Rais Samia anaupiga mwingi kupitia Royal Tour hadi Wazungu waamua kuizungumzia Tanzania kwenye games

Frustration

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
3,095
4,059
Naendelea kuwasalimia kwa jina la Muungano wa Tanzania.

Hapo awali nilikuwa nikijua Watanzania pekee ndio tunaoona juhudi hizi za makusudi za mama yetu Samia Saluhu Hasani za kuleta maendeleo kwa njia mbalimbali katika nchi yetu.

Jitihada za mama sio tu zinakoshwa na upinzani bali hadi watu wa games, IT na TEHAMA duniani kote.

Kwa sasa kupitia Royal Tour Tanzania imekuwa newly exposed. Kuna game ya safari inatengenezwa kwa kuchukua location za mbuga za wanyama Tanzania na huko Kenya wanatuonea wivu na wanatetemeka.

Kupitia Samia, yeye mwenyewe ametuumbua sana sisi Waafrika hasa tunaoamini mwanamke hawezi chochote, mwanamke hadi awezeshwe, mwanamke ni dhaifu, mwanamke ni wakupangiwa, mwanamke ni wakupika tu nyumbani.

Samia ni mfano usioelezeka kwa namna yoyote ile zaidi tu ya kusema.
A N A U P I G A MWINGI SANA
hivyo basi
2025 ⌚M!5 TENA

MAJIBU YA WAULIZAO GAME LILIKUWEPO KABLA YA ROYAL TOUR.

Kwanza nasikitishwa sana na watu wanaodandia gari kwa mbele kwa sababu wanaamua kupumbaza wengine kwa kukusudia au kwa kutojua.
Developer wa Game hili wamependezwa na utalii nchini Tanzania na ndio maana wakaamua kuingiza event pekee ya Tanzania siku nne zilizopita.
Naomba kwanza waangalie hiyo update ya event ni ya lini kwenye hiyo picha ndipo mje mseme game lilikuwepo hata kabla ya Royal Tour.
Swali langu kwenu je kabla ya royal Tour event ya Tanzania ilikuwepo?
Karibuni tena kwa ufafanuzi
 
Attachments

  • Screenshot_20220609-140935_Google Play Store.jpg
    Screenshot_20220609-140935_Google Play Store.jpg
    82.8 KB · Views: 17
Kwa mwendo huu hata mzungu akijamba watu wengine watasema ushuzi unanukia Versace kwa sababu ya matunda ya Royal Tour.

Akilia watasema machozi ni almasi, matokeo ya Royal Tour.

WTF?

Yani hata katika propaganda ndiyo wamefulia hivi?
 
Umesoma vizur kwanza kabla hujaingiza ushabiki wa siasa?

Visit a littered Tanzania and help restore its natural beauty..wtf? the way we working hard to preserve and conserve our environment and wildlife ndio wakuambiwa watembelee nchi chafu kwel?
 
Nimesema hapo juu hata wakijambiwa watashangilia tu.

Nina shaka wengi hata hiyo lugha kama wanaijua.
 
Nimesema hapo juu hata wakijambiwa watashangilia tu.

Nina shaka wengi hata hiyo lugha kama wanaijua.
Awali ilikuwa haijulikani Tanzania ila kwa sasa wanaifuatilia vizuri na haya ndio matokeo ya Royal Tour
 
Umesoma vizur kwanza kabla hujaingiza ushabiki wa siasa?

Visit a littered Tanzania and help restore its natural beauty..wtf? the way we working hard to preserve and conserve our environment and wildlife ndio wakuambiwa watembelee nchi chafu kwel?
Cha muhimu kwa sasa nchi yetu inajulikana kila kona na kupitia mama ameliweza hili. Viva mama Samia Suluhu Hasani
 
Awali ilikuwa haijulikani Tanzania ila kwa sasa wanaifuatilia vizuri na haya ndio matokeo ya Royal Tour
Game imetoka kabla ya Royal Tour kutoka.

Ukitaka kudanganya, jaribu hata kuangalia timeline.

Kama hata unaelewa timeline ni nini.
 
Game imetoka kabla ya Royal Tour kutoka.

Ukitaka kudanganya, jaribu hata kuangalia timeline.

Kama hata unaelewa timeline ni nini.
Game ni ya mda ila kuizungumzia Tanzania ni baada ya Royal Tour na tokea jina hili zuri la Tanzania kwenye Hunting clash liingizwe leo ni siku ya 3
 
Game ni ya mda ila kuizungumzia Tanzania ni baada ya Royal Tour na tokea jina hili zuri la Tanzania kwenye Hunting clash liingizwe leo ni siku ya 3
Hapana, wewe hujafuatilia tu.

Kuna watu Reddit wanaizungumzia hii release ya Tanzania miezi mitano iliyopita, wengine miezi mitatu iliyopita.

Kabla Royal Tour haijawa released.

Hapana, wewe hujafuatilia tu.

Kuna watu Reddit wanaizungumzia hii release ya Tanzania miezi mitano iliyopita, wengine miezi mitatu iliyopita.

Kabla Royal Tour haijawa released.
Wao walizungumzia tu ila event imewekwa juma pili hivyo ni baada ya royal Tour
 
Wao walizungumzia tu ila event imewekwa juma pili hivyo ni baada ya royal Tour
Hapana, si kuzungumzia tu, kuna screenshots kabisa za game zinazoonesha release ya Tanzania ilikuwapo kabla ya Royal Tour kuwa released.

Hapana, si kuzungumzia tu, kuna screenshots kabisa za game zinazoonesha release ya Tanzania ilikuwapo kabla ya Royal Tour kuwa released.

Kwa hiyo unataka kusema royal tour ni ya lini? Usiangalie tu siku ya uzinduzi USA na Arusha? Royal Tour ni ya mda na hata azam walianza kuinadi mapema sana hata kabla ya scene yenyewe kupewa jina la royal Tour
 
Sasa ukisema hivyo, na mimi naweza kukuambia nchi ya Tanzania na utalii wake ni maarufu siku nyingi.

Unaweza kuweka ushahidi wowote kwamba game hii imetokana na Royal Tour, na si umaarufu wa Tanzania wa siku zote?

Kuna sehemu yoyote watengenezaji wa game wameitaja Royal Tour?
 
Back
Top Bottom