Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Redirect
Akizungumza wakati wa kupokea ripoti hiyo, Mheshimiwa Rais alitambua kwa uzito mkubwa madhara yaliyolikumba Taifa, akipokea maelezo kuwa matukio hayo yalisababisha vifo vya takribani watu 518...
0 Reactions
Replies
Views
Wakuu Akizungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025...
0 Reactions
5 Replies
527 Views
  • Redirect
Akizungumza wakati wa kupokea ripoti hiyo, Mheshimiwa Rais alitambua kwa uzito mkubwa madhara yaliyolikumba Taifa, akipokea maelezo kuwa matukio hayo yalisababisha vifo vya takribani watu 518...
1 Reactions
Replies
Views
Akizungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23...
0 Reactions
3 Replies
351 Views
Mwenyekiti wa tume ya kushughulikia maandamano ya October 29 Jaji Chande amesema kupitia report yake hiyo kuwa wote waliohusishwa na kutekwa chanzo chake ni kwasababu ya mapenzi, madeni, ugomvi...
5 Reactions
14 Replies
345 Views
Ukweli pekee ndiyo njia ya kutoka kwenye hili shimo. Hawa machawa, walioko masarakani msiwalaumu ni shetani anawatumia na tutashinda tu. Hawawezi kuwa watu wa kawaida wakafanya madudu kwa kiasi...
0 Reactions
0 Replies
96 Views
CAG natarajia ripoti ijayo utwambie fedha zilizotumika kulipa hii tume ni Kodi zetu au ni fedha za Rais Samia binafsi? Tafadhali kama ni Kodi zetu tume itupe ripoti kama alilipa kwa fedha zake...
1 Reactions
2 Replies
149 Views
Hakuna Ukombozi hadi Tanganyika huru. Vijana Tiktok wameanza upya.
0 Reactions
1 Replies
168 Views
Kati ya sababu alizo zitaja Chande , hakuna pahala amesema dola inausishwa na utekaji Badala yake amesema watekwaji yawezekana ni ushirikina, mapenzi, kutafuta umaarufu na mengine mengi. Hivi...
2 Reactions
2 Replies
120 Views
  • Featured
"Kama baba wa familia anasema 'tutajenga nyumba kubwa mwaka huu', unauliza maswali ya msingi: Bajeti iko wapi? Fundi ni nani? Nyenzo zimenunuliwa? Tutamaliza lini?" Vivyo hivyo, tunapaswa kuihoji...
8 Reactions
12 Replies
2K Views
Tafuteni wataalamu ndani na nje wafanye SWOAT ANALYSIS ya ripoti ya mchongo ya Chande et al. Msiache ikapita bila kuonesha STRENGTHS( kama zipo anyway),BUT za kuwasaidia ku impeach serikali zipo...
1 Reactions
1 Replies
148 Views
Nimeona Dangote anawashawishi kina Museveni na Ruto kwamba Yuko tayari kujenga Kiwanda Cha Mafuta chenye Ukubwa kama kile Cha Nigeria kwenye Bandari ya Tanga ikiwa atapata ushirikiano kutoka...
1 Reactions
0 Replies
211 Views
Viongozi wa dini wametakiwa kushiriki kikamilifu katika maridhiano. Taifa linahitaji kurejesha maadili na kushinda majeraha ya ghasia. Hii ni dhamira ya pamoja ya Watanzania wote. #RipotiYaChande...
0 Reactions
1 Replies
132 Views
Rais Samia amesema; "Waheshimiwa viongozi na Watanzania wenzangu, wakati nikielekea kuhitimisha nataka nikiri kwamba mimi binafsi sikutaraajia kadhia hii ingetokea kwenye nchi yetu kipindi hiki...
3 Reactions
15 Replies
577 Views
  • Redirect
Kwa pamoja Watanzania wanaweza kujenga mustakabali imara. Ripoti ya Tume inatoa mwongozo wa kurekebisha na kuwajibisha wahusika. Mshikamano wa kitaifa ndio ufunguo wa amani ya...
0 Reactions
Replies
Views
Wale wale waliokuwa wanashangilia mapendekezo ya tume ndiyo hao hao hawajatekelezi na wengine kuagiza kuvunjwa kwa sheria hizo hizo. Yaani Polisi ya sasa inavunja sheria kuliko hata Polisi ya...
3 Reactions
7 Replies
702 Views
Wakuu Masiku kadhaa yaliopita nilipatana na kìjana mmoja mwenye uraia wa USA na mwenye asili ya Afrika. Tulipata kuzungumza mawili matatu nilimsikia akisema amekua na shauku kubwa sana kujua...
2 Reactions
8 Replies
207 Views
Top mmoja kateleza katika maongezi kavujisha Taarifa sehemu kwamba Report ya Chande Tayari imewataja watu fulan na wanaweza wakapotea hivo wakamatwe kabla ya Juma kuisha na ikibidi wakamatwe leo...
13 Reactions
40 Replies
1K Views
Wallah tena nawaambia, ukiwa kwa mbali unaweza kudhani macho na masikio vinakudanganya maana muonekano wake unakufanya udhani ni mtu mwenye busara na maarifa, kichwani kuna nondo za kutosha, na...
9 Reactions
15 Replies
511 Views
Naona ugumu kukichafua cheo cha Jaji kwani ni adhimu na chenye heshima kwa anayestahili kuheshimiwa nacho na Wewe Chawa, Chande umejivua cheo hicho, acha nisionekane mtovu wa nidhamu kwa wakubwa...
4 Reactions
4 Replies
217 Views
Back
Top Bottom