Waziri Bashe ni mashine ya Rais Samia Suluhu

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Bashe ni jembe sana. Tuachane na usomi wake na exposure yake kubwa ndani na nje ya nchi ya Tanzania.

Kwanza alianza kwa kusurvey maeneo yote ya Wizara yake nchi nzima akiwa Naibu Waziri. Ameizunguka nchi nzima.

Ametembelea taasisi zake zote na maeneo ya miradi yake nchi nzima.

Bashe ni mtu wa Umwagiliaji. Bashe anajua dhana ya uzalishaji.

Wabunge wanamkubali sana. He is very logical Minister. He knows what he is doing.

Bashe ni mashine ya hii nchi.
 
Bashe ni jembe sana. Tuachane na usomi wake na exposure yake kubwa ndani na nje ya nchi ya Tanzania...
Bashe ajikite kutafuta investors kwenye kilimo cha umwagiliaji, akitegemea waswahili itakula kwake..

Bora achukue wataalamu wakajifunze kwa Nchi zinazofanya vizuri kwenye irrigation Ili waje na utaalamu unaotakiwa.

Mwisho ,Bora afanye miradi michache yenye tija kuliko kufanya siasa za kufurahisha kila mahala pesa zote zikaishia ardhini.
 
Weeee....! Unawaacha wapi miguru chemba na February?. Wapambania matumbo yao
 
Bashe ajikite kutafuta investors kwenye kilimo cha umwagiliaji,akitegemea waswahili itakula kwake..

Bora achukue wataalamu wakajifunze kwa Nchi zinazofanya vizuri kwenye irrigation Ili waje na utaalamu unaotakiwa..

Mwisho ,Bora afanye miradi michache yenye tija kuliko kufanya siasa za kufurahisha kila mahala pesa zote zikaishia ardhini.

Tatizo la wataalamu wetu wanafikiri irrigation inakausha mito wakati Egyptians wametumia umwagiliaji tangu enzi za Farao

Sasa ni mda wa Waziri kupeleka vijana hata 100 Egypt kama ulivyoshauri kutuma vijana nje wakajifunze system hiyo
 
Ana maneno mengi lakini ground ni tofauti.

Ubaya tunapenda sana maneno mazuri ya wanasiasa kuliko vitendo vyao.

Bashe anakiri bei ya mbolea imepandishwa kiholela,Ila Cha kufanya hana.
 
And yet in his watch at one time mbolea ilikuwa haishikiki na watu na mahindi yao wakakosa soko hapo kijijini wakati town watu wanashindia mlo mmoja kwa siku kadhaa !!!!

Mafuta ya kula hayashikiki wakati tuna ardhi na kila malighafi ya kuweza kutoa mafuta..., kweli tunahitaji definition nyingine ya mashine
 
Back
Top Bottom