Kiongozi anaye jali watu wake Vs mafisadi

Huyu ndio Kiongozi WA kuigwa afrika
What can I say!

Anaitwa nani huyu mama!

Nitarudi tena kumsikiliza mara nyingine tena, akili ikiwa imetulia zaidi, maana sasa hivi maneno yake yameniacha nikiwa na majonzi makubwa moyoni.
Ni maneno haya haya tumeyasikia yakisemwa sana toka enzi za kupata uhuru wetu.
Sasa sijui hapo katikati tuliingiliwa na wazimu gani; 'globalization' ilikuja kuvuruga sana viongozi wa miaka ya hapa katikati.

Namsihi sana huyo mama asisahau raslimali ya elimu kwa vijana wa Afrika, utajiri wa hizi mali asili bila ya uwezo wa elimu siku zote tutaendelea kuwa watumwa tu!
 
Ní Raisi wa Namibia
 
Back
Top Bottom