Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukiitazama Marekani ni nchi ya wahamiaji kutoka sehemu zote za duniani. Teknolojia na vumbuzi nyingi sana zimefanywa na jamii tofauti, biashara zimeanzishwa na kufanywa kwa ubunifu na ufanisi...
1 Reactions
4 Replies
582 Views
Rais wetu umejitahidi kufuta maumivu ya watumishi Wa umma wa nchi hii pamoja na makundi mengineyo yaliyokuwa yameathirika na utawala wa JPM. Hakika katika utawala Wa mwendazake wananchi wameona...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Akizungumza na Waandishi wa Habari kwenye makao Makuu ya chama hicho , yaliyo nje ya Jiji la DSM , huko Kinondoni , Mtaa wa Ufipa , Katibu Mkuu wa Chama hicho John Mnyika , amedai BAJETI HII HAINA...
7 Reactions
40 Replies
2K Views
Tusipakane mafuta kwa mgongo wa chupa. Njia pekee ya kubana matumizi ya serikali ni kwa kufanya yafuatayo: 1. Kuyafanya magari yote ya serikali yatumie gesi asilia badala ya mafuta na kuyafungia...
12 Reactions
32 Replies
3K Views
Picha> Waziri wa Fedha Mwigullu Nchemba akiwa ameshika kipaza sauti Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kodi haitotazwa kwa kila mtu mwenye umri wa miaka 18, bali atatozwa...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Serikali ya awamu ya sita imetuacha wengi midomo wazi. Labda Mama anadhani kwa ujezi ujenzi ikiwamo vyoo kwa pesa za UVIKO anaweza kuwa yu rais bora zaidi hapa nchini kuliko hata walivyokuwa kina...
0 Reactions
0 Replies
427 Views
The Entrepreneurship Index evaluates a total of 100 economies based on a wide range of factors to create an overall “best countries for entrepreneurship” index, including innovation...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Ameandika Padre Titus Amigu *VIONGOZI WA DINI KUINGIA WOGA HATA KUSEMA UONGO*. Dini hazijaanza jana, wala siasa hazijaanza jana. Kwa Wakristo Wakatoliki, kwa woga, watu wanafuja vipaimara vyao...
35 Reactions
73 Replies
11K Views
Dk Kigwangala akiwa waziri wa utalii aliweza kupandisha idadi ya watalii kutoka laki nane kwa mwaka mpaka millioni 1.5 kwa mwaka, vigogo kadhaa walifika kutalii nchi yetu ,mfano Barack Obama na...
2 Reactions
9 Replies
887 Views
Sakata la Ngorongoro/Loliondo ni darasa maalum kwa tasnia mtambuka. Waweza kuchagua mkondo gani wa darasa uingie kujifunza. 1. Habari/Media. Tulizoea tasnia hii ikirukia kuandika habari hata...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu salaam.... Kawaida mtu anapokopa fedha kwenye taasi rasmi huwa Kuna dhamana inayosimama in case umeshindwa kurudisha mkopo ule dhamana hiyo huwa Mali ya taasisi husika ya fedha,mathalani...
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Miongoni mwa mambo makubwa atakayokumbukwa nayo Rais wa awamu ya nne Mhe. Jakaya Kikwete ni ujenzi wa shule za Kata na Ujenzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma. Licha ya changamoto zilizopo, bado wazo la...
5 Reactions
7 Replies
717 Views
Hivi nani hajaona kwa macho yake kuwa kuna mabadiliko makubwa ya kiuchumi ameyaleta hayati JPM? Kuhakikisha sekta ya afya, barabara, elimu , madini na usafirishaji inaimalika. Alafu kundi la...
15 Reactions
63 Replies
3K Views
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema Tanzania ina maadui wakuu watatu Ujinga Umaskini na Maradhi Je, ndani ya miaka 60 ya Uhuru maadui tumewatokomeza kama Taifa?
0 Reactions
3 Replies
808 Views
Wataalam na watafiti wa masuala ya Uhifadhi wamesema hatua zinazofanywa na Serikali kuhifadhi maeneo muhimu Kitaifa na Kimataifa ikiwemo ikolojia ya Serengeti na Ngorongoro ina tija kubwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimepitia vyanzo mbalimbali ili kupata tafsiri rahisi ya conspirancy; inaelezwa kuwa ni njama au mpango wa siri unaofanywa na kikundi cha watu kufanya jambo lililo kinyume cha sheria au jambo...
22 Reactions
37 Replies
5K Views
Ni katika kutafakari siasa za Tanzania na muelekeo mzima. Nikajikuta nikitafakari muda wote ambao viongozi wa vyama vya siasa wamekuwa wakishikilia hatamu za uongozi pasipo kuonyesha kuchoka, na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wapangwa kuzunguka mkoa nzima kutengeneza habari za kumsifu Salam Wana Jamvi.. Wiki kadhaa toka ripoti kuhusu pembejeo feki zikiwa zinamwagwa Kama njugu huko Mtwara kuzima skendo hiyo na kuzuia...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Jua kilichotokea kwa ufupi kisha ujisomee kiambatanisho na link iliyoko mwishoni Hoja dhaifu kwamba Covid-19 imesababishwa na teknolojia ya 5G Ilianzishwa na Daktari mmoja wa Ubelgiji anayeitwa...
6 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau kuna MAMBO mengine yanatia Kinyaa Nimekuwa Najiuliza Kwanini RAIS MAGUFULI na SPIKA NDUGAI walikataa Katakata KUMLIPA TUNDU LISSU Malipo yake?Je Yalikuwa sio HAKI yake au Ilikuwa ni ROHO...
16 Reactions
161 Replies
10K Views
Back
Top Bottom