Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimebahatika kuona awamu zote japo ile ya ya kwanza(mwalimu Nyerere ) niliifahamu mwishoni. Pamoja na uzoefu wangu kwa kuzishuhudia awamu zote lakini hii awamu maisha yamekuwa magumu sana kwa...
9 Reactions
56 Replies
4K Views
Kiukweli huku Bara hawana vichwa kabisa na hata huko Tanzania Visiwani wanatembelea nyota ya maalim Seif (RIP). Nani anawapa nguvu ya kufurukuta hawa ACT Wazalendo?
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Sasa hivi wanachokifanya CCM ni kuonyesha ukaidi mkubwa juu ya rasilimali za taifa hili. Wanatoza watu tozo wanavyotaka bila kuangalia utu na vipato vya raia. Sasa hivi wamehamisha raia wa...
6 Reactions
36 Replies
3K Views
Wakazi wa Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga wameonesha kufurahia ujio wa wageni waliohamiawilayani humo kutokea Ngorongoro. Pamoja na kutaja faida kadhaa wameeleza pia kuwa, ujio wao umeanza kukuza...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Kaka yangu Mwigulu L Nchemba (Phd). Hoja hizi hapa chini, ni baada ya kuongea na wewe (siku x) baada ya kusoma bajeti. Hongera sana kwa kuwasilisha bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha...
14 Reactions
58 Replies
3K Views
Katiba ya sasa ipo wazi kabisa kuwa ni wananchi ndio wana mamlaka kutawala taifa lao la Tanzania na hii ni kwa mujibu wa ibara ya 8(1)(a) ya katiba ya JMT. Sasa mbona hawana mamlaka hayo na...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Nchi yetu ya Tanzani, mifumo ya kudhibiti mfumuko wa Bei Bado hauko vizuri, ukilinganisha na nchi zingine. Kutangazwa Kwa wastan wa kupanda Kwa mishahara kutaendana na mfumuko wa Bei za vitu...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Mkurugenzi huyo wa zamani aliyeondolewa madarakani na Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa , amefikishwa Mahakamani Leo , ambako bado haijafahamika kesi inayomkabili . Tunaendelea kufuatilia . ========...
5 Reactions
44 Replies
5K Views
Kwa jinsi huyo ( huyu ) Waziri anavyokukaanga kila mara huku Wewe ukiona anapatia na Serikali yako inaenda vyema nakuhakikishia Mama ( Rais Samia ) kwa Usununu ( Uchungu ) wa Watanzania ambao...
2 Reactions
86 Replies
6K Views
Ninavyoelewa majadiliano kuhusu uwekezaji wa kujenga kiwanda cha kuchakata gesi kupata NLG yalikua hayaendi haraka kwa sababu ya kuhakikisha uwekezaji unakua na faida kwa pande zote. Tofauti na...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Uchumi wa China na India inazidi kupaa wakati dunia ikiyasusia mafuta ya Urusi kibwege Afrika tumerogwa kwelikweli, hatununui mafuta ya Urusi eti tunaunga mkono shida za watu wanaotudai madeni...
9 Reactions
47 Replies
3K Views
Anwani za makazi ni jambo jema lenye Nia njema. Lengo lake ni kutambua tunapatikana wapi ndani ya mitaa, kata, tarafa, wilaya, mikoa ndani ya Tanzania. Kila mkoa, wilaya, tarafa, kata, vijiji na...
13 Reactions
66 Replies
6K Views
Sina shaka na dhamira yako njema ya kutafuta pesa kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu. Lakini ndugu Rais hebu punguza safari za nje kidogo ukae ofisini kufuatilia matumizi ya hizo fedha ,umekopa...
12 Reactions
42 Replies
3K Views
ACT wazalendo wamesema sasa wameelekeza nguvu zao kudai Katiba y na Tume huru ya uchaguzi Uongozi mzima wa ACT wazalendo umeshaanza ziara hizo ikiongozwa na mwenyekiti wake mh Duni Haji pamoja na...
0 Reactions
13 Replies
887 Views
Tunakumbushana tu Tanzania hakuna bidhaa zimekuwa specified kuwa ni za watoto hivyo ni tax free Wakati wa RC Mhaville hapa Dar tulikuwa tunalipa Kodi ya maendeleo Watu wazima tu labda ndio...
2 Reactions
6 Replies
555 Views
Ukisoma habari za kale kuhusu haya Makabila yetu utagundua Watanganyika tuko wachache sana Makabila mengi ni walowezi mfano Wachagga walikuja Moshi Kibiashara wakalowea ndio sababu hata Siasa...
4 Reactions
51 Replies
3K Views
Leo 12:15hrs 19/06/2022 Maisha ya mwanadamu ni filamu "movie" ambayo Mungu ameiandaa na anaiongoza mpaka mwisho wake,binafsi naifurahia na naendelea kuifurahia filamu ya maisha yangu hadi hapo...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Mkuu wa Majeshi General Mabeyo ambaye anamaribia kustaafu leo amemuaga rasmi mkuu wa mkoa wa Mwanza Injinia Gabriel jijini Mwanza Mabeyo amesema japo anastaafu lakini ataendelea kulitumikia...
4 Reactions
39 Replies
4K Views
Watanzania si wepesi kuingilia Uhuru wa nchi nyingine Huru zinazoizunguka naweza kusema hivyo haijawahi kutokea Tanzania ikawa kinara wa mambo ya nchi nyingine siku zote wanaishi maisha yao na...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Ukiitazama Marekani ni nchi ya wahamiaji kutoka sehemu zote za duniani. Teknolojia na vumbuzi nyingi sana zimefanywa na jamii tofauti, biashara zimeanzishwa na kufanywa kwa ubunifu na ufanisi...
1 Reactions
4 Replies
582 Views
Back
Top Bottom