JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 8,217
- 11,390
Hawa MaProfesa ninao waona kwenye uwaziri na Wengine mulioko hapo Ikulu.
Hamuna uwezo wa kuanzisha darasa kwa Samia Ili mumusaidie walau ajue uongozi?
Mbona mmemuacha tu kila siku yeye ni kuchamba tu anao eaongoza, anataka aonekane yeye hakosei? Yeye ndio anaamua watanzania waishi vipi?
Mbona munaruhusu kuweka na damage kubwa sana kati ya jamii na Samia?
Watu huku mutaani wanaona kabisa Samia hatumii muda wake vizuri kujiweka kama state woman.
Kwa nini lakini? Hii aibu inawarudia hata ninyi na kusoma kote.
Tutaambia nini watoto umuhimi wa kusoma?