Mnaomtetea Halima na wenzake 18 sasa mlikuwa wapi kumkataza asikisaliti chama chake?

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
Kuna GENGE la Watu Wamejitokeza kwenye MITANDAO kumtetea HALIMA na Kundi lake na Kuilaumu CHADEMA kwa kuwafukuza.
Nashindwa kuelewa kwanini Wanamtetea HALIMA na Kundi lake Baada ya CHADEMA KUWAFUKUZA?

Kwanini Hawakuwaonya kina HALIMA na Wenzake 18 Kugushi nyaraka na KUKUBALI Kuapishwa licha ya Chama chao Kugoma kuteua Wabunge wa Viti Maalum kutokana na UCHAGUZI kuchafuliwa.

Watanzania TUACHE UNAFIKI wakina HALIMA na Wenzake 18 Walikikosea Chama chao CHADEMA kukaidi MAELEKEZO ya CHAMA na Licha ya Kuhudhuria Kikao cha BARAZA KUU hawakutaka KUKIRI wala KUOMBA MSAMAHA Licha ya Kutakiwa kusema lolote lakini HAWAKUTAKA.

Tanzania ina Vyama vingi na pia bado wana Nafasi ya KUANZISHA CHAMA CHAO kwani CHADEMA imewajenga kisiasa.

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Mtu yeyote Timamu hawezi kuwatetea bila kujua nini hasa ndani ya Chama kinafukuta!

Kwanza kila Taasisi ina Utaratibu wake !

Wakiamua wakomae nao ni wao wakiamua wa potezee ni wao!

Kwakifupi you are giving them political Millage bila kujua achaneni nao

Meza imepinduliwa dakika ya 90+2

Britanicca
 
Back
Top Bottom