Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wadau mimi ni mpinzani kutoka kwenye damu nimeshiriki chaguzi 3 na zote niliwapa wapinzani. Ukiniuliza kwa nini najifaham tu napenda mabadiliko na sioni ubaya, ila kwa huyu mama yetu anavyoleta...
6 Reactions
16 Replies
815 Views
Naendelea kuwasalimia kwa jina la Muungano wa Tanzania. Hapo awali nilikuwa nikijua Watanzania pekee ndio tunaoona juhudi hizi za makusudi za mama yetu Samia Saluhu Hasani za kuleta maendeleo kwa...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Ni vigumu kuamini lakini ndio ukweli kwamba rais wetu naye sasa ni mfanyabiashara mashuhuri nchini na anamiliki magari mengi ya usafirishaji. Sasa aamini nchi itaendelea kwa ushirika na...
39 Reactions
164 Replies
10K Views
Mimi nilipiga kelele mno kipindi cha Hayati Magufuli akiwepo kuwa kitengo cha Financial Unit Intelligence yaani FIU kinaonea Watanzania sana kufunga akaunti zao kwa pesa toka nje na hatua zao...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika Jambo gumu na linaloonyesha CCM na Serikali yake kubugi na limewafika shingoni ni hili la kesi ya kubambikiwa ya Mbowe. Joto kali la ndani ya nchi na Jumuiya ya Kimataifa limewafanya CCM...
23 Reactions
74 Replies
7K Views
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema Viongozi na wanachama wao waliokimbia nchi kwa sababu za kisiasa na kiusalama sasa warudi nyumbani baada ya Serikali kuwa imetoa tangazo bungeni. Soma...
5 Reactions
47 Replies
4K Views
Hii ni janja au akili mbovu? Yaani mnawapa boda boda lita tatu za mafuta kila anapopita rais Samia na kuwaambia boda wabebe raia ili kuonekana kuna nyomi linalomkubali mama? Ukweli ni kuwa hii...
6 Reactions
38 Replies
3K Views
Mnaopanga kumshtaki Mh. Sana Bashite msipoteze muda wenu huyo bwana hakuna wa kumshtaki kwa sasa katika nchi hii na ukifanikiwa kumshtaki kushinda hiyo kesi ni ndoto za mchana. Hebu ni wakumbushe...
2 Reactions
9 Replies
891 Views
Wakati Umefika sio kwa CCM TU bali kwa VYAMA VYOTE vya SIASA kuwa na VIONGOZI WASOMI na Wenye VYETI vya TAALUMU badala ya sasa Mtu anachaguliwa ili Mradi Kaomba hiyo Nafasi na ana FEDHA za...
0 Reactions
4 Replies
985 Views
Ajenda moja ya Maridhiano ya CCM na Chadema ya kuwahakikishia usalama Tundu Lisu, Lema na Wenje imeshazaa matunda na sasa makamanda wako njiani kurejea nyumbani Lakini ajenda nyingine Ilikuwa ni...
5 Reactions
42 Replies
2K Views
Hakuna vya uchumi wa kati Wala uchumi wa nini. Magufuli alijitapa anajenga mega projects kwa pesa za ndani kumbe alikopa Sana, SSH akasema anajenga uchumi na hataki Mambo ya katiba, kumbe...
12 Reactions
200 Replies
16K Views
Rais Mstaafu Kikwete ashangaa kuibuka kwa Machifu Tanzania "Yarabi Toba" Enzi za utawala wake:
13 Reactions
115 Replies
11K Views
Wengi tunafahamu kuwa kujenga uwanja wa ndege Chato lilikuwa ni jambo la ajabu kiuchumi na ukanda mbaya sana. Jambo lisilopaswa kutokea tena. Lakini uwanja ule tusiuache uoze, ni pesa nyingi...
22 Reactions
93 Replies
9K Views
Kuna kila sababu ya kuendelea na Rais SSH 2025, sababu ana mipango na miradi mingi ya kuikamilisha. Tatizo ni kwa hili Bunge halimsaidii sana mama Samia bado wana mawazo ya CCM ya zamani kwamba...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Kuna dalili na viashiria vingi baadhi watu au vikundi vya watu vinazidi kupata nguvu kuliko taifa lenyewe. Yaani mchezaji anakuwa mkubwa kuliko timu kwa lugha nyepesi. Kuna kiwanda cha...
0 Reactions
0 Replies
430 Views
Hivi Baada ya miaka 60 ya Uhuru unaweza mpigia makofi au kumpa pongezi kiongozi anae kuja kuzindua au kuahidi miradi ya kimaendeleo ambayo ilibidi iwe ilishafanyika miaka 40 iliyopita na viongozi...
1 Reactions
3 Replies
658 Views
Askofu wa jimbo katoliki la Rulenge Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi amesema jamii imejaa uasi kutokana na kuongezeka kwa maovu yanayotekelezwa na baadh ya wanajamii. Akiongea katika ibada ya...
5 Reactions
1 Replies
760 Views
Pamoja na kuwa serikali yetu inatumia fedha nyingi kujenga na kuboresha miundombinu ya usafiri na hasa Hapa Dar Es salaam lakini bado wataalamu wetu wanazingua sana kwenye planing. Kwenye ujenzi...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanabodi kwa jinsi ilivyo duniani vyeo tulivyonavyo ni mamlaka ya muda tu Bado utu wetu na nidhamu ni muhimu sana hakuna haja ya kupandisha mabega na kujipa umungu mtu hata tuwe na elimu ya aina...
3 Reactions
3 Replies
911 Views
Msafara wanyamapori wakihamishiwa hifadhi ya Taifa ya Burigi.
9 Reactions
321 Replies
63K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…