa bahati mbaya tayari mhusika kaonyesha nia ya kutoendelea na siasa.

Wapinzani wasikate tamaa wasubiri 2025 huenda wakapata mgombea urais wao kutoka CCM kama walivyompata Lowasa. CCM ni chama kilichobeba matumaini ya watanzania wote wakiwemo CHADEMA hasa zile nyakati ngumu za kumpata mgombea urais.
Baraza kuu la chadema limewanyima wanaccm wengi habari za kutokea mitaani hadi mnaanza kutengeneza habari za kusadikika.
 
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.

Ninaandika kwa masikitiko makubwa kufuatia spika mstaafu Job Ndugai kutangaza kutoendelea na siasa mwaka 2025. Sisi kama CCM tutaendelea kumheshimu mzee wetu kama ilivyo desturi ya chama chetu.

Lakini nimefikiria kwa makini na kuwasikitikia mno chama cha Mbowe. Kwa vyovyote vile lazima CHADEMA ilishampigia mahesabu Ndugai kujiunga nao ili awe mgombea urais wao lakini kwa bahati mbaya tayari mhusika kaonyesha nia ya kutoendelea na siasa.

Wapinzani wasikate tamaa wasubiri 2025 huenda wakapata mgombea urais wao kutoka CCM kama walivyompata Lowasa. CCM ni chama kilichobeba matumaini ya watanzania wote wakiwemo CHADEMA hasa zile nyakati ngumu za kumpata mgombea urais.

Naona umetoka kwenye chuo cha uongozi, kile chuo kinachofundisha propaganda zaidi kuliko vitu vya maana, sasa unajipima huku mitandaoni kama umeiva. Kwa taarifa yako ww bado sana.
 
Back
Top Bottom