Waziri Mkuu Majaliwa na marehemu Sokoine wanafanana kikazi

drilling

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
4,664
4,764
mimi namfuatilia sana mh majaliwa ni mtu mwenye kujielewa sana na yupo makini sana kwenye kazi yake kuliko mawaziri wakuu waliopita tabia anafanana na sokoine.

Sijaona au kusikia mh waziri mkuu akimsema vibaya marehemu makufuli sijamsikia kabisa mh majaliwa ni muungwana sana.

Mbali na rais na baadhi ya mawaziri na viongozi wa vyama CCM na upinzani kumsema vibaya jpm lakini majaliwa sijawahi kumsikia huyu ndie anafaa kuwa Rais wa Tanzania.
 
Ah wapi!

Unalipwa kiasi gani chawa wa katelephone ?

Huyu mtu alituambia SGR itakua tayari August 2019 hola!

Mara ya pili April 2022 napo hola!

Kubwa la yote ni kudanganya kwenye nyumba ya ibada kuwa jiwe yuko fit kumbe ni mahututi.

2923510_3CF79F7A-1E5F-4719-A17F-5E8B68D44763.jpeg
 
bas nae atabutuliwa,tz ukiwa unakubalika unaliwa kichwa.Ivi sokoine walimfanyaje sijui
 
Sokoine alikuwa anapigiwa kura na watu wa Monduli awe mbunge wao.

Majaliwa anabaka uchaguzi kwa kujipitisha bila kupingwa na kuteka wapinzani wake pale jimboni.

MTU ana Masters anaogopa mgombea wa upinzani ambaye ni form four tu anaishia kumteka na kubaka uchaguzi.
 
mimi namfuatilia sana mh majaliwa ni mtu mwenye kujielewa sana na yupo makini sana kwenye kazi yake kuliko mawaziri wakuu waliopita tabia anafanana na sokoine.

Sijaona au kusikia mh waziri mkuu akimsema vibaya marehemu makufuli sijamsikia kabisa mh majaliwa ni muungwana sana.

Mbali na rais na baadhi ya mawaziri na viongozi wa vyama CCM na upinzani kumsema vibaya jpm lakini majaliwa sijawahi kumsikia huyu ndie anafaa kuwa Rais wa Tanzania.
Acha kumpigia debe, hakuna kitu anafanya
 
Sikuwepo wakati wa sokoine ila..huwezi mringanisha na huyu pm wa sasa..ni mpigaji na muongo sana..kumbuka alivyo tudanganya mwendazake kuwa anapiga kazi ofisini..wakati baba wa watu huyo hoi anapambania uhai wake.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom