Kisarawe: DC Nikki wa Pili ametembelewa na Mkurugenzi Mkuu wa Plan International

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
18,176
27,224
Mkuu wa wilaya ya kisarawe Mh.Nikki wa Pili(genius) ametembelewa na mkurugenzi mkuu wa Plan International Dr.Mona Girgis.

Mambo mazuri wamejadiliana na ametoa msaada wa ujenzi wa madarasa wilayani humo.

Huu ni mfano wa kuigwa kwa viongozi wote, hakuna Jambo zuri kama mahusiano. Na mh.Nikki wa Pili amekuwa msaada mkubwa wilaya ya kisarawe.

Huu ni mfano wa kuigwa, Mh.Nikki anajitahidi sana kwa hali na Mali kuibadilisha kabisa kisarawe na sasa mabadiliko yanaonekana.

Mh.Nikki wakazi wa kisarawe wanashukuru na uendelee na moyo huohuo.

#nipo na mama# kazi iendelee#

SSH2025-2030

20211109_125403.jpg
 
Hivi kuna nini kipya kinaendelea huko wilayani, kusema ukweli tumepoa hatuoni amsha amsha za maendeleo walau ujenzi wa matundu ya choo
 
Mkuu wa wilaya ya kisarawe Mh.Nikki wa Pili(genius) ametembelewa na mkurugenzi mkuu wa Plan International Dr.Mona Girgis.

Mambo mazuri wamejadiliana na ametoa msaada wa ujenzi wa madarasa wilayani humo.

Huu ni mfano wa kuigwa kwa viongozi wote, hakuna Jambo zuri kama mahusiano. Na mh.Nikki wa Pili amekuwa msaada mkubwa wilaya ya kisarawe.

Huu ni mfano wa kuigwa, Mh.Nikki anajitahidi sana kwa hali na Mali kuibadilisha kabisa kisarawe na sasa mabadiliko yanaonekana.

Mh.Nikki wakazi wa kisarawe wanashukuru na uendelee na moyo huohuo.

#nipo na mama# kazi iendelee#

SSH2025-2030

Huyu Dogo ni mukora tuu. Yani iyo vaa vaa yake. Bora wangempa kingwendu iyo nafas halafu ni mwenyeji wa hiyo sehemu.
 
Kwa hiyo Kisarawe wamefikiwa kwa ajili ya kutekeleza malengo ya plan international? Msiniulize malengo gani
 
Back
Top Bottom