Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,713
"...Watanzania tusikubali kurubuniwa kuharibu nchi yetu. Tusikubali kuchochewa, iwe na wanasiasa, wanaharakati, wahalifu au watu wenye chuki na wenye maslahi binafsi kwa njia yoyote ile kuvuruga tunu ya amani yetu.
Tusimame imara na kwa umoja tulijenge taifa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tanzania ndipo kwetu, hatuna pengine katu hatuna. Hatuna pengine. Kwa hiyo tukijenga nchi yetu tutakaa kwa raha, tukivuruga nchi yetu tutaendelea kukaa jinsi tunavyokwenda; tutakuwa na matatizo yasiyoisha.
Baada ya kusema hayo niwatakie nyote neema na baraka." - Rais Samia