Ni dharau kubwa, yaani wauze nchi au wapige madili hamna namna ya kuwatoa madarakani. 2025 tukatae hizi dharau

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,139
4,215
Sasa hivi wanachokifanya CCM ni kuonyesha ukaidi mkubwa juu ya rasilimali za taifa hili.

Wanatoza watu tozo wanavyotaka bila kuangalia utu na vipato vya raia.

Sasa hivi wamehamisha raia wa Ngorongoro kwa manufaa yao na matumbo yao.

Hivyo wana maanisha kuwa hata wafanye makosa namna gani lazima 2025 washinde kwa dharau.

Tukatae hizi dharau.
 
Sasa hivi wamehamisha raia wa Ngorongoro kwa manufaa yao na mtumbo yao.

Hivyo wana maanisha kuwa hata wafanye makosa namna gani lazima 2025 washinde kwa dharau.

Tukatae hizi dharau.
Naona uko 'busy' sana mkuu 'Muuza kangala'. Kinywaji kimedoda?

Kichwa cha mada yako ni kizito sana, lakini huku ndani ni kama umepungukiwa na pumzi ghafla!

Ninakubaliana nawe, hata kama hukufafanua ulichotaka kusema.
 
Sasa hivi wanachokifanya CCM ni kuonyesha ukaidi mkubwa juu ya rasilimali za taifa hili.

Wanatoza watu tozo wanavyotaka bila kuangalia utu na vipato vya raia.

Sasa hivi wamehamisha raia wa Ngorongoro kwa manufaa yao na matumbo yao.

Hivyo wana maanisha kuwa hata wafanye makosa namna gani lazima 2025 washinde kwa dharau.

Tukatae hizi dharau.
Punguza kulialia na wee komaaa utafute fursa uitumieeee

Ova
 
Tangu umeanza kupiga kura umepata faida gani.?
Swali lako ni la mfu ...ni sawasawa na kusema masikini wanakufa na matajili wanakufa hivyo sioni faida ya kutafuta pesa ...maisha ni kupambana ni sawasawa useme utaki kutibiwa ugonjwa wowote kwa sababu hata nanaokwenda hospitalini wanakufaga ..hoja mfu
 
Fahamu kutofautisha kati ya vitu vya muhimu na lazima na vitu vya muhimu lakini sio lazima.
Siku njema Boss.
 
Sasa hivi wanachokifanya CCM ni kuonyesha ukaidi mkubwa juu ya rasilimali za taifa hili.

Wanatoza watu tozo wanavyotaka bila kuangalia utu na vipato vya raia.

Sasa hivi wamehamisha raia wa Ngorongoro kwa manufaa yao na matumbo yao.

Hivyo wana maanisha kuwa hata wafanye makosa namna gani lazima 2025 washinde kwa dharau.

Tukatae hizi dharau.
Akili zenyewe ndio kama za muuza kangala kutwa kutukana humu utaweza kuiondoa ccm wewe?
 
Back
Top Bottom