Awamu ya 5 Mkuu wa mkoa angeweza kuhudhuria Sikukuu ya Sugu? Kumbe Siasa siyo uadui

Hahaaaa Bwashe sasa wewe si ndo ulikuwa mshabiki mkubwa wa kuona upande ule ukiumizwa raha sana,

Sasa leo umeona tena kumbe upendo ni jambo moja zuri hata kama mnapishana kwa hoja siyo uadui maana hamuwezi kukaa kindezi kukubaliana kila jambo!

Mwambie yule RC aendelee kupiga maombi labda bwana yule atafufuka aje ampe cheo aendelee kunyanyasa raia🤣🤣🤣🤣
 
Yapendeza sana kukaa pamoja tena kwa Umoja

Siasa siyo uadui bali tofauti ya mitazamo kiitikadi tu.

Nilibarikiwa na Sikukuu ya Sugu pale Serena jana

Yule RC aliyebomoa Desderia hotel juzi alikuwa kwa Mtume Mwamposya akiombewa pale Mlandege Iringa
Desderi imebomolewa kwani au ilibomolewa ?
 
Ndiyo maana tumeporomoka kutoka uchumi wa kati.

Tunatumia muda mwingi kujadili ujinga
 
Yapendeza sana kukaa pamoja tena kwa Umoja

Siasa siyo uadui bali tofauti ya mitazamo kiitikadi tu.

Nilibarikiwa na Sikukuu ya Sugu pale Serena jana

Yule RC aliyebomoa Desderia hotel juzi alikuwa kwa Mtume Mwamposya akiombewa pale Mlandege Iringa
Mbona sasa umeweka Mada mbili tofauti??

Kumbe lengo lako ni hilo la pili😅😅
 
Yapendeza sana kukaa pamoja tena kwa Umoja

Siasa siyo uadui bali tofauti ya mitazamo kiitikadi tu.

Nilibarikiwa na Sikukuu ya Sugu pale Serena jana

Yule RC aliyebomoa Desderia hotel juzi alikuwa kwa Mtume Mwamposya akiombewa pale Mlandege Iringa
Kwani kwa mwamposa ndio kwa Yesu??

Asipotubu maluelue yatazidi kumfata fata hatakaa apate amani.
 
Asilimia kubwa ya binadamu hupenda gugombana ,kutesana ,kuoneana,kuona wengine wanaumia,wanalia,na hizi ndiyo zilikuwa siasa za Magufuri na wapambe zake.Ahsante sana Mama kwa kuturudisha kwenye upendo,mengine tutakusamehe wewe ni binadamu
 
Awamu ya 5 ilikuwa ya SHETANI. Imagine wale waliotaka kumuombea Lissu baada ya kupigwa risasi huku wamevaa T-shirt walivyotimuliwa.

Asante Samia kwa kutuliza nchi
 
Yapendeza sana kukaa pamoja tena kwa Umoja

Siasa siyo uadui bali tofauti ya mitazamo kiitikadi tu.

Nilibarikiwa na Sikukuu ya Sugu pale Serena jana

Yule RC aliyebomoa Desderia hotel juzi alikuwa kwa Mtume Mwamposya akiombewa pale Mlandege Iringa
Dikteta bora alikufa asee
 
Asilimia kubwa ya binadamu hupenda gugombana ,kutesana ,kuoneana,kuona wengine wanaumia,wanalia,na hizi ndiyo zilikuwa siasa za Magufuri na wapambe zake.Ahsante sana Mama kwa kuturudisha kwenye upendo,mengine tutakusamehe wewe ni binadamu
Tanzania ya upendo sn hii
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom