Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nianze kwa kusema wazi kwamba itikadi yangu ni kusimama na nchi na si kiongozi. Panapostahili kukosoa tutakosoa na panapostahili kusifu basi sifa hutolewa. Katika hotuba nyingi za hayati JPM...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai ameagiza wahusika walioidhinisha malipo ya Sh3.2 milioni kwa ajili ya ununuzi wa bastola ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi kuzirejesha. Alisema...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari! Napenda tujibu swali hili kwa kutumia mfano huu. Serikali au waziri Mchemba anapendekeza viongozi wakopeshwe magari badala ya njia ya sasa ambapo kiongozi hulikuta gari ofisini au...
9 Reactions
45 Replies
3K Views
Wanasiasa sio watu wema. Wanajaza matumbo yao. Hawashibi? Wanakula michango yetu. Wanakula kodi zetu. Leo hii Mbowe na Mabwanyenye wa CCM lao ni mpango mmoja tu kulamba asali. Makabwela...
2 Reactions
15 Replies
989 Views
Wakati mwingine unajiuliza kama kiongozi wetu anaelewa anachokifanya ama haelewi chochote kabisa. Juzi rais akiwa Kagera akasema kodi inayopaswa kukusanywa ni ya mwaka mmoja nyuma tu, miaka ya...
18 Reactions
48 Replies
3K Views
Hapa mnatakiwa mjiulize kwa kutumia akili sana. Kwamba sasa mnaekea wapi watanzania? Tozo kibao kila kukicha. Matumizi ya ajabu ajabu tu. Kwanu Uhuru Kenyatta hana wajomba huko Usa? Vipi kuhusu...
0 Reactions
3 Replies
729 Views
MIEZI 4 BILA JPM:KWA NINI RAIS MAGUFULI ALIWEZA KUIJENGA NCHI BILA TOZO YA MSHIKAMANO!? Leo 12:50hrs 18/07/2021 Mwana wa kweli wa Afrika, Son of the soil, Hayati Rais Dr. John Pombe...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Hebu msikilize hapa chini.
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Aliyekuwa Katibu wa chama cha Chadema Mkoa wa Ruvuma Tasilo Milinga amejiunga na chama cha ACTwazalendo mapema leo Juni 18,2022. Hapa akimkabidhi kadi yake ya uwanachama ya Chadema Mwenyekiti...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama unatatizika na ziara za Mh Rais Samia utalia sana mwaka huu Kuna kikao cha AU Mjini Addis Ababa, Ethiopia na baadaye anaunga New York na lazima mama aende kufungua nchi kimataifa ila kuna...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Mama Samia wizara ya maji shida inakuwaje maeneo ya Mwanza ya Nyashishi, Nangomango, Usagara,Bukumbi na Kigongo kule daraja la Magufuli linajengwa Mwanza wanatumia maji ya visima huku wako karibu...
6 Reactions
49 Replies
3K Views
Nianze kwa kusema wazi kwamba itikadi yangu ni kusimama na nchi na si kiongozi. Panapostahili kukosoa tutakosoa na panapostahili kusifu basi sifa hutolewa. Katika hotuba nyingi za hayati JPM...
0 Reactions
3 Replies
918 Views
Huyu Mmasai kashiriki move nyingi kuliko Rambo wa First blood. Ni hayo tu kwa leo. Ngongo safarini Kigali 🔭
1 Reactions
1 Replies
644 Views
Kufuatia kitu kilichobatizwa na watu nje ya NCCR-Mageuzi kuwa ni mgogoro, Naibu Msajili wa vyama vya siasa amewaandikia barua aliyekuwa Mwenyekiti wa Taifa na Makamu Mwenyekiti (Zanzibar) ambaye...
1 Reactions
2 Replies
596 Views
14 June 2022 Muscat, Oman By: ONA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ampokea Mufti Mkuu wa Oman, Sheikh Ahmed bin Hamad Al Khalili alipofika katika makazi ya wageni mashuhuri (VIP) Kasri ya...
3 Reactions
40 Replies
6K Views
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ameongoza mahafali ya kufunga kozi ya Ukamanda na Unadhimu na Astashahada na Shahada ya Uzamili ya Mafunzo ya Ulinzi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kazi iendelee. Serikali ya Sri Lanka imewataka wafanyakazi wa Umma kwenda Kulima badala ya kazini Ili kukabiliana na njaa. Hii na sisi Tanzania hatuwezi kuiga?👇
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Bashe ametoa Siri aliyoificha kwa muda, kuwa Magufuli alitaka amtumbue na amuuweke ndani. CHEKI VIDEO Waziri Bashe amesema, alipoteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Kilimo alikumbana na sakata la...
4 Reactions
61 Replies
6K Views
Wakati wa upanuzi wa barabara ya Ubungo wenyeji wake walihamishiwa Mbweni kea kupewa viwanja tu wala siyo Nyumba Wakazi wa Kinondoni Mkwajuni kwa sababu za Mazingira kama ilivyo Ngorongoro...
24 Reactions
97 Replies
5K Views
Picha> Mbunge Felista Njau akitoa hoja bungeni Felista Njau, Mbunge wa viti maalum akiwa Bungeni leo ametoa mchango wake kuhusu bajeti huku akisisitiza kuwa bajeti imeacha kipengele muhimu cha...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom