Rais Dkt. Samia alisema: "Hili ni janga na doa kubwa kwa Taifa letu." Alisisitiza kuwa kazi ya Tume imeiwezesha nchi kupata uelewa sahihi wa kilichotokea, ikijumuisha uchambuzi wa kina uliotokana...
Mkuu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini, Askofu Dkt. Fredrick Shoo amesema ameipokea kwa furaha Ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani, akisema imekuwa sehemu ya kuponya...
Mtangazaji (Sky News): "Serikali haikuwa na wajibu [wa vifo vya waandamanaji]?"
Balozi Nyalandu: "Serikali haikuwa na wajibu wa vifo vya waandamanaji. Serikali ilikwenda kulinda kila mtu. Ilikuwa...
Waziri wa Sera, Bunge na Uratibu, Profesa Palamagamba Kabudi, ametangaza mwelekeo mpya wa serikali katika kushughulikia hali ya kisiasa nchini, akisisitiza kuwa Tanzania inatarajia kupata Katiba...
Baada ya ripoti hii kutoa idadi ya mamia ya watu waliouwawa Oktoba 29 , ICC si watakuwa wamepata sababu nyingine ya kuchunguza haya mauji ukizingatia hiyo idadi?
Na kwa Samia mwenyewe kusema...
Ustadi wa Jaji Chande katika Sheria ya Kibinadamu ya Kimataifa, Sheria ya Wakimbizi, Sheria ya Jinai na Sheria ya Ushahidi unamfanya kuwa kiongozi bora siyo tu duniani bali eneo lote la Afrika...
Hamjambo wote!
Sina mengi ya kusema zaidi ya Nuru ndogo (ya kibatari) haiwezi kufukuza Giza la eneo kubwa. Nuru iongezwe ili Giza lisiweze kusimama mbele ya uso wa nchi.
Nataka niwaambie huwezi...
Hawa MaProfesa ninao waona kwenye uwaziri na Wengine mulioko hapo Ikulu.
Hamuna uwezo wa kuanzisha darasa kwa Samia Ili mumusaidie walau ajue uongozi?
Mbona mmemuacha tu kila siku yeye ni...
Tume imetoa mapendekezo ya kuimarisha amani na uwajibikaji. Rais ameahidi kutekeleza ili kuepuka kurudia matukio. "Tumegusa kaa la moto na tumejifunza" – hii ni dhamira mpya ya kujenga Taifa...
Rais Samia amesema kuwa yaliyotokea Oktoba 25 (29) hayakuondosha wala kupunguza changamoto tulizokuwa nazo, bali zimeongeza changamoto. kama ghasia zile zisingedhibitiwa nchi ingepata athari kubwa...
Katika mafundisho ya Qur’an, Siku ya Hukumu (Yawm al-Qiyāmah) ni siku ya mwisho ambapo haki kamili ya Allah itadhihirika kwa ukamilifu usio na mfano. Moja ya hekima kubwa ya siku hii ni kuonyesha...
"...Watanzania tusikubali kurubuniwa kuharibu nchi yetu. Tusikubali kuchochewa, iwe na wanasiasa, wanaharakati, wahalifu au watu wenye chuki na wenye maslahi binafsi kwa njia yoyote ile kuvuruga...
Leo Chande atatukumbusha wapendwa wetu waliouawa na polisi kwa kupigwa risasi za kichwa.
Leo tutakumbushwa yule mama wa Arusha aliyepigwa risasi ya mgongo akiwa na mimba ya miezi mitatu.
Leo...
Kwa taarifa ya tume ya uchinguzi wa mambo yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa raisi wabunge na madiwani october 29.2025 na jaji chande imeonesha kuwa baadaya ya uchunguzi tume imebaini...
Pamoja na takwa la Serikali la kuhakikisha miundo mbinu inasomana, Kwa maoni yangu, sioni tija ya mradi wa BRT awamu ya tatu kuingiza mchepuko wake ndani ya Airport ya Kimataifa ya Julius Nyerere...
Akizungumza wakati wa kupokea ripoti hiyo, Mheshimiwa Rais alitambua kwa uzito mkubwa madhara yaliyolikumba Taifa, akipokea maelezo kuwa matukio hayo yalisababisha vifo vya takribani watu 518...
Wakuu
Akizungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.