Terrible Teen
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 920
- 2,635
Leo Kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA kitafanyika ambapo pamoja na mambo engine kitajadili rufaa za Wabunge maarufu kama COVID 19. Ila tu watu wajiandae maana COVID nao wamejiandaa kumwaga mboga.
Iko hivi, wakati wa kuandaa orodha ya Wabunge wa Viti Maalumu, kuliandaliwa orodha rasmi ikiwa na Mapendekezo ya Wanawake wa BAWACHA kila Mkoa kwa kuzingatia uwiano uliokuwa sawa na sifa kamilifu.
Ikakubaliwa kuwa orodha husika ikamilishwe ili kuwasilishwa Tume. Kilichotokea ni kwamba viongozi wa juu wa chama wakabadili orodha husika na kuwakweka akina mama wao.
Ikumbukwe kuwa barua rasmi ya KATIBU MKUU MNYIKA ya kuwasilisha majina Tume ilikuwa imeshasainiwa na kilichokuwa kinasubiliwa ni mawasiliano ya mwisho ya orodha. Usiku ule ambapo viongozi wa juu walipobadili majina, Sekretari wa makao makuu akamjulisha Mdee kuwa wakubwa wana orodha mpya, hapo ndipo MDEE akaona mbwai na iwe mbwai yaani utoe akina mama wapambanaji uje uweke akina joyce mukya na grace kiwelu ambao wala hawakukipigania chama.
Umafia ukafanyika MDEE akatengeneza orodha ya akina mama waliogembea majimboni akachukua na barua rasmi iliyosainiwa na MNYIKA akapeleka Tume.
Leo mboga itamwagwa ikiwa ni pamoja na kubainisha orodha ya akina mama wenye connection na wakubwa wa CHADEMA ambao ndio wakubwa walitaka wawe wabunge.
Kwa hatua hiyo wenye kujielewa leo watafanya maamuzi ya haki bila upendeleo kwa pande zote husika.