Ni vigumu sana kuwatofautisha Zitto na Halima Mdee

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Wakati wa uchaguzi mkuu 2020 aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Kawe kupitia Chadema Halima Mdee aliutangazia umma kuwa amekamata mabegi yenye kura feki akasema hatotambua matokeo yake leo kaungana na waliomuibia kura.

Jana kwenye uchaguzi mdogo wa majimbo ya Muhambwe na Buhigwe.

Asubuhi: Zitto Kabwe, tumetekwa na watu wenye mapanga maisha yetu yako hatarini, kuna magari matatu yamejaza maboksi yenye kura feki.

Jioni: Zitto, naipongeza CCM kwa ushindi wa halali kabisa Tume ya Uchaguzi imefanyakazi yake kwa weledi.

Binafsi nashindwa kuwatofautisha wanasiasa hawa wawili ndumilakuwili ukiwaacha (Mrema, Cheyo na Lipumba) matendo yao yanafanana kwa kiwango kikubwa ni waongo, wanafiki, wasaliti, hawaaminiki na wachonganishi. Wanataka wao ndio waonekane wanajua siasa kuliko wengine na la mwisho zaidi wote wawili ni ‘Opportunist’ wanaangalia maslahi yao kwanza.
 
Asubuhi: Zitto Kabwe, tumetekwa na watu wenye mapanga kuna magari matatu yamejaza maboksi yenye kura feki.

Jioni: Zitto, naipongeza CCM kwa ushindi wa halali kabisa Tume ya Uchaguzi imefanyakazi yake kwa weledi.

Binafsi nashindwa kuwatofautisha wanasiasa hawa wawili ndumilakuwili ukiwaacha (Mrema, Cheyo na Lipumba) matendo yao yanafanana kwa kiwango kikubwa ni waongo, wanafiki, wasaliti, hawaaminiki na wachonganishi. Wanataka wao ndio waonekane wanajua siasa kuliko wengine na la mwisho zaidi wote wawili ni ‘Opportunist’ wanaangalia maslahi yao kwanza.
Ni vigumu sana kutofautisha chuki ya CHADEMA mliyonayo kwa Zitto na chuki waliyonayo CCM kwa Tundu Lissu.

Kitu pekee ambacho CHADEMA hamjakifanya kwa Zitto ni risasi 36 tu.
 
Wakati wa uchaguzi mkuu 2020 aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Kawe kupitia Chadema Halima Mdee aliutangazia umma kuwa amekamata mabegi yenye kura feki akasema hatotambua matokeo yake leo kaungana na waliomuibia kura.

Jana kwenye uchaguzi mdogo wa majimbo ya Muhambwe na Buhigwe.

Asubuhi: Zitto Kabwe, tumetekwa na watu wenye mapanga maisha yetu yako hatarini, kuna magari matatu yamejaza maboksi yenye kura feki.

Jioni: Zitto, naipongeza CCM kwa ushindi wa halali kabisa Tume ya Uchaguzi imefanyakazi yake kwa weledi.

Binafsi nashindwa kuwatofautisha wanasiasa hawa wawili ndumilakuwili ukiwaacha (Mrema, Cheyo na Lipumba) matendo yao yanafanana kwa kiwango kikubwa ni waongo, wanafiki, wasaliti, hawaaminiki na wachonganishi. Wanataka wao ndio waonekane wanajua siasa kuliko wengine na la mwisho zaidi wote wawili ni ‘Opportunist’ wanaangalia maslahi yao kwanza.
Sijawahi kumwamini Zitto !! Kuna muda nilijitahidi sana kufanya hivyo ila nafsi ikanigomea hadi leo hii.
 
Hahahaaaa....... Mdee mmemchoka kabisa hapo Ufipa!
362689BE-913C-4FE0-898B-1C2509303639.jpeg
 
subuhi: Zitto Kabwe, tumetekwa na watu wenye mapanga maisha yetu yako hatarini, kuna magari matatu yamejaza maboksi yenye kura feki.

Jioni: Zitto, naipongeza CCM kwa ushindi wa halali kabisa Tume ya Uchaguzi imefanyakazi yake kwa weledi.
Huyu mtu tangu abalehe hajawahi kuwa mkweli au kuaminika hata mara moja, ni mtu wa kuogopwa na kigeugeu sana ndio maana hata CDM walimtupia virago.
 
Back
Top Bottom