Wakuu Jana Prof Sospeter Muhongo amechangia Kwenye Bajeti ya Nishati na kutoa ushauri ufuatao:
(1) Ukuaji wa uchumi wetu uendae na upatikanaji wa umeme mwingi na wa bei nafuu
GDP/Capita:
*US$...
Wale wanaopinga katiba mpya huwa wana hoja hizi;
1. Katiba Mpya ni gharama kubwa sana. Tufafanulienei ni gharama kiasi gani?
2. Katiba mpya haitaleta pesa mfukoni au chakula mezani.
Katiba ya...
NIELEWEKE HIVYO HIVYO.
Na Thadei Ole Mushi.
1. Tukubaliane sasa kuwa tumwache apumzike.
2. Ni mwanzilishi wa Mashambulizi kwa waliomtangulia.
3. Kuna faida za kuachana naye sasa na kuangalia...
Ni zaidi ya mwaka sasa tokea Magufuli atwaliwe Mungu wa mbinguni lakini Wajumbe wa Kamati kuu ya Chadema Lissu, Lema na Wenje hawana dalili za kurejea nyumbani
Ikumbukwe Wenje na Lema ni marafiki...
Viongozi na wanachama 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walioshtakiwa kwa madai ya kufanya fujo wakati wa ibada katika Kanisa Katoliki Parokia ya Kawekamo Jijini Mwanza wameachiwa...
Vyama vya upinzani vimekufa au vimelala au vinasubiri uchaguzi mkuu utangazwe? Ndio wazuke na kudai tume huru na Katiba mpya, ile kasi imeenda wapi?
Mwisho wa siku mtaambiwa siku hazitoshi kwani...
Furaha yao ni kuona Mbowe anafungwa Lissu anaumizwa, wafuasi wanauawa, wanafilisiwa mali, viongozi wa Chadema kila siku wanakamatwa, wanashinda polisi. Wanapoona Chadema kinakwenda kuelewana na...
Tuzo ya Babacar Ndiaye hutolewa na AFDB kwa mkuu wa nchi ambaye Serikali yake imefanya vizuri katika ujenzi wa Miundombinu.
Rais Samia na Serikali ya Awamu ya 6 anayoiongoza ndio washindi wa...
Mkurugenzi wa miradi ya Wanawake laki moja na Balozi wa Utalii Tanzania Nangasu Werema, amesema Royal Tour ya Tanzania sio Bongo Movie wala Nollywood. Royal Tour inalenga kuhamasisha Utalii...
Kwangu Mimi Mpinzani ni Boby Wine ( Robert Kyagulanyi ) na wengine wa nchi zinazojitambua ila siyo kwa walioko Tanzania.
Mimi Mpinzani ninayemuheshimu na Kumpenda ni yule tu ambaye 24/7 anamsema...
Ziara ya Katibu wa siasa na Uenezi CCM ndugu Shaka Hamdu Shaka amekabidhiwa vifaa mbalimbali vya CHADEMA zikiwemo Kadi, flana, kofia pamoja na bendera sababu kubwa ikiwa wananchi wa kuseni...
Awamu ya sita baada ya kuingia madaraka iliagiza TRA kuacha kufunga biashara za wafanyabiashara ambao wanadaiwa kodi na badala yake watumie njia laini katika ukusanyaji kodi.
Kinyume chake...
Tunapokuja kujadili suala ambalo ni mustakabali wa taifa letu basi tuweke ushabiki kando.
Katiba ya sasa haifa na imempa madaraka makubwa rais wa JMT ndio maana wateule wake na wasaidizi wake...
1. Kikosi kazi kitatumia muda gani kukamalisha kazi yake?
Kina muda maalum au ni cha kudumu mpaka Rais atakapomaliza muda wake?
2. Wadau wa kikosi kazi wanalipwa kila wanapokutana au kila mwezi...
Serikali ya Uswisi inatarajia kutoa zaidi ya bilioni 20 kwa ajili ya kuendelea kuimarisha maeneo ujuzi, ajira pamoja na vyuo vya ufundi nchini.
Hayo yamebainishwa leo jijini Dodoma na Waziri wa...
Wanabodi,
Nilikuwa naangalia TV, nikaipenda hii nukuu. "Tusitumie Kunyenyeza na Kutetema", Ila "Kama Kunyenyeza na Kutetema Kunasaidia, Tutumie..." mwisho wa kunukuu.
Baadae nitakurudia...
Tanzania tumeamua kuwa nchi ya kidemokrasia ya vyama vingi. Hili ni jambo jema ili kushirikisha watu wote katika maendeleo yetu. Lakini hatuwezi kupata maendeleo kama kila chama au kiongozi kuwa...
Katibu wa CCM Wilaya ya Mufindi, Bi. Frida Kaaya na Mwenezi wa CCM Wilaya ya Mufindi, Bwana Dickson Villa wanakivuruga Chama Mufindi kutokana na mahusiano ya kimapenzi waliyo nayo wawili hao...