Mdee, Wenzake na CHADEMA nani mhuni?

Mdee, Wenzake na CHADEMA nani mhuni?

Oneya

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2022
Posts
235
Reaction score
244
Kauli ya kwanza ya Mdee baada ya rufaa yao kutupiliwa rasmi na kupoteza sifa ya kuendelea kuwakilisha Chadema Kama mbunge kupitia viti maalumu Ina mashiko gani? Nani anastahili kuitwa mhuni?

Tuhuma dhidi yao Ni kughushi na kujitangaza kuwa wabunge. Chadema wamefuata taratibu zote kumuandikia spika na hatimaye Sasa wamehitimisha kwa kuondolewa kwa kura. Pendekezo lao la kuomba kura zipigwe lilifuatwa baada ya wao kukataa kuomba msamaha. Sasa hapa uhuni wa Chadema ni nini?

Chadema kwa hili, litabaki kuwa ni chama kinachoheshimika.

20220512_063744.jpg
 
Tuhuma dhidi yao Ni kughushi na kujitangaza kuwa wabunge. Chadema wamefuata taratibu zote kumuandikia spika na hatimaye Sasa wamehitimisha kwa kuondolewa kwa kura. Pendekezo lao la kuomba kura zipigwe lilifuatwa baada ya wao kukataa kuomba msamaha. Sasa hapa uhuni wa Chadema ni nini?[emoji1545][emoji1534]
 
View attachment 2221223
Wahuni kina Halima
 
COVID 19 aibu yao
 
Tuhuma dhidi yao Ni kughushi na kujitangaza kuwa wabunge. Chadema wamefuata taratibu zote kumuandikia spika na hatimaye Sasa wamehitimisha kwa kuondolewa kwa kura. Pendekezo lao la kuomba kura zipigwe lilifuatwa baada ya wao kukataa kuomba msamaha. Sasa hapa uhuni wa Chadema ni nini?[emoji1545][emoji1534]
Nawapongeza sn CHADEMA kwa hili
 
Ilikuwa ni sahihi wangewasamehee waliponzwa
 
Kauli ya kwanza ya Mdee baada ya rufaa yao kutupiliwa rasmi na kupoteza sifa ya kuendelea kuwakilisha Chadema Kama mbunge kupitia viti maalumu Ina mashiko gani? Nani anastahili kuitwa mhuni?

Tuhuma dhidi yao Ni kughushi na kujitangaza kuwa wabunge. Chadema wamefuata taratibu zote kumuandikia spika na hatimaye Sasa wamehitimisha kwa kuondolewa kwa kura. Pendekezo lao la kuomba kura zipigwe lilifuatwa baada ya wao kukataa kuomba msamaha. Sasa hapa uhuni wa Chadema ni nini?

Chadema kwa hili, litabaki kuwa ni chama kinachoheshimika.

View attachment 2221223
Karibu mitaa hii A Kangaroo Court Moja, Kutoa Hukumu Kikangaroo, Kisha Kikao cha Rufaa, Kikiyabariki Maamuzi yale ya Kikangaroo. Je, nacho ni A Kangaroo?
P.
 
Chadema wahuni sana, wamewapitisha kuwa wabunge, halafu wanawageuka.
 
Kauli ya kwanza ya Mdee baada ya rufaa yao kutupiliwa rasmi na kupoteza sifa ya kuendelea kuwakilisha Chadema Kama mbunge kupitia viti maalumu Ina mashiko gani? Nani anastahili kuitwa mhuni?

Tuhuma dhidi yao Ni kughushi na kujitangaza kuwa wabunge. Chadema wamefuata taratibu zote kumuandikia spika na hatimaye Sasa wamehitimisha kwa kuondolewa kwa kura. Pendekezo lao la kuomba kura zipigwe lilifuatwa baada ya wao kukataa kuomba msamaha. Sasa hapa uhuni wa Chadema ni nini?

Chadema kwa hili, litabaki kuwa ni chama kinachoheshimika.

View attachment 2221223

Tatizo la wanasiasa wengi wa Chadema wakishapata wanachotaka huwa wanakidharau chama na hata kukidharilisha. Angalia akina petrobas, mashinji, Nassari, Mdee etc. Yani wanakuwa na kiburi kujiona chama hakina maana Tena kwao.

Nakumbuka baada ya kina Halima Mdee kuapishwa bungeni. Kuna mmama mmoja mkongwe ndani ya chadema yani yupo viti maalum miaka yote tangu 2005 anaitwa condester Rwamlaza, akaanza kuinanga chadema akijua Ndugai atawalinda mpaka miaka mitano iishe.
 
Halima Mdee amekosea sana kutoa hii kauli, kuna watu walimdanganya wakipiga kura watawagawanya CDM na wao kushinda sasa kwa tuhuma hizi na uwazi wa upigaji kura, hii kauli kaipata wapi. Labda wana kinga nyingine kwa Spika na kuwa wataendelea na ubunge wao. Kinyume cha hapo wamepoteza chance zote za kurudi CDM kama wangetaka kufanya hivyo. Inabidi waende CCM au vyama vingine wakaendeleze siasa zao huko. CDM wameonyesha ukomavu wa hali ya juu sana hongereni.
 
Tuhuma dhidi yao Ni kughushi na kujitangaza kuwa wabunge. Chadema wamefuata taratibu zote kumuandikia spika na hatimaye Sasa wamehitimisha kwa kuondolewa kwa kura. Pendekezo lao la kuomba kura zipigwe lilifuatwa baada ya wao kukataa kuomba msamaha. Sasa hapa uhuni wa Chadema ni nini?[emoji1545][emoji1534]
Aliyegushi nani?
 
Wajinga hawa walihonga wajumbe ndio maana waliomba kura zipigwe wazi kumbe wajumbe sio wa ccm hawa
 
Kwenye kundi la wakina Mdee kuna mmoja alikuwa mahabusu mara paaap akaonekana Dodoma anaapa kuwa mbunge. Hebu fikiria kati ya chadema na wao nani wahuni na wasanii?

Na sehemu waliyokulia kiapo unapakumbuka?sio bungeni ndani ujue.

Nani mhuni katika haya yote?
 
Back
Top Bottom