Rais Samia: "Janga na Doa Kubwa kwa Taifa!

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
591
Reaction score
546
Rais Dkt. Samia alisema: "Hili ni janga na doa kubwa kwa Taifa letu." Alisisitiza kuwa kazi ya Tume imeiwezesha nchi kupata uelewa sahihi wa kilichotokea, ikijumuisha uchambuzi wa kina uliotokana na ushahidi wa mashahidi 1,323, maelezo ya viapo 953, pamoja na maoni yaliyokusanywa kupitia njia mbalimbali. #RipotiYaChande
Tume Ya Uchunguzi
 
We know each and everything. Msizidi kutukasirisha kwa kutuona sisi wananchi ni watoto wadogo.
 
Back
Top Bottom