Rais Samia unatafuta pesa nje ya nchi sawa, jaribu kutulia kidogo nyumbani ufuatilie kwa umakini matumizi ya hizo pesa

wazagamba nkoko

JF-Expert Member
Nov 23, 2021
392
998
Sina shaka na dhamira yako njema ya kutafuta pesa kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu.

Lakini ndugu Rais hebu punguza safari za nje kidogo ukae ofisini kufuatilia matumizi ya hizo fedha ,umekopa pesa nyingi sana ndani ya muda mfupi ,sasa tulia ufuatilie matumizi yake kama zinatumika kwa usahihi,usiamini wasaidizi wako kwa asilimia zote ya kwamba ni waaminifu ,wapo na wapigaji wa kutosha tu, mwisho wa siku jumba bovu litakuangukia wewe binafsi, ukitulia ofisini utayajua matumizi ya fedha hizo,kisha ukiridhika zinatumika barabara endelea kuzitafuta ,muhimu hakikisha zinafanya kazi sahihi, ikumbukwe walipaji wa fedha hiyo mikopo ni sisi watanzania,hatutakubali kubebeshwa zigo lisilo na faida,na huo ndio utakuwa mwanzo wa anguko lako,

ZINGATIO_pengine ziara hizi za mfululizo ni mkakati maalumu usio ujua dhidi yako,kwani huzipangi wewe ,bali unapangiwa
 
Sina shaka na dhamira yako njema ya kutafuta pesa kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu.

Lakini ndugu Rais hebu punguza safari za nje kidogo ukae ofisini kufuatilia matumizi ya hizo fedha ,umekopa pesa nyingi sana ndani ya muda mfupi ,sasa tulia ufuatilie matumizi yake kama zinatumika kwa usahihi,usiamini wasaidizi wako kwa asilimia zote ya kwamba ni waaminifu ,wapo na wapigaji wa kutosha tu, mwisho wa siku jumba bovu litakuangukia wewe binafsi, ukitulia ofisini utayajua matumizi ya fedha hizo,kisha ukiridhika zinatumika barabara endelea kuzitafuta ,muhimu hakikisha zinafanya kazi sahihi, ikumbukwe walipaji wa fedha hiyo mikopo ni sisi watanzania,hatutakubali kubebeshwa zigo lisilo na faida,na huo ndio utakuwa mwanzo wa anguko lako,

ZINGATIO_pengine ziara hizi za mfululizo ni mkakati maalumu usio ujua dhidi,kwani huzipangi wewe bali unapangiwa
Yaani Kazi ya Rais iwe kufuatilia matumizi?

Twende taratibu kila Wizara ina mipango na malengo yaliyokusudiwa yatekelezwe kwa pesa wanazipewa sasa yasipofikia si wahusika watajibia wewe una tatizo Gani?

Yaani kuna Waziri Mkuu, Mawaziri,wakuu wa Mikoa,wakuu wanTaasisi,Wakuu wa Wilaya,Takukuru,Wakuu wa Taasisi,Makatibu Wakuu na Manaibu,Idara ya Mkaguzi wa Nje na Ndani nk hao wote wanafanya Kazi gani?
 
Wacha maneno wacha hela tuiweke mifukoni mwetu wivu wa nini
 
Rais atafute pesa, Rais aanze kufatilia matumizi, nini kazi ya PM, Mawaziri, Manaibu, RCs, DCs.....?
 
Yaani Kazi ya Rais iwe kufuatilia matumizi?

Twende taratibu kila Wizara ina mipango na malengo yaliyokusudiwa yatekelezwe kwa pesa wanazipewa sasa yasipofikia si wahusika watajibia wewe una tatizo Gani?

Yaani kuna Waziri Mkuu, Mawaziri,wakuu wa Mikoa,wakuu wanTaasisi,Wakuu wa Wilaya,Takukuru,Wakuu wa Taasisi,Makatibu Wakuu na Manaibu,Idara ya Mkaguzi wa Nje na Ndani nk hao wote wanafanya Kazi gani?
Wao ndio wanaopiga hizo pesa, ulidhani mtoa mada alipo muasa Rais afatilie mlolongo wa matumizi ya fedha alikuwa anamaanisha wananchi ndio wanao iba, au hakuwa anajua kuwa kuna mawaziri, wakuu wa mikoa na wakurugenzi???

Hembu tuliza mwili na akili hata victim wanaotajwa na ripoti ya CAG sio walala hoi, ni hao vigogo walio aminiwa wakaenda kuiba.
 
Kama IQ yako ni ya mchongo, nakushauri uache kuji-involve kwenye matopic yanayotaka critical thinking.
Acha mbwembwe, Urais ni TAASISI. Yani unataka Mama akipata pesa aje nyumbani akae kufatilia matumizi?! Basi tumpe majukumu yote ya walio chini yake.
 
Sina shaka na dhamira yako njema ya kutafuta pesa kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu.

Lakini ndugu Rais hebu punguza safari za nje kidogo ukae ofisini kufuatilia matumizi ya hizo fedha ,umekopa pesa nyingi sana ndani ya muda mfupi ,sasa tulia ufuatilie matumizi yake kama zinatumika kwa usahihi,usiamini wasaidizi wako kwa asilimia zote ya kwamba ni waaminifu ,wapo na wapigaji wa kutosha tu, mwisho wa siku jumba bovu litakuangukia wewe binafsi, ukitulia ofisini utayajua matumizi ya fedha hizo,kisha ukiridhika zinatumika barabara endelea kuzitafuta ,muhimu hakikisha zinafanya kazi sahihi, ikumbukwe walipaji wa fedha hiyo mikopo ni sisi watanzania,hatutakubali kubebeshwa zigo lisilo na faida,na huo ndio utakuwa mwanzo wa anguko lako,

ZINGATIO_pengine ziara hizi za mfululizo ni mkakati maalumu usio ujua dhidi,kwani huzipangi wewe bali unapangiwa
Huyo mama alikula sana miguu ya kuku ndo maana kiguru na njia kila kukicha
 
Pesa zinaanza kupigwa na Vasco da Gama na waandamizi wake kupitia per diem za safari zake za uvumbuzi zisizokwisha!yaani mkono wake mmoja unazileta halafu mkono mwingine unazichukua! huku nyumbani wanamalizia tu maana wa juu yao anazipiga pia! ila Mungu anawasubiri kuzikagua!

Mwambieni CAG awape bajeti ya safari zote hadi sasa kama hamjaomba shetani abadili katiba uchaguzi mkuu uwe October 2022!

Mwendazake atakumbukwa sana hata kama kuna watu hawakumpenda!
 
Back
Top Bottom