Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,708
- 5,711
Katiba ya sasa ipo wazi kabisa kuwa ni wananchi ndio wana mamlaka kutawala taifa lao la Tanzania na hii ni kwa mujibu wa ibara ya 8(1)(a) ya katiba ya JMT. Sasa mbona hawana mamlaka hayo na wanabaki wanalialia hovyo?
Mbona wanalalamika juu ya tozo za ajabuajabu? Mbona wanalalamika kuwa pesa zao zinatumika hovyo? Pesa wanazokamuliwa kwenye kodi na tozo za kila namna.
Hii katiba ya sasa haijawapa mamlaka ya kutawala taifa lao. Hawana mamlaka ya kuliwajibisha bunge na rais anayetumia madaraka isivyotakiwa.