Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi, Huu ni ushauri wa Bure kwa Balozi Humprey Polepole. Tukubali tukatae, kitendo alichokifanya Balozi Humprey Polepole, kujiuzulu nyadhifa yenye hadhi kubwa kama ya ubalozi, ni kitendo cha...
24 Reactions
69 Replies
3K Views
Poleni na mvua zinazoendelea jijini na miji mbalimbali hapo nyumbani. From my trusted source pamoja na kuwa report ya kesho Itakuwa na madudu mengi na ya ovyo ovyo ( Kitu nilichotarajia tangu day...
9 Reactions
29 Replies
754 Views
Unajua bana….ukiwa huna akili ni hauna tu. Hakuna namna hata ufanyeje. Ukiachiwa uongee lazima utaongea pumba tu na kuzidi kujichoresha vile namna unavyohusika na jambo. Sasa huyu Samia leo...
25 Reactions
23 Replies
659 Views
Binafsi naamini kama mchakato wa katiba mwaka 2014 usingehujumiwa na makundi ya watu wahuni wanaonufaika na mfumo basi kuna mambo mengi ambayo yangetokea, aidha kwa bahati nzuri au mbaya na...
11 Reactions
20 Replies
667 Views
BarbaraGSerra: "You may call it rescuing the day, but I go back to my question, was the government responsible for the shooting and killing of around 500 protesters?" Ambassador Lazaro Nyalandu...
6 Reactions
63 Replies
2K Views
Wanabodi, Huu ni uzi wa swali, Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, hata kujiuzulu kwake ni kwa kung'atuka kama Nyerere!, kwenye sababu zake kumi za kungatuka, kwa sisi wa jicho la...
35 Reactions
97 Replies
5K Views
Wanabodi, Jana nilipandisha bandiko hili humu jukwaani Polepole, Ubalozi kwaheri. Huwezi kukata tawi la mti uliokalia. Shuka kwanza chini, simama kwa pembeni ndipo upige hilo shoka moja Mbuyu...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
Uongozi ni busara na hekima, ni kupanga na kuongoza, uongozi ni ulezi (guiding) uongozi ni taswira ya sehemu unayoiongoza. Uongozi ni ku-control hisia, uongozi ni utulivu wa mwili na akili...
0 Reactions
3 Replies
154 Views
Mtume Paul kuna wakati anawaandikia waraka Wagalatia alilazimika kutumia lugha nguvu, lugha ya hasira "Ni nani aliyewaroga". Alishangaa kanisa la Galatia kuanza katika Roho na kumaliza katika...
-2 Reactions
6 Replies
148 Views
Labda sina exposure ya kujua vingi au mengi. Lakini utimamu wangu wa akili unakataa kabisa. Kwamba wahudhuriaji katika uwasilishaji wa ripoti ya mauaji wanashangilia na kupiga makofi!! Serious...
12 Reactions
11 Replies
287 Views
Mwendo hujaumaliza bali umeunajisi. Ni heri kufa kuliko kuishi kufanya ubatili kama uliousoma jana mbele ya MUNGU wa Mbinguni. Heri kufa ukiwa na heshima yako kuliko kufa na aibu kama hii na hela...
9 Reactions
22 Replies
480 Views
Kwa mara ya kwanza tunaona kiongozi mkuu wa nchi akisimama hadharani na kuona idadi ya watanzania ambao amewatangaza kuwa wamekufa 518 na zaidi kwake anaona ni jambo la kawaida. Hashtuki...
1 Reactions
0 Replies
111 Views
Mange amesababisha vurugu watu wajinga wamepata madhara makubwa, ametukana watu na kuwadhalilisha Leo dhambi inamrudia. tuwaheshimu watu bila kujar ni kiongozi au ni mtu yyte. Hatujaja Dunian...
7 Reactions
63 Replies
1K Views
Baadhi ya wajumbe walioshiriki katika kura za maoni za uteuzi wa Mgombea Ubunge Jimbo la Isimani kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) wameibuka na malalamiko wakidai kutoridhishwa na mchakato...
1 Reactions
6 Replies
281 Views
Wakati Dangote , Museveni na Rutto wakiongelea Uwekezaji Tanga! Samia yupo na tume ya mchongo!. Jana Daongote alikuwa anaongelea uwekezaji mkubwa wa kiwanda cha kusafisha mafuta Tanga Tanzania...
0 Reactions
7 Replies
222 Views
Wakuu, Huyu baba nlikuwa simpendi jamaniiiiii, bora wamekiondoa, kila kitu cha digitali kwake ni kama haramu, mbwa kabisa!! YAH: UTEUZI NA KUPANGIWA KITUO BALOZI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
1 Reactions
0 Replies
340 Views
Eti wanahangaika kuleta dawa za kuacha kunywa pombe. Huu ni kupoteza fedha za walipa kodi. Dawa za malaria ni tatizo kubwa huko vijijini.👇
1 Reactions
8 Replies
213 Views
Mtangazaji (Sky News): "Serikali haikuwa na wajibu [wa vifo vya waandamanaji]?" Balozi Nyalandu: "Serikali haikuwa na wajibu wa vifo vya waandamanaji. Serikali ilikwenda kulinda kila mtu. Ilikuwa...
0 Reactions
6 Replies
324 Views
Ripoti mpya ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ya mwezi Aprili 2026 imeitaja Tanzania kuwa ya 3 kwa uchumi wake kupanda Afrika Mashariki Kulingana na takwimu hizo, uchumi wa Tanzania...
3 Reactions
16 Replies
416 Views
Back
Top Bottom