Mwizukulu wa Buganda
JF-Expert Member
- Nov 19, 2024
- 810
- 2,044
Amewasii watanzania kulinda amani ya nchi.
Mbona hiyo avatar yako inasema Tanzania yetu, ila ina picha ya Samia badala ya TanzaniaTume imetoa mapendekezo ya kuimarisha amani na uwajibikaji. Rais ameahidi kutekeleza ili kuepuka kurudia matukio. "Tumegusa kaa la moto na tumejifunza" – hii ni dhamira mpya ya kujenga Taifa imara. #RipotiYaChande
Tume Ya UchunguziView attachment 3578317
Huyu ni Mzanzibar anatupa ujumbe Watanganyika, kuwa ni Tanzania yao chini ya uongozi wa Samia🤣Mbona hiyo avatar yako inasema Tanzania yetu, ila ina picha ya Samia badala ya Tanzania