Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi, Nilikuwa naangalia TV, nikaipenda hii nukuu. "Tusitumie Kunyenyeza na Kutetema", Ila "Kama Kunyenyeza na Kutetema Kunasaidia, Tutumie..." mwisho wa kunukuu. Baadae nitakurudia...
1 Reactions
2 Replies
625 Views
Tanzania tumeamua kuwa nchi ya kidemokrasia ya vyama vingi. Hili ni jambo jema ili kushirikisha watu wote katika maendeleo yetu. Lakini hatuwezi kupata maendeleo kama kila chama au kiongozi kuwa...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Katibu wa CCM Wilaya ya Mufindi, Bi. Frida Kaaya na Mwenezi wa CCM Wilaya ya Mufindi, Bwana Dickson Villa wanakivuruga Chama Mufindi kutokana na mahusiano ya kimapenzi waliyo nayo wawili hao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huyu kijana ingawa anasemwa kwa hisia za watu kuwa yeye pamoja na Makamba jr na Nape mosses Nauye kuwa ndio wenye account ya kigogo hajawahi kutoka hadharani au katika ziara zake zote za serikali...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Hiki kitu bado kinanipa ukakasi sana. Nimeona post muda huu linkedin ya yule Peter kamshika mkono Rais nikakereka sana. Japo ni post ya mwezi uliopita ila imeniumiza. Pengine ni ushamba wangu...
1 Reactions
98 Replies
4K Views
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa Shaka Hamdu Shaka, amesema katika kipindi cha nyuma (kabla ya Rais Samia kukalia kiti cha Urais) fedha za maendeleo za Mkoa wa Lindi zilikuwa zinatengewa...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Salaam, MWANZO 1. Serikali kuanza Ujenzi wa Vituo vya kujazia Gesi asilia kwenye Magari. 2. Ujenzi wa Mabomba ya kusafirishia Gesi kutoka Tanzania kwenda Kenya na Uganda waanza. 3. Kwa mara ya...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Watanzania wengi vijijini wanalipa fedha nyingi zaidi kununua nishati ya mafuta, ambayo pia sio safi na salama. Kutibu kadhia hiyo, Serikali imebuni mradi wa uwezeshaji na uendelezaji wa vituo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Yapendeza sana kukaa pamoja tena kwa Umoja Siasa siyo uadui bali tofauti ya mitazamo kiitikadi tu. Nilibarikiwa na Sikukuu ya Sugu pale Serena jana Yule RC aliyebomoa Desderia hotel juzi...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Unaweza kupewa glasi iliyojaa maji ya kunywa kwa njia tofauti. Unaweza kuomba au kuagiza upewe maji, unaweza kubembeleza au kufoka upatiwe maji ya kunywa ukapewa, na unaweza kuyachukuwa mwenyewe...
0 Reactions
1 Replies
818 Views
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amekiri kuwa kushindwa kwa Chadema kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kulitokana na kuweka wagombea dhaifu kwenye nafasi mbalimbali ikiwemo uraisi na hivyo...
12 Reactions
64 Replies
6K Views
Wanaukumbi. Ni mtu mwenye mawazo finyu na upeo mdogo pekee anaweza kufikiria CHADEMA wana uwezo wa kuongoza taifa. Ni sawa na kulinganisha kifo na Usingizi. CCM ni chama chenye nguvu Ukanda wa...
5 Reactions
86 Replies
4K Views
Nionavyo silaha zote tunazotumia ni za kizamani na hazifai kabisa kabisa katika mapambano ya kivita vya kileo. Kuna Hapasoniki, kuna drones,kuna thermobaric ambayo inapoteza oxyen kutoka centre...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimesikia hapa Makamba akiwasilisha miradi inayopangwa kufanywa katika bajeti ijayo na pesa lukuki iliyotengwa, kwa ajili ya miradi, (yaani ni miradi bandika bandua). Ni Vema na Haki..., ila...
0 Reactions
3 Replies
714 Views
Nakumbuka miaka mitano iliyopita ilikuwa ya matusi kwa vijana eti wajiajiri kinara wa kutamka hivyo akiwa ni rais na Ndugai. Sasa mama kaona Kulikuwa na tatizo mahara na Sasa both prive sector...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Rais wa Tanzania anatekeleza miradi iliyoachwa na Magufuli kwa mfano kila mradi anaouzindua kwa Sasa ni mradi ulioachwa na Magufuli Fedha nyingi zinazokusanywa kwa Sasa zinaenda kuendeleza miradi...
0 Reactions
8 Replies
834 Views
  • Closed
Kwa mara ya kwanza najaribu kumuelewa Mama Rais Samia, Sikubaliani nae kwa mambo mengi ikiwemo hilo la kumnanga JPM, lakini hili la kuchungulia wataalam kutoka private sector hasa USAID, ameonesha...
14 Reactions
182 Replies
21K Views
Unakuta kwenye familia moja baba ni Rais mstaafu, mama ni mbunge na mtoto ni mbunge na ni naibu waziri, hii familia inahitaji shamba kwa ajili ya kulima chochote au ni kuitegemea serikali tu...
123 Reactions
374 Replies
32K Views
Mungu mbariki sana mzee Lowassa hakuwa na kisasi yule dingi labda ni kwa sababu ya Ukristo wake. Kwa namna alivyotukanwa na hawa wanaomtukana Magufuli leo Hakika CCM ni chimbo la unafiki...
10 Reactions
48 Replies
4K Views
Hii ilikuwa ni one of the major public interest criminal case, of public importance. Umma ulitegemea Jamhuri ikate rufaa. Sasa kimya as if Sabaya hakutenda hayo matendo maobu. Umma unajua kuwa...
12 Reactions
31 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…