Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,980
Mara kadhaa Prof. Hosea alipokuwa anaulizwa kuhusu msimamo wa TLS issue ya akina Halima Mdee alikataa kutoa msimamo wa chama hicho Cha kitaaluma. Ameona uchaguzi umekaribia na wapinzani wake wameelekea kushinda ameamua kupingana na msimamo wa Bunge, Mahakama na Serikali na kuja na msimamo wa kikatiba. Hii ni rushwa Kwa wapiga kura na huu siyo msimamo unaotoka kwenye uongozi wake ni msimamo wenye lengo la kuwahadaa wapiga kura.
Uliishi kiujanja ujanja na Serikali ukifumbia macho uovu Sasa hao uliowatumikia wakakupe kura. Prof. Hosea usilaumu wapiga kura laumu userikali uliopo moyoni mwako ambao unakueleza Kila wakati kutokusema kweli.
Wito Kwa wasomi, kura ni Siri na mkimbua Hilo lazima mtapiga kura yenye tija kuonyesha mpo independent. Mtaonyesha kwamba pamoja na ndoa ya TLS na Serikali ninyi mngependa kuvunja ndoa hiyo na kufunga ndoa ya TLS na mfumo wa haki. Saccos siyo hisani Kwa wasomi wala ruzuku siyo hisani Kwenu; mnapaswa kutambua mnayo nafasi yakubomoa mfumo wakujipendekeza mkaleta mfumo wa kupigania haki za familia zenu na kazi zenu mnazofanya mtaani
Narudia msimamo wa TLS kuhusu wabunge 19 upo sahihi lakini umeletwa kama rushwa Kwa wapiga kura. Tusihongwe