Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,617
- 287,348
Mkurugenzi huyo wa zamani aliyeondolewa madarakani na Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa , amefikishwa Mahakamani Leo , ambako bado haijafahamika kesi inayomkabili .
Tunaendelea kufuatilia .
========
Ameshitakiwa kwa Makosa Mawili
Upotevu wa Pesa Sh mil 65 pamoja na Uhujumu Uchumi .
Zaidi ni kwamba aliwahi kuonywa na Aliyewahi kuwa Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema , kwamba Ushiriki wake kwenye wizi wa kura wa 2020 Mungu atalipa
View attachment 2264131