Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mabalozi, Wakuu wa Mikoa, Makatibu & Manaibu Katibu: Wamo Mnyeti, Mangu, Kashilila..


Egnecious

Egnecious

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2015
Messages
796
Likes
565
Points
180
Age
28
Egnecious

Egnecious

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2015
796 565 180
===== *TAARIFA MUHIMU!!!* !**=====

Karibuni katika matangazo ya moja kwa moja (Live!!!) yatakayowajia kuanzia saa 11:35 Jioni hii leo tarehe 26 Oktoba, 2017 kutoka Ikulu Dar es Salaam.

Matangazo haya yanahusu uteuzi wa viongozi uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli.

Matangazo haya yatarushwa kupitia Televisheni ya Taifa - TBC1, Redio - TBC Taifa na tovuti rasmi ya Ikulu ambayo ni www.ikulu.go.tz
------------UPDATES:

Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa

Mkoa wa Manyara - Mkuu wa Mkoa ni Alexandar Pastor Mnyeti (Alikuwa DC wa Arumeru)

Mkoa wa Rukwa - Mkuu wa Mkoa ni Joachim Leonard Wagabo (alikuwa DC wa Nanyumbu)

Mkoa wa Geita - Mkuu wa Mkoa ni Bwana Robert Gabriel Lughumbi (alikuwa DC wa Korogwe)

Mkoa wa Mara - Mkuu wa Mkoa ni Adam Kigoba Ally Malima (aliwahi kuwa kwenye baraza la mawaziri awamu ya nne)

Mkoa wa Dodoma - Mkuu wa mkoa ni Bi. Christine Solomoni Mndeme (alikuwa DC wa Dodoma Mjini)

Mkuu wa Mtwara - Gelasius Gasper Byakanwa (alikuwa DC wa Hai)

Uteuzi wa Mabalozi
Dr. Aziz P. Mlima - Amekuwa Balozi (alikuwa Katibu Mkuu wizara mambo ya nje)

IGP Mtaafu Ernest Mangu - Amekuwa Balozi

Hawa Vituo vyao vya kazi vitatangazwa

Uteuzi wa Makatibu Wakuu na Manaibu wao
Ofisi ya Rais Ikulu - Katibu Mkuu Alifayo Kidata

Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na utawala Bora - Katibu Mkuu Dr. Lawrian Ndumbaro
> Naibu Katibu Mkuu - Bi. Dorothy Mwaluko

Ofisi ya Rais TAMISEMI - Katibu Mkuu Eng. Mussa Iyombe
> Naibu Katibu Mkuu (TAMISEMI Afya) - Zainabu Chaula
> Naibu Katibu Mkuu (TAMISEMI Elimu) - Dickson Nzunda

Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira - Katibu Mkuu Eng. Joseph Kizito Manongo (alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo hiyo)
> Naibu Katibu Mkuu - Bi. Butamo Kasuka Philipo

Ofisi ya Waziri Mkuu
>Kazi na Ajira - Katibu Mkuu Erick Shitindi
>Bunge na Waziri Mkuu - Katibu Mkuu Bi. Maimuna Tarishi
>Sera - Katibu Mkuu Faustine Kamuzora (amehamishwa kutoka ofisi ya makamu wa rais)

Wizara ya Kilimo - Katibu Mkuu Eng. Mathew Mtigumwe
>Naibu Katibu MKuu - Dr. Tomas Didim Kashilila

Wizara ya Mifugo na Uvuvi
> Mifugo - Katibu Mkuu Dr. Maria Mashingo
> Uvuvi - Katibu Mkuu Dr. Yohana Budeba

Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano
>Uchukuzi - Katibu Mkuu Dr. Leonard Chamuriho
>Ujenzi - Katibu Mkuu Eng. Joseph Nyamuhanga
>Mawasiliano - Katibu Mkuu Dr. Maria Msasabo
Naibu Katibu Mkuu Mawasiliano - Eng. Adelina Madete

Wizara ya Fedha na Mipango - Katibu Mkuu Dotto James Mgosha
> Naibu Katibu Mkuu Utawala - Bi. Suzan Mkapa
> Naibu Katibu Mkuu Fedha za Nje - Bi. Amina Shaaban
> Naibu Katibu Mkuu Sera - Dr. Hakingu M. Kazungu

Wizara ya Nishati - Katibu Mkuu Dr. Hamis Mwinyimvua (Anatoka ofisi ya Waziri Mkuu)

Wizara ya Madini - Katibu Mkuu Prof. Saimon S. Msanjila (alikuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu)

Wizara ya Katiba na Sheria - Katibu Mkuu Prof. Sifuni Mchome
> Naibu Katibu Mkuu - Bwana Amon Mbanju

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki - Katibu Mkuu Prof. Adolph Mkenda (ambaye ni Mchumi, anatoka Wizara ya Biashara na Uwekezaji)
> Naibu Katibu Mkuu - Balozi Ramadhan Muomba Mwinyi

Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa - Katibu Mkuu Dr. Florence Nduruka
> Naibu Katibu Mkuu - Bi. Emmaculate Peter Ngwale

Wizara ya Mambo ya Ndani - Katibu Mkuu Meja Jenerali Projest Rugasira
>Naibu Katibu Mkuu - Balozi Hassan Simba Yahaya

Wizara ya Maliasili na Utalii - katibu Mkuu Meja Jenerali Gaudens Melanzi
> Naibu Katibu Mkuu - Dr. Aloyce Nzuki

Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi - Katibu Mkuu Bi. Dorothy Mwanyika (alikuwa Naibu Katibu Mkuu wizara ya Fedha)
> Naibu Katibu Mkuu - Dr. Moses M. Kusiluka

Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji - Katibu Mkuu Prof. Elisante Ole Gabriel (ametoka wizara ya habari)
> Naibu Katibu Mkuu (Viwanda) - Bwana Ludoviki Nduhie
> Naibu Katibu Mkuu (Biashara na uwekezaji) - Prof. Joseph Bunjweshaiya

Wizara ya Elimu - Katibu Mkuu Dr. Leonard Akwelapo
> Naibu Katibu Mkuu - Dr. Epifan Mdoe (anatoka Wizara Ya Madini)
> Naibu Katibu Mkuu - Dr. Avie-Maria Semakaf

Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto
>Katibu Mkuu (Afya) - Dr. Mpoki Ulisubisya
>Katibu Mkuu (Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto) - Bi. Sihaba Nkinga

Wizara ya Habari Utamaduni Usanii na Michezo - Suzan Paul Mlawi (alikuwa Naibu Katibu Mkuu Utumishi)
> Naibu Katibu Mkuu - Bwana Nicolaus B. William

Wiazra ya Maji na Umwagiliaji - Katibu Mkuu Prof. Kitila Mkumbo
> Naibu Katibu Mkuu - Eng. Emmanuel Kalomelo

News Alert: - IKULU, DAR: Rais Magufuli awaapisha Makatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu, Balozi na Wakuu wa Mikoa aliowateua jana
 
kilambimkwidu

kilambimkwidu

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2017
Messages
5,060
Likes
5,113
Points
280
kilambimkwidu

kilambimkwidu

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2017
5,060 5,113 280
Si itakua live na watu wanaangalia televishen, wasiwasi wako nini?
 
GIUSEPPE

GIUSEPPE

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2011
Messages
5,319
Likes
5,712
Points
280
GIUSEPPE

GIUSEPPE

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2011
5,319 5,712 280
sasa hivi ni saa 11:52 lakini hiyo site ya ikulu hakuna habari yoyote kama ulivyosema. au ni masaa ya usiku?
 
tamuuuuu

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Messages
11,743
Likes
9,544
Points
280
tamuuuuu

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2014
11,743 9,544 280
Who is this dude?

Tanzanians they can't watch this.
 
figganigga

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Messages
16,348
Likes
10,198
Points
280
figganigga

figganigga

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2010
16,348 10,198 280
Rais Magufuli amemteua aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Alexander Pastori Mnyeti kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara.

Hapo awali Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari na yule wa Arusha Godbless Lema, walimtuhumu Mnyeti kutoa rushwa katika Vitendo vya kununua madiwani wa CHADEMA
 
Kunguru Mjanja

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2012
Messages
1,977
Likes
3,229
Points
280
Kunguru Mjanja

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2012
1,977 3,229 280
Naona Kitila anaendelea kuwepo tu, sidhani kama atakuja rudi upinzani tena
 
prs

prs

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2013
Messages
2,158
Likes
1,600
Points
280
prs

prs

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2013
2,158 1,600 280
Duuh !! Huyu si ndiye anaetuhumiwa?
 
Root

Root

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Messages
29,747
Likes
17,396
Points
280
Root

Root

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2012
29,747 17,396 280
Heheheh kweli ukitaka cheo ongea
Hawa walikua hawakai sufuria moja na yule jamaa wa arusha
 

Forum statistics

Threads 1,274,183
Members 490,604
Posts 30,503,743