Roho ya "visasi" inarejea kwa kasi CCM

Roho ya "visasi" inarejea kwa kasi CCM

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Mungu mbariki sana mzee Lowassa hakuwa na kisasi yule dingi labda ni kwa sababu ya Ukristo wake.

Kwa namna alivyotukanwa na hawa wanaomtukana Magufuli leo Hakika CCM ni chimbo la unafiki iliyopitiliza.

Mungu ni mwema wakati wote
 
Ziara ya NANAKI iliishia wapi? Au ni Aibu tu.
 
Wengine bado tunahangaika na royo tua wewe unaleta nini hapa?
 
Uaneni tu, tuliwaambia kuwa mkimaliza wapinzani mtageukiana wenyewe kwa wenyewe.
IMG-20191216-WA0001.jpg
 
Matatizo yote hayoo dawa ni Katiba mpya.

Kikwete hakufanikisha katiba mpya ili ajinufaishe na team yake.

Matokeo Yake akapewa RUNGU kichaa JPM akaanza kumtwangwa kikwete na team yake.
maana rais ana mamlaka kama mungumtu.

Kikwete mpaka alitaman bora kungekuwa na katiba mpya.

Wakati huo jpm na team yake wanakula bata na mema ya nchi na wao hawakutaka katiba mpya.

Vuuup JPM kadondoka team yake nayo inajuta bora wangemshauri JPM kuhusu katiba mpya. Team JPM inakula msoto.

Sasa ni zamu ya hangaya kama hataleta katiba mpya nae atakuja kujuta kwanini hakuleta katiba mpya.
 
Magu alikuwa Mkristo tena mseminari na mwenyewe anasema chupuchupu awe Padri
Mungu mbariki sana mzee Lowassa hakuwa na kisasi yule dingi labda ni kwa sababu ya Ukristo wake.

Kwa namna alivyotukanwa na hawa wanaomtukana Magufuli leo Hakika CCM ni chimbo la unafiki iliyopitiliza.

Mungu ni mwema wakati wote
 
Mungu mbariki sana mzee Lowassa hakuwa na kisasi yule dingi labda ni kwa sababu ya Ukristo wake.

Kwa namna alivyotukanwa na hawa wanaomtukana Magufuli leo Hakika CCM ni chimbo la unafiki iliyopitiliza.

Mungu ni mwema wakati wote
Amin Bwashee. Dini, Makuzi na Malezi husaidia sana katika mwongozo wa maisha. Mauzauza huleta mauzauza na sisi hupenda mauzauza.
 
Mungu mbariki sana mzee Lowassa hakuwa na kisasi yule dingi labda ni kwa sababu ya Ukristo wake.

Kwa namna alivyotukanwa na hawa wanaomtukana Magufuli leo Hakika CCM ni chimbo la unafiki iliyopitiliza.

Mungu ni mwema wakati wote

Kwa hiyo ungekuwa Uislamu wake angelipiza kisasi?
 
Hata Samia atakuja kutukanwa pia tena na hawa hawa akina Nape, there is thin a line between love and hate, hawezi wafurahisha kila siku na kila mahali, ipo siku watapaturana tu!
 
Kuna mtu aliwahi niambia watu wa dini flani ni rahisi mno kukusaliti na ni watu wa visasi mno.

Sasa nimeamini.
 
Back
Top Bottom