Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Eti wanahangaika kuleta dawa za kuacha kunywa pombe. Huu ni kupoteza fedha za walipa kodi. Dawa za malaria ni tatizo kubwa huko vijijini.👇
1 Reactions
8 Replies
213 Views
Mtangazaji (Sky News): "Serikali haikuwa na wajibu [wa vifo vya waandamanaji]?" Balozi Nyalandu: "Serikali haikuwa na wajibu wa vifo vya waandamanaji. Serikali ilikwenda kulinda kila mtu. Ilikuwa...
0 Reactions
6 Replies
324 Views
Ripoti mpya ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ya mwezi Aprili 2026 imeitaja Tanzania kuwa ya 3 kwa uchumi wake kupanda Afrika Mashariki Kulingana na takwimu hizo, uchumi wa Tanzania...
3 Reactions
16 Replies
416 Views
Chama cha ACT Wazalendo kimetoa msimamo wake wa awali kufuatia kupokea taarifa ya Tume ya Uchunguzi wa Mauaji ya Oktoba 2025 iliyowasilishwa leo kwa Rais Samia Suluhu Hassan. Kupitia taarifa kwa...
2 Reactions
9 Replies
394 Views
Binafsi nafikiri hiyo ndio sababu kubwa ingawa mtazamo wa wengi ni kuwa anakwepa watu kuichambua na kuonyesha mapungufu yaliyomo katika hiyo ripoti. Inawzekana ICC wakaidai hiyo ripoti kabla ya...
3 Reactions
10 Replies
309 Views
Heche ameanza kuvuruga mambo maana Chadema ilishaanzaa kujenga imani kubwa sana kama chama ambacho hakinunuliki kama ilivyokuwa Wakati wa Mbowe. Lakini kitendo cha kuanza kuwarudisha wasaliti...
4 Reactions
35 Replies
659 Views
Kutokubali kuwa raisa Samia anachukiwa na Wananchi sababu kubwa ni kuhusishwa na ufisadi na upendeleo huku yeye na familia ya Kikwete na wanaCCM mtandao ndio wanafaidi keki ya taifa. Alafu kuja...
1 Reactions
3 Replies
157 Views
Umofia Wadau. Nipo ndotoni ndugu zangu kiukweli, hivi watu wamekufa kiasi kile ila Viongozi hawajutii wala kusikitika wanachofanya ni kujipalilia waendelee "KULA" Labda wale wa Rohoni mnipe...
1 Reactions
1 Replies
169 Views
Tume imeshauri kuwe na siku ya kumbukumbu ya muuaji ya halaiki ya Mo29 kila mwaka, ni jumbo zuri. Rwanda kila tarehe 7 ya mwezi Aprili huadhimisha kumbukumbu ya mauaji ya kimbari iliyotokea mwaka...
2 Reactions
4 Replies
134 Views
Iko hivi…. Kwa kawaida serikali nyingi duniani, hususan hizi za kwetu huku kwenye hizi jamhuri za ndizi, huwa hazitoi takwimu sahihi za wahanga wa majanga asili au majanga yasababishwayo na watu...
16 Reactions
29 Replies
606 Views
"Jitihada za vyombo kudhibiti ghasia na vurugu zile ndio zimefanya Tanzania iwe leo ilivyo. Vyenginevyo tungelikuwa tunazungumza hadithi nyingine. Lakini hapa mwenyekiti haimaanishi kuwa kwa wale...
1 Reactions
7 Replies
418 Views
Tarehe 31 Januari, 2023, Rais Samia alizindua Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai nchini chini ya Mwenyekiti Jaji Mkuu Mstaafu, Mohamed Chande Othman, Makamu Mwenyekiti...
3 Reactions
8 Replies
438 Views
Alionekana tangu zamani kuwa na elements za kichochezi hadi leo asubuhi. tunasubiri kauli ya RPC wa Geita Sofia Jongo USSR
0 Reactions
3 Replies
235 Views
Kwamba makaburi ya halaiki taarifa zake hazijathibitishwa, ni upuuzi unaopaswa kupuuzwa Chande na Timu Ya Makada wenzake hawakuwahi hata kufika kunduchi kwa kondo wala hata hawapajui, Huwezi...
11 Reactions
13 Replies
336 Views
Kila siku naangalia hali ilivyo nchini, na kuona tabaka la viongozi wa nchii hii ni kama sikio la kufa, hawajifunzi kutokana na yaliyotokea. Bado wanadanganya watu, wanafanya ufisadi na wanajiona...
21 Reactions
51 Replies
951 Views
Rais Samia amesema; "Mmeshuhudia ripoti niliyokabidhiwa na mavitabu yale yaliyoko pale. Hii ni ripoti ya Rais. Aliyeunda tume ni Rais na ripoti yote hii ni ya Rais. Kwa hiyo, wasitokee watu...
2 Reactions
55 Replies
2K Views
Hivi ile tume ya uchunguzi imetumia bilion ngapi za walipa kodi kwa kipindi cha miezi 5. Iweje kuna mambo wameshindwa kuchunguza? Kwa mfano wanaposema matundu yaliyokutwa kwenye miili ya...
9 Reactions
10 Replies
320 Views
Sasa ni wakati wa kupona, kuwajibika na kusonga mbele kwa umoja. Ripoti hii ni hatua ya mwanzo ya mustakabali imara. #RipotiYaChande Tume Ya Uchunguzi
0 Reactions
2 Replies
125 Views
Wakuu, Samia ameyasema baada ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar...
3 Reactions
28 Replies
630 Views
Tulisikia mwenyekiti wa tume ya matukio baada na wakati wa uchaguzi mzee Mohamed Othuman Chande ya kwamba tume imepanga kukutana na wanahabari ili kujibu na kutolea ufafanuzi wa hoja na maswala...
0 Reactions
0 Replies
161 Views
Back
Top Bottom