tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,863
- 3,851
Kashfa ya Ufisadi wa Escrow ni doa kubwa sana kwa Kiongozi na mtumishi wa Umma yeyote. Ubabe na visasi ni sehemu ya tabia ya Maswi achilia mbali kashfa ya Escrow.
Inakuwaje mtuhumiwa huyu na mbabe huyu anakabidhiwa idara muhimu ya kukusanya Fedha za Umma? Anapata wapi moral justice ya kusimamia uadilifu? Atamwambia nn mtumishi aliye chini yake juu ya rushwa na Ufisadi?
Hivi hakuna kabisa wataalamu wengine katika nchi hii?
Tusitarajie jipya kutoka kwa mtu huyu, zaidi ya kashfa, ubabe na visasi.
MH. RAIS MAGUFULI KAMA KWELI UNATAKA UFANISI KATIKA SERIKALI YAKO ZINGATIA HILI.
UKWELI HUU UTAKUMBUKWA.

Last edited by a moderator: