Awamu hii ya 6 maisha ni magumu sana

mapesa yamejaa

JF-Expert Member
Dec 29, 2021
292
684
Nimebahatika kuona awamu zote japo ile ya ya kwanza(mwalimu Nyerere ) niliifahamu mwishoni. Pamoja na uzoefu wangu kwa kuzishuhudia awamu zote lakini hii awamu maisha yamekuwa magumu sana kwa watanzania kuliko nilizozishuhudia.

Mfano. Awamu ya tano ilijitahidi sana kupunguza ukali wa maisha kwa kutumia vizuri rasilimali zake. Kipindi hicho cha awamu ya tano vifaa vya ujenzi vilikuwa na bei ya chini kuliko kwa sasa. Cement iliuzwa 5000-8000 lakini kwa sasa 15000kwa Dar na mikoani hadi 22000. Nondo ziliuzwa 12000(mm12)lakini kwa sasa27000-30000.

Vilevile sisi wazee tulitibiwa bure kwa mstarehe kabisa awamu ya tano,hata watoto chini ya miaka mitano na mama mjamzito alipata huduma bure lakini kwa sasa hizo huduma zimefutwa., bila pesa hupati huduma.

Kwenye pembejeo za kilimo zilipatikana wa urahisi.mbolea kama urea can,npk zilipatikana kwa wakati na bei chee.mfano urea(kilo 100 urea iliuzwa 50000 )lakini kwa sasa ni 150000.

Mimi kama mzee mzalendo nauliza Hivi kwanini imekuwa hivi awamu hii? Tatizo ni nini?
 
Mbekenga

JF-Expert Member
Jun 14, 2010
2,498
5,458
Na Mo kafunga kiwanda cha katani na kuachisha kazi umati wa watu. Sababu ni kwamba mama amefungulia nchi wachuuzi wakaingiza kamba za nylon.

Kwenye kilimo pembejeo zimepanda na ukame ukakazia. Mahindi hayatashikika mpaka tuone mwenendo wa vuli za mwaka huu.
 
JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
5,654
6,184
Nimebahatika kuona awamu zote japo ile ya ya kwanza(mwal nyerere ) niliifahamu mwishoni.Pamoja na uzoefu wangu kwa kuzishuhudia awamu zote lakini hii awamu maisha yamekuwa magumu sana kwa watanzania kuliko nilizozishuhudia.
Mfano. Awamu ya tano ilijitahidi sana kupunguza ukali wa maisha kwa kutumia vizuri rasilimali zake.kipindi hicho cha awamu ya tano vifaa vya ujenzi vilikuwa na bei ya chini kuliko kwa sasa.cement iliuzwa 5000-8000 lakini kwa sasa 15000kwa Dar na mikoani hadi 22000.Nondo ziliuzwa 12000(mm12)lakini kwa sasa27000-30000.

Vilevile sisi wazee tulitibiwa bureee kwa mstarehe kabisa awamu ya tano,hata watoto chini ya miaka mitano na mama mjamzito alipata huduma bure.lakini kwa sasa hizo huduma zimefutwa.bila pesa hupati huduma.

Kwenye pembejeo za kilimo zilipatikana wa urahisi.mbolea kama urea can,npk zilipatikana kwa wakati na bei chee.mfano urea(kilo 100 urea iliuzwa 50000 )lakini kwa sasa ni 150000.

Mimi kama mzee mzalendo nauliza Hivi kwa nini imekuwa hivi awamu hii?tatizo ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mapesa yamejaa.

We jamaa ID inakuponza.

Hata hivyo ni ngumu kuamuni iwapo
wewe Mzee kulingana na mwandiko wako.

Ukweli maisha ni Magumu
 
Lanlady

JF-Expert Member
Feb 27, 2019
553
1,715
Nimebahatika kuona awamu zote japo ile ya ya kwanza(mwal nyerere ) niliifahamu mwishoni.Pamoja na uzoefu wangu kwa kuzishuhudia awamu zote lakini hii awamu maisha yamekuwa magumu sana kwa watanzania kuliko nilizozishuhudia.
Mfano. Awamu ya tano ilijitahidi sana kupunguza ukali wa maisha kwa kutumia vizuri rasilimali zake.kipindi hicho cha awamu ya tano vifaa vya ujenzi vilikuwa na bei ya chini kuliko kwa sasa.cement iliuzwa 5000-8000 lakini kwa sasa 15000kwa Dar na mikoani hadi 22000.Nondo ziliuzwa 12000(mm12)lakini kwa sasa27000-30000.

Vilevile sisi wazee tulitibiwa bureee kwa mstarehe kabisa awamu ya tano,hata watoto chini ya miaka mitano na mama mjamzito alipata huduma bure.lakini kwa sasa hizo huduma zimefutwa.bila pesa hupati huduma.

Kwenye pembejeo za kilimo zilipatikana wa urahisi.mbolea kama urea can,npk zilipatikana kwa wakati na bei chee.mfano urea(kilo 100 urea iliuzwa 50000 )lakini kwa sasa ni 150000.

Mimi kama mzee mzalendo nauliza Hivi kwa nini imekuwa hivi awamu hii?tatizo ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ni kwasababu awamu hii imeharakishwa kabla ya muda wake.
Ile ya 5 ingewanufaisha wananchi wa kawaida (wanyonge) kisha hii ingerudisha walamba asali.
Nchi inayotegemea mapato toka kwa wananchi ni lazima mzigo uwe kwa wananchi. Na wanaoumia zaidi ni wa hali ya chini.
Ndio hivyo hakuna namna. Tuendelee kulipa kodi!
 
Marashi

JF-Expert Member
Apr 14, 2018
2,549
3,707
Magumu kwako tu

Mama kapandisha mishahara hadi kamfidia na magu

Mama kapandisha posho za watumishi zaidi ya mara 2

Mama kafanya royal tour kajionea matatizo na sasa kasafisha ngorongoro

Mama anacheka na watu

Mama HAJAFA
 
RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,003
1,991
Nimebahatika kuona awamu zote japo ile ya ya kwanza(mwal nyerere ) niliifahamu mwishoni.Pamoja na uzoefu wangu kwa kuzishuhudia awamu zote lakini hii awamu maisha yamekuwa magumu sana kwa watanzania kuliko nilizozishuhudia.
Mfano. Awamu ya tano ilijitahidi sana kupunguza ukali wa maisha kwa kutumia vizuri rasilimali zake.kipindi hicho cha awamu ya tano vifaa vya ujenzi vilikuwa na bei ya chini kuliko kwa sasa.cement iliuzwa 5000-8000 lakini kwa sasa 15000kwa Dar na mikoani hadi 22000.Nondo ziliuzwa 12000(mm12)lakini kwa sasa27000-30000.

Vilevile sisi wazee tulitibiwa bureee kwa mstarehe kabisa awamu ya tano,hata watoto chini ya miaka mitano na mama mjamzito alipata huduma bure.lakini kwa sasa hizo huduma zimefutwa.bila pesa hupati huduma.

Kwenye pembejeo za kilimo zilipatikana wa urahisi.mbolea kama urea can,npk zilipatikana kwa wakati na bei chee.mfano urea(kilo 100 urea iliuzwa 50000 )lakini kwa sasa ni 150000.

Mimi kama mzee mzalendo nauliza Hivi kwa nini imekuwa hivi awamu hii?tatizo ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Utaambiwa vita vya Ukraine na uviko ndoo kauli zao awamu ya sita. Na nondo mkuu 12mm haitorudi 16000/= kama awali hata ikushuka kwa saaa 27000/= hata ikishuka itakuwa 25000/= vitu vimepanda na pesa mitaani hamna.
 
The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Dec 1, 2021
17,573
12,304
Nimebahatika kuona awamu zote japo ile ya ya kwanza(mwal nyerere ) niliifahamu mwishoni.Pamoja na uzoefu wangu kwa kuzishuhudia awamu zote lakini hii awamu maisha yamekuwa magumu sana kwa watanzania kuliko nilizozishuhudia.
Mfano. Awamu ya tano ilijitahidi sana kupunguza ukali wa maisha kwa kutumia vizuri rasilimali zake.kipindi hicho cha awamu ya tano vifaa vya ujenzi vilikuwa na bei ya chini kuliko kwa sasa.cement iliuzwa 5000-8000 lakini kwa sasa 15000kwa Dar na mikoani hadi 22000.Nondo ziliuzwa 12000(mm12)lakini kwa sasa27000-30000.

Vilevile sisi wazee tulitibiwa bureee kwa mstarehe kabisa awamu ya tano,hata watoto chini ya miaka mitano na mama mjamzito alipata huduma bure.lakini kwa sasa hizo huduma zimefutwa.bila pesa hupati huduma.

Kwenye pembejeo za kilimo zilipatikana wa urahisi.mbolea kama urea can,npk zilipatikana kwa wakati na bei chee.mfano urea(kilo 100 urea iliuzwa 50000 )lakini kwa sasa ni 150000.

Mimi kama mzee mzalendo nauliza Hivi kwa nini imekuwa hivi awamu hii?tatizo ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamia Nchi yeyote ambako maisha ni rahisi..

Hiyo ni Hali ya Dunia Mzee👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220619-171706.png
    Screenshot_20220619-171706.png
    511 KB · Views: 5

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

9 Reactions
Reply
Top Bottom