Kwaheri Paul Makonda, utumishi wa umma utaendelea kuusoma kwenye magazeti

Kajeba

JF-Expert Member
Oct 15, 2020
822
1,963
Hello JF

Watu wengi walikuwa wakijaribu kufikiria kwamba mama atamkumbuka aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam bwana Paul Makonda kwa kumpa uteuzi wa ukuu wa mkoa wowote ule hapa nchini

Wengi walienda mbali zaidi kwa kupendekeza mpaka Rais Samia Ampangie mkoa upi huku mkoa wa Dar es salaam ukiwa na namba moja kwamba kijana huyo aliupatia sana hivyo arudishiwe

Mambo yamekwenda ndivyo sivyo, Mama ameamua kurudi ccm asilia na hapa wale waliokuwa na kibri kwa sababu ya awamu ya tano hawana nafasi tena

Kwa sasa Paul Makonda haamini anachokiona, Rais amemsahau mazima na utumishi wa umma ataishia kuusoma kwenye gazeti la Uhuru na Tanzanite
 
Hello JF

Watu wengi walikuwa wakijaribu kufikiria kwamba mama atamkumbuka aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam bwana Paul Makonda kwa kumpa uteuzi wa ukuu wa mkoa wowote ule hapa nchini...
Makonda yupi? huyu anayekula meza moja na mama samia?

Huyu kijana tajiri?

acheni ujinga, aliyefanya kosa la kumpa uongozi makonda ni JK...marehemu akamtumia

Makonda sio wa utumishi wa umma, tafuta taarifa

Mjini pana mengi, watu wanaogelea hela wewe unataka warudi kwenye public?

chuki za bluetooth hizi, wewe binafsi kakukosea nini?
 
Nchi ipo mikononi mwa Mkwere alichokifanyia familia ya kwa kumuita Riz moko muuza nganda bado kipo moyoni visasi vya Mkwere mnavijua muda utajibu
 
Hello JF

Watu wengi walikuwa wakijaribu kufikiria kwamba mama atamkumbuka aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam bwana Paul Makonda kwa kumpa uteuzi wa ukuu wa mkoa wowote ule hapa nchini...
Kupanga ni kuchagua, Makonda Hana wa kumlaumu, alipanga na kuchagua! Life choices come with results, unapofanya maamuzi tegemea matokeo!
 
Hello JF

Watu wengi walikuwa wakijaribu kufikiria kwamba mama atamkumbuka aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam bwana Paul Makonda kwa kumpa uteuzi wa ukuu wa mkoa wowote ule hapa nchini...
Acha uongo, hao watu wengi wewe uliwasikia wapi wakifikiria kuwa mama atamteua Makonda? Makonda anakazi ya kujisafisha na tuhuma zake za kimataifa kabla hajafikiriwa kurudi.

By the way kifo cha mwendazake kimeongeza utajiri wa kijana huyu. Sasa hivi anaogelea kwenye mali. Anatuangalia tu kwa dharau.
 
Makonda ana mikono michafu jumuiya kimataifa msma yuko aligned huko hataki kuchafuka na yeye serikali iliyopita itabeba msalaba wake wenyewe sio mama awabebee makonda asahau serikali hii....alikatisha uhai wa watu wengi sana wanajua yote
 
Hello JF

Watu wengi walikuwa wakijaribu kufikiria kwamba mama atamkumbuka aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam bwana Paul Makonda kwa kumpa uteuzi wa ukuu wa mkoa wowote ule hapa nchini..
Kama hajaona hili bandiko ngoja tumuite njoo huku Daud Albert Bashiteee..kuna ujumbe wako
Cc: mbingunikwetu
 
Back
Top Bottom