Kashfa ya Ufisadi wa Escrow ni doa kubwa sana kwa Kiongozi na mtumishi wa Umma yeyote. Ubabe na visasi ni sehemu ya tabia ya Maswi achilia mbali kashfa ya Escrow.
Inakuwaje mtuhumiwa huyu na...
Hili ni swali ambalo Wajuzi wa Protokali mnatakiwa mtueleze ili sisi wengine tuelewe.
Rais Samia , ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM, yuko kwenye ziara ya kikazi huko Tabora, akizindua miradi...
Uzalendo tafsiri yake nyepesi ni kutokuvunja sheria za nchi yako.
Chanzo cha uzalendo kutoweka ni umasikini ambao unatia watu tamaa siyo tu ya kulimbikiza mali kwa wastani na ziada, bali kutafuta...
Taarifa iliyosambazwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , inaonyesha kwamba Ule Mkakati wa Chama hicho wa Kuhamasisha Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi sasa Umewashwa kwa kiwango...
Rais Samia Suluhu Hassan akiwaapisha viongozi wateule Ikulu Chamwino, Dodoma, leo Jumamosi Mei 21, 2022
Pia soma > Uteuzi: Rais Samia afanya teuzi mbalimbali za Wenyeviti wa Bodi/Baraza la...
Kudos! Rais Samia
Much appreciation to our teachers
Rais Samia amuapisha Bi Khadija kuwa kamishina wa utumishi wa uma
Bi Khadija amemfundisha Rais Samia somo la hesabu na Kiingereza akiwa...
Let assume tukawa na tume huru, Dola akabaki kulinda uchaguzi na tume ya uchaguzi ikabaki kusimamia uchaguzi. KWENYE ulingo WA siasa akasimama Mama Samia kama mgombea Urais na Mpango Makamu huku...
Namshukuru mungu kwamba Samia anaoonesha Nini maana ya uongozi. Uongozi siyo kuniona wewe ndo Bora zaidi kuliko wenzako, kujisifu na kujigamba kila unapopata jukwa na kuwaponda wenzako kila...
Mzee Wassira amesema yeye na mstaafu Kikwete walitia akili ya ziada kuwashawishi Chadema kuachana na siasa za vurugu.
Ikumbukwe kuwa sera iliyojificha ya Chadema ni kufanya nchi isitawalike na...
1- Je, CHADEMA Ina amini katika FALSAFA za Mwalimu Nyerere ?
2- Ni upi msimamo was CHADEMA kuhusu Mahakama ya KADHI?
3- Ni upi msimamo wa CHADEMA kuhusu HALI YA MUUNGANO?
- Wanaunga mkono...
Kosa kubwa lililofanywa na kundi hili (lililoanzisha hiki chama) ni kuweka picha ya mtu aliyeumiza watu wa makundi tofauti tofauti nchi hii kwenye kofia na tshirt za chama chao.
Mtu waliyemuweka...
Wapendwa nawasalimu kwa jina la Jamhuri, kazi iendelee
Binafsi nimekuwa nawaza sana kuhusu utawala wa huyu Mama yetu SSH namna anavyopiga makasia kuirudisha Tz ktk utawala wa kisheria, haki na...
Haiwezekani hali ilivyongumu alafu watu wanachukulia mzaa maisha ya watanzania.
Taifa lina rasilimali lukuki lakini umaskini umetamalaki kila kona ya Tanzania. Watu wanaishi maisha ya kubangaiza...
Kuna watu wanauliza hivi maono ya mama ni yapi? nani anayejua Rais Samia anakotupeleka? hivi nyie mnamuelewa huyu mama? mbona kama hana vision? n.k haya ni maswali ambayo yamekuwa yakiulizwa na...
21 April 2022
Kigamboni, Dar es Salaam
Tanzania
MRADI MKUBWA WA MAKAZI ULIOGEUKA MAGOFU WATEMBELEWA ILI KUONA UKUBWA WAKE
Mradi huu mkubwa wa mfuko wa Jamii wa NSSF ulianza ujenzi mwaka 2014...
Kuna haja gani kuwa na siasa za kisanii huku wananchi wanamatatizo ya maji, afya elimu na miundombinu?
Inasaidia nini kuwa karibu na wananasiasa ambao wataonyesha kuwa mna mahusiano nao mazuri...
Wengi wameshaanza kugundua kuwa tatizo lilikuwa nini kwa kuwa wamegundua pia kuwa profesa Mussa Assad si kweli kuwa ni smart kama ambavyo mara ya kwanza hata mimi nilidhani. Ni mtu mropokaji...