Vita ya Urusi na Ukraine: Kiulinzi wa nchi yetu tunajifunza nini?

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,944
3,820
Nionavyo silaha zote tunazotumia ni za kizamani na hazifai kabisa kabisa katika mapambano ya kivita vya kileo.

Kuna Hapasoniki, kuna drones,kuna thermobaric ambayo inapoteza oxyen kutoka centre point ya mlipuko kwa kilomita 2 na nusu, kwa maana atakaekuwa ndani ya eneo hilo maisha yake ndio huenda yakafikia mwisho ibaki muujiza tu kutoka hai.

Na Raisi mkifanya ziara za nje wachukueni wakuu wa polisi wakuu wa kijeshi wakifika huko waone wenzao wanavyo dhibiti miji, siku hizi polisi majuu hawafanyi doria kila kitu wanaona kutokea kwenye vyumba maalum vya uchunguzi.

Zanzibar wamejaribu kuweka CCTV camera hashuo lao sijui limeishia wapi.

Kwa ufupi kivita ni lazima tuende na wakati kuendelea kubaki na magobore ni kuondolewa njiani, hata hizi ndege za kivita tulizo nazo hazina nafasi tena katika vita vya kileo, ikiwa Mrusi anahack guided missile na kuirudisha inakotoka, bora tutumie silaha za jadi ili kulinda utamaduni wetu.
 
Tuimarishe matuguri huko ndo tuko vizuri...PawaMabulla alikuwa anakatiza Mutukula mchana kweupe Nduli kushtuka watu wako GURU
 
Tanzania tuna bodi ya silaha ambayo inakusanya taarifa na mapitio ya silaha zote za ulinzi na kushambulia. We are not the fools coz suala la silaha ni classified ukinunua sio lazima utangaze
 
Back
Top Bottom