Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 18,200
- 27,255
Ukiuniliza kwa sasa ni wilaya gani inakua kwa kasi kubwa sana ya maendeleo basi ni wilaya ya Kisarawe chini ya mkuu wa wilaya Nikki wa Pili.
Kuna Maendeleo ya kutisha sana Kisarawe, madarasa na vituo vya afya vimekamilika kwa 100%.
Sasa hivi kupitia makusanyo ya ndani kuna miradi mikubwa sana ya maendeleo, na kupitia mkuu wa wilaya huyu wananchi wenyewe wanajitolea kushiriki shughuli zote.
Haya ni mambo makubwa na ya kuigwa, hakika Kisarawe imepata kiongozi.
Nitumie nafasi hii kuwatia moyo viongozi wote wa Kisarawe wakiongozwa na Mh.Nikki ili kuendelea kuleta maendeleo makubwa zaidi na kuifanya kisarawe kuwa ya mfano.
#kazi iendelee#
#TSSH 2025#